Rais Samia aagiza Mahakama itende Haki, baadhi ya wafuasi wa CHADEMA wampongeza

Ndugu yangu mahakama iko chini ya Rais, yeye ndiye uteua na kuapisha majaji, mahakama ikitoa hukumu leo, kesho na yeye anaweza toa hukumu ya kusamehe na hivyo kutengua maamuzi ya mahakama.

tusiitafsiri dhana ya mihimili mitatu kichwachwa, let us be realistic.
Rais anasamehe ukishahukumiwa sio kabla
 
Ni wangapi wameachiwa since kaingia madarakani? Ni mambo mangapi kayabadili? Kuwa positive mkuu, hii ishu moja ya Mbowe isiwatoe ufahamu
Wanasahau SSH alifunga safari kwenda Nairobi kumjulia hali tundu lisu, , laiti kama angekuwa na cheo cha kuteuliwa leo hadithi ingekuwa tofauti kabisa
 
Hata mm ninapata tumaini kwasababu sijawahi kusikia hyt. JPM akitamka neno HAKI na yeye SSH ndiyo leo namsikia akitamka neno hilo.
Hakuna amani ya kweli bila HAKI.

Sent from my A71 using JamiiForums mobile app
Wewe inaonekana ulikuwa antMagufuri, Magufuri kila siku alikuwa anasimama barabarani kutatua kelo za waliokuwa wanadhurumiwa na kunyimwa haki zao,Machagadema ni wasahaulifu sana kwani Mbowe yuko mahabusu kwa amri ya nani?au nae ni Magufuri alimweka ndani; endeleeni kudanganyana kama watoto wadogo, mnapigwa kwenzi mkionekana mnalia sana mnapewa pipi mnanyamaza,haki sio maneno ya mdomoni tu, tunaitaji kuona haki ikitendeka sio maneno tu
 
Back
Top Bottom