BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,488
- 14,066
Sio gavana tuu bali na mbobezi wa kuomba mikopo anayeitwa waziri wa fedha.Ni vema akamtumbua Gavana wa Benki(BOT) na amteue Gavana ambaye amebobea kwenye uchumi. Kila siku shillingi ya Tanzania inashuka thamani. Thamani ya fedha ya Burundi ambayo ni nchi maskini inaizidi thamani ya shillingi ya Tanzania.
Samia must go.Raisi Samia hana majibu hata moja ya matatizo na alicho bakia nacho ni kutuuuzia Uoga, kututishia Police wake na kadhalika.
Hana majibu ni kwa nini Shiling ya Tanzania inaongoza kwa kushuka Thamani Duniani, Hana majibu ya utekaji na sasa wameza kutekana ndani ya Chama chao still hana majibu.
Hana majibu ya ukosefu wa ajira na akiulizwa hana majibu na hataki kugusia kabisa hilo jambo. Hana majibu ya CAG.
Alicho nacho ni kuuzia watu uoga wa amani amani, amani.
Amani ili wale kwa amani? kwamba inahitajika amanai kayika Taifa hili ili wwle mema ya nchi kwa usalama.
Atueleze kwanini tunaihudumia ZanzibarRaisi Samia hana majibu hata moja ya matatizo na alicho bakia nacho ni kutuuuzia Uoga, kututishia Police wake na kadhalika.
Hana majibu ni kwa nini Shiling ya Tanzania inaongoza kwa kushuka Thamani Duniani, Hana majibu ya utekaji na sasa wameza kutekana ndani ya Chama chao still hana majibu.
Hana majibu ya ukosefu wa ajira na akiulizwa hana majibu na hataki kugusia kabisa hilo jambo. Hana majibu ya CAG.
Alicho nacho ni kuuzia watu uoga wa amani amani, amani.
Amani ili wale kwa amani? kwamba inahitajika amanai kayika Taifa hili ili wwle mema ya nchi kwa usalama.
Zali la mentaliMsimlaumu sana hakujiandaa kuwa Rais, ilitokea tu ghafla
Hako kajamaa kamechafua mawe nchi nzima,eti president elect 2015Sio gavana tuu bali na mbobezi wa kuomba mikopo anayeitwa waziri wa fedha.
Ni wakati sasa Tanganyika itawaliwe na Rais Mtanganyika. Hasara tuliyopata Tanganyika kwa kipindi cha Urais wa Samia inatosha,tusirudie tena kosa hili.Atueleze kwanini tunaihudumia Zanzibar
Huyo ni Amiri Jeshi Mkuu. Utake usitake LAZIMA umsikilize na kuheshimu maelekezo yake. Usipotekeleza, UTAPIGWA TU!Raisi Samia hana majibu hata moja ya matatizo na alicho bakia nacho ni kutuuuzia Uoga, kututishia Police wake na kadhalika.
Hana majibu ni kwa nini Shiling ya Tanzania inaongoza kwa kushuka Thamani Duniani, Hana majibu ya utekaji na sasa wameza kutekana ndani ya Chama chao still hana majibu.
Hana majibu ya ukosefu wa ajira na akiulizwa hana majibu na hataki kugusia kabisa hilo jambo. Hana majibu ya CAG.
Alicho nacho ni kuuzia watu uoga wa amani amani, amani.
Amani ili wale kwa amani? kwamba inahitajika amanai kayika Taifa hili ili wwle mema ya nchi kwa usalama.
Hakika alipata ZaliZali la mentali
Kuuzia watu uoga ndani ya nchi yao wenyewe ni tabia za Kaburu mweusiRaisi Samia hana majibu hata moja ya matatizo na alicho bakia nacho ni kutuuuzia Uoga, kututishia Police wake na kadhalika.
Hana majibu ni kwa nini Shiling ya Tanzania inaongoza kwa kushuka Thamani Duniani, Hana majibu ya utekaji na sasa wameza kutekana ndani ya Chama chao still hana majibu.
Hana majibu ya ukosefu wa ajira na akiulizwa hana majibu na hataki kugusia kabisa hilo jambo. Hana majibu ya CAG.
Alicho nacho ni kuuzia watu uoga wa amani amani, amani.
Amani ili wale kwa amani? kwamba inahitajika amanai kayika Taifa hili ili wwle mema ya nchi kwa usalama.
Mimi mwenyewe kila nikitaka kumlaumu kwa mambo yanayoendelea nakumbuka huyu uraisi aliuokota tu hakujiandaa kwa vyovyote vile acha tu amalize muda wake aondokeMsimlaumu sana hakujiandaa kuwa Rais, ilitokea tu ghafla
Anakata pochi visiwani Zanzibar kwa mkataba upi,huwezi toa sehemu ya mapato ya Kodi kwa nchi yenye bendera yake na mfumo wake huru kama Zanzibar,wale watu wafanye kazi uchumi uendelee,waache kujipachika kwenye mapato ghafi,mapati ghafi ya kila mwezi ndani yake Kuna materials ambazo lazima zirudi kwenye mzunguko,please tunaomba tulipigie kura ya maoni ni mzigo,tuhudumie deni kubwa kisha tucheleweshewe huduma muhimu,watu wanaenda likizo bila allowance sababu tuu ya kuhudumia unguja,Miradi mikubwa imeisha turudi mezani kujadiri dira ya matumizi na sio kuongeza deni na kuongeza hadi asilimia kumi kila mwezi kuhudumia Zanzibar hii haikubaliki.Kuuzia watu uoga ndani ya nchi yao wenyewe ni tabia za Kaburu mweusi
Mimi napingana na hoja yako,binafsi naona shida ni mifumo yetu mibovu chini ya sheria zetu na katiba yetu ambayo imepitwa na wakati,Msimlaumu sana hakujiandaa kuwa Rais, ilitokea tu ghafla
Ndiyo shida ya kufanya teuzi kwa vimemo. Watu wasiokuwa na sifa ndiyo wanapewa nafasi.Ni vema akamtumbua Gavana wa Benki(BOT) na amteue Gavana ambaye amebobea kwenye uchumi. Kila siku shillingi ya Tanzania inashuka thamani. Thamani ya fedha ya Burundi ambayo ni nchi maskini inaizidi thamani ya shillingi ya Tanzania.