Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,000
- 26,130
Utapiamlo wa medula oblongata unakuandama wewe!Muliomba kuandamana mkaruhusiwa , tatizo ni nini tena? Kiki zimeisha au?
Kiki imebuma 😁😁Utapiamlo wa medula oblongata unakuandama wewe!
Maandamano yanaombwa ama yanatolewa taarifa ili upewe ulinzi?
CHADEMA iliomba maandamano ama ilitoa taarifa?'
HII NCHI INA Wapuuzi wengi kama wewe na hawaishi !
Umezoea kusikia kauli za polisi kwamba wataruhusu maandamano unafikiri ni sheria, wakatae wao ni nani wakati Katiba imeruhusu na ndio maana CCM inaongoza kwa kufanya maandamano, anapopita makonda sehemu zote ni maandamano, na ukitaka kujua- shehe ponda na wafuasi wake wakiwa hata watano wanakamatwa wanaandamana, ila wewe na ccm hata wakiwa 3000 unaoan si Maandamano, mpaka uone wapinzani ndio unajua ani maandamano!
Haya, kila mtu na fikra zake. Ndio maana mpaka leo CCM inatawala kwa sababu fikra zake ni tofuti na mnavyofikiri nyinyi.Ile kauli imetumika kisiasa kutisha vyama vya upinzani. Na sidhani Kama Kuna Nia yeyote ya kiusalama. Kama upinzani wangekuwa na lengo la kuleta machafuko sidhani Kama Rais angetoa hiyo kauli.
Ila JWTZ wamejishushia hadhi wenyewe kuwaendekeza wanasiasa. Ndio maana Leo unaweza kutamka kuwa Rais kampuuza CDF. Wamejitakia wenyewe ndio maana wanadhaurika.
Kama CDF anapuyanga Kama nchi hatuko salama
Sawa kila la kheri.Hapana , wote tunajua Hana uwezo. Tunajaribu kumshauri huyo mama mwenye kiburi na dharau
Tunaweza kabisa kutumia lugha nzuri ya kistaarabu na ujumbe ukafika vizuri zaidi!, kumwambia aache longolongo it's as if yeye ni mtu wa longolongo which is not right, is not fair. Ukiondoa issues za wahafidhina wa CCM wanaompotosha kwenye issues za katiba, huyu Mama yuko very straight, amenyooka, hapindipindi.Namuomba Rais asitumie Aache longolongo.
Hivi unajua CDF ni nani kimamlaka ndani ya nchi ? Au unadhani CDF ni kama chawa wengine?Cdf kapata wapi hii confidence
Unaongea usicho kijua kabisa ingawa wewe unajiona unajua, CDF sio kiongozi wa siasa elewa hilo kwanza labda kama hukwenda shule hivyo ni maamuma.CDF alikurupuka. Hakuna mkimbizi aliyeteuliwa serikalini.
Mkimbizi akiwa naturalized ana haki ya kushika nafasi yeyote ile isipokuwa nafasi ya Rais na VP ambao ni lazima wawe watanzania by birth. Nafasi zingine zote sio lazima.
Mtu akiwa naturalized hakuna sababu ya kuendelea kubring up ukimbizi wake. Tatizo wabongo wengi wanaamini mtu akiwa mkimbizi anakuwa mkimbizi milele. Huu ni ujinga wa watanzania walio wengi.
Serikali haiwezi kuteua mkimbizi hata kama serikali ya bongo ni mbaya vp. Maza alimlindia heshima tu ila CDF alipuyanga.
Mkuu JWTZ ya sasa unaijua kweli, naomba niishie hapaKwa hivyo kwa kauli yako ni kwamba JWTZ walikurupuka.
Nilimkubali sana ila baada ya kumleta Bashite duh hatari sana kwa TaifaAna kisirani na dharau yule sijawahi kupata kuona.
Sababu wajanja wengi wanatumia udhaifu wake kufanikisha mambo yao..Rais Samia Ni dhaifu sna Ila anapendwa sna na wengi
Hili halihitaji tafiti
Je kwanin rais Samia Ana kubalika sna
Mkuu umeongea kwa hekima sana. Kama mfumo uko sahihi hata nani awe Rais atafata uelekeo. Ndiyo maana Obama akawa Rais wa Marekani japo kuna siri nyingi behindTatizo sio ututsi wala unyarwanda tatizo ninaina ya katiba iliyopo je inamsimia ipasavyo!!?na Dola inaweza mfanya chochote Rais akivunja katiba ya nchi au waziri mkuu!!?
Hapo ndio ishu!mi Sina shida hata kama mzungu akiwa Rais Tanzania lakini katiba ina meno ya kumfanya chochote kiongozi yeyote akikiuka katiba!!?
Umeuliza seali gumu sana ila tu kwa wenye akili kubwa, anyway tulichukulie poa tu kama wengineCdf kapata wapi hii confidence
Kuna watu pia wanafanya auditing ya shughuli za jeshi, wakiwa jeshini, na wanaripoti kwa SSH, sio kwa CDF. Its possible CDF akawa halijui jeshi sana kuliko anavyolijua SSHKama CDF anapotoshwa je usalama wa nchi upoje?.
Unaongea usicho kijua kabisa ingawa wewe unajiona unajua, CDF sio kiongozi wa siasa elewa hilo kwanza labda kama hukwenda shule hivyo ni maamuma.
Acheni kuhamisha mada, kwanza tujadili wageni kupewa madaraka kwenye nchi yetu, Nimegundua nchi hii ukianza kujadili suala la wakimbizi watu wanaipotezea, kwa vile wao wenyewe wana asili za 'huko' hivyo wanasympathize nao.Ilo la umeme kasha shindwa zamani sana..hili la sukari nalo kaambiwa kazila ana kisirani uyu bibi
Kupanda bei kwa bidhaa za viwandani kupita kiasi nani anawajibika?Wakati akiwa kwenye mkutano wa JWTZ, Rais Samia alijulishwa na Mkuu wa majeshi Jenerali Jacob Mkunda kuwa Kuna wakimbizi wameteuliwa kwenye vyombo vya maamuzi.
Ili kukwepa hiyo kauli ya CDF, Rais Samia alipopewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huo, akaleta mada nyingine kwamba mwaka 2025 ni mwaka wa uchaguzi hivyo vyama vipo vingi na vingine havina Nia njema, hivyo jeshi liwe tayari kwa lolote.
Kauli ya Rais ilikuwa ya kinafiki na kujaribu kujenga taswira ya kwamba vyama vya Upinzani vinalenga kuleta fujo au kauli ya Rais ililenga kuwaingiza wanajeshi kwenye siasa za kuilinda CCM .
Namuomba Rais asitumie vyama vya Upinzani Kama Chaka la kujifichia, kwani tumefanya chaguzi nyingi na JWTZ haijawahi kuhusishwa. Yeye ajikite kushughulikia kauli ya CDF kuhusu wakimbizi kuteuliwa kwenye nafasi za kisiasa. Aache longolongo.
Huyu hapa unaamini hivyo vyombo vinafanya hivyo kama mkuu tu wa wiliya ni mtihaniRais ana vyombo vingi vya kuhakiki taarifa, uongozi sio kukurupuka, lazima afanye due diligence ili asimuonee mtu kwa sababu tu kazaliwa Karagwe, Kigoma, Ngara, Mbeya, Mtwara