Rais Rafiki wa Rais wetu

Rais Rafiki wa Rais wetu

SI NASIKIA KAGAME NA MKULU WAMEKOSANA? KISA NI ZILE BOMBARDIER MKULU ALIINGIZWA MKENGE NA KAGAME.

Inasemekana zilinunuliwa na Kagame kabla baadae akaona hazifai ikabidi arudishe, kufika kiwandanj akaambiwa haziwezi kurudishwa atafute mtu ambambikie, akachekecha akili akaona Mkulu amekaa vizuri kubambikiwa.

Nilisikia wanasimulia kwenye daladala.
Nimecheka ulivyoruka ushaidi eti source " nilisikia wanasimulia kwenye daladala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SI NASIKIA KAGAME NA MKULU WAMEKOSANA? KISA NI ZILE BOMBARDIER MKULU ALIINGIZWA MKENGE NA KAGAME.

Inasemekana zilinunuliwa na Kagame kabla baadae akaona hazifai ikabidi arudishe, kufika kiwandanj akaambiwa haziwezi kurudishwa atafute mtu ambambikie, akachekecha akili akaona Mkulu amekaa vizuri kubambikiwa.

Nilisikia wanasimulia kwenye daladala.
IMG-20200421-WA0004.jpg

dingi umeuwaa

Umeshashiba kashata na ukapewa ubuyu ushushie, mwambie akuongeze kikombe cha kahawa nakuja kulipa
 
Rafiki wa karibu alikuwa motto was Jaramongi lakini juzi naye kamtosa kwa kuwa hashauriki na kasema mbishi sana. Kwa hapa ndani tulidhani huyu anaweza kuwa rafiki, lakini baada ya kuona Professor mzima anamtuma kufuata miti shamba huyo sio rafiki bali kijakazi tuu. Hitimisho ni kuwa hana rafikiView attachment 1444185

Sent using Jamii Forums mobile app
Professor mzima anamtuma kufuata miti shamba huyo sio rafiki bali kijakazi tuu
 
Kila Rais Duniani ana Rais either Rafiki, Mshauri kwenye baadhi ya mambo. Ukimtazama Trump unaiona picha ya Waziri mkuu wa Uingereza au Israel. Ukimtazama Putin unaona picha ya Rais wa china pia. hata watu wabishi kama Kim lakini N Korea ni rafiki mkubwa wa China Urusi. sasa ukija kwetu tulijua atashikamana labda na Kagame na mseveni kumbe wala hana hata habari.

Sasa mtu unajiuliza tuna rais wa namna gani ambaye hata marais madicteta wameanza kumtilia shaka anashauriwa na nani kama washauri wa ndani wote wapo kimya juzi kamfuta kazi mshauri wake wa mambo ya sheria? je Rais mshauri wa rais wetu ni nani?

Tanzania tumefika sehemu ya rais wa nchi nyingine kumshutumu rais wetu waziwazi kweli bado tunaamini tupo sawa kama nchi? nchi kama rwanda inazuia magari yetu kwenda kwao tunaona tupo salama,

Mseveni anamshutumu wazi wazi rais wetu sisi tunaona ni sawa tu, nchi rafiki wa kihistoria kama S. Afrika wanatushutumu wazi wazi sisi tunaona sawa tu?

Magufuli nchi rafiki wa Tanzania Ni Nani?
Mh. Hajui kuwa rais ni taasisi Pia hatambui kuwa maamuzi yake hayawezi kutoka kwake peke yake Lazma awe na washauri,family is a family, nation is a nation
 
Kila Rais Duniani ana Rais either Rafiki, Mshauri kwenye baadhi ya mambo. Ukimtazama Trump unaiona picha ya Waziri mkuu wa Uingereza au Israel. Ukimtazama Putin unaona picha ya Rais wa china pia. hata watu wabishi kama Kim lakini N Korea ni rafiki mkubwa wa China Urusi. sasa ukija kwetu tulijua atashikamana labda na Kagame na mseveni kumbe wala hana hata habari.

Sasa mtu unajiuliza tuna rais wa namna gani ambaye hata marais madicteta wameanza kumtilia shaka anashauriwa na nani kama washauri wa ndani wote wapo kimya juzi kamfuta kazi mshauri wake wa mambo ya sheria? je Rais mshauri wa rais wetu ni nani?

Tanzania tumefika sehemu ya rais wa nchi nyingine kumshutumu rais wetu waziwazi kweli bado tunaamini tupo sawa kama nchi? nchi kama rwanda inazuia magari yetu kwenda kwao tunaona tupo salama,

Mseveni anamshutumu wazi wazi rais wetu sisi tunaona ni sawa tu, nchi rafiki wa kihistoria kama S. Afrika wanatushutumu wazi wazi sisi tunaona sawa tu?

Magufuli nchi rafiki wa Tanzania Ni Nani?
Chato
 
Back
Top Bottom