Rais Putin wa Russia awapa silaha Talaban

Rais Putin wa Russia awapa silaha Talaban

Halafu linakuja boya Fulani hapa na kuanza kupayuka eti hivi vikundi vipo kwa ajili ya kutetea uislamu.

Nilichogundua wengi wao ambao wamekuwa wakivinasibisha vikundi hivi na uislamu ni kuwa hawana uelewa wowote juu uislamu zaidi ya kulishwa propaganda na wale wasoutakia mema uislamu.
Hivi vikundi sio vya kiislamu,wala havihusiani na uislamu kabisa.Hivi ni vikundi vinavyoundwa kwa maslahi ya nchi za ki magharibi.
Kama vingekuwa ni vikundi vya kiislamu kweli,vingekuwa vimepigwa vita siku nyingi sana,na kutokomezwa,wala usingevisikia tena.
Halafu uislamu umehimiza sana,kuwaacha watu hai,ukiacha mtu mmoja hai,ni kama umeacha watu wa dunia nzima hai,ndio Qur'an ilivyosema.Na pia uislamu umehimiza kusaidia maskini,mafukara,wenye madeni,wasafiri walioharibikiwa,kutoa sadaka,zaka na kufanya wema wa kila aina.Kwa nini hivi vikundi,kama ni vya kiislamu,kisifuate maamrisho ya Qur'an ya kufanya mema.Alllah atazidi kuwaumbuwa hawa,mpaka ukweli utajulikana.
Halafu linakuja boya Fulani hapa na kuanza kupayuka eti hivi vikundi vipo kwa ajili ya kutetea uislamu.

Nilichogundua wengi wao ambao wamekuwa wakivinasibisha vikundi hivi na uislamu ni kuwa hawana uelewa wowote juu uislamu zaidi ya kulishwa propaganda na wale wasoutakia mema uislamu.
Uzi kama huu,unaoweka wazi,kwamba hawa wanaoitwa na magaidi,sio waislamu,wala hawafuati uislamu,wala hawakutumwa na uislamu,ni vikundi vinavyoanzishwa na mataifa makubwa kulinda maslahi yao.Hutaona wachangiaji wengi,lakini ngoja uje Uzi,unaosema magaidi wa kiislamu(ambao ndio hawa hawa,wanaojiita ni wapiganaji wa kislamu,wakati sio waislamu),utaona utakavyopata wachangiaji wa kuleta kashifa kwa uislamu,Qur'an,Mtume,Allah.Na hapa Uzi upo lakini wanajifanya hawauoni.
 
Wanao fikiria magaidi ni waislam ni wale walio logwa na uchawi wa laboratory kutoka Israel!!!
 
ili kuepuka fikra potovu na mitego ya wamagharib kuwaingiza waislam katika matatizo cha msingi tuisome dini yetu kwa kina na kwa hakika mwenye maarifa ya dini anawazidi uelewa hata maagent wa CIA,Mossad and KGB
uislam ni Amaan
Wewe usipate tabu,Allah anawaumbuwa kidogo kidogo,kama walivyoumbuliwa wanafiki wakati wa Mtume Muhammad,kuna waliokuwa wakijifanya ni waislamu,kumbe wako upande wa wasio waislamu,walikuwa wakiwapiga vita waislamu,wakiwa ndani ya uislamu,lakini Allah akawaumbuwa wakajulikana unafiki wao.Wakapotea katika ulimwengu wa kiislamu kama mchezo.Na hawa wanaojiita waislamu kwa ajili ya nia yao kuuchafuwa uislamu,kupitia nchi za magharibi,wataumbuka na watafedheheka.Hawa magaidi sio waislamu,wanaojiita ni waislamu.Uislamu ni AMANI.
Na mda mrefu ziko post,zilizonyesha hawa magaidi sio waislamu,mpaka picha wengine wana alama za dini,zisiso za kiislamu,lakini utaona post kama hiyo wale,wanawaoshtumu waislu,waliopo jf,wanajifanya kama hawazioni,kama post hii.Lakini ngoja uletwe Uzi wa gaidi kaua,au kajilipuwa,watavyo ushambulia uislamu,kwa kutoa povu.Wakati hao wanaouwa au kujilipuwa sio waislamu.
 
Huwa nikisikia habari za hawa Mujaheedina nakumbuka movie za RAMBO....hah
 
Dunia sio sehemu mahala ya kuishi tena kama ndio hivi...mmmmh


Mkuu, hakuna mbadala wake, ukifa unaweza ukasikia dini zinakuambia utaenda motoni mara ooo ooooh shetani yupo huko.

Mbinguni au peponi nako mara mabikira 72, si utachoka Kama Gari isiyokuwa na usukani!?

Twende sayari zingine, wazungu koko wameishaziwahi na kupeleka ving'amuzi huko.

Kwa kifupi, ishi tu kwa matumaini 🙂🙂🙂😀😀😀
 
Kwan wanaongea tu na mdomo wasiongelee uwanjan
Sku moja Russia na USA

Waingie uwanjan tupate mbabe wa dunia


USA hawezi pigana vita pekee yake.

Amelialia mbele za Kim Un na kubweka Kama mbwamwitu ila amefyata mkia.

Sasa, huyo USA mbele za KGB, Putin na Russia ataiwezea wapi!?

Kwa kifupi, USA bila washirika wake mfano ufaransa na UK ni mdogo sana kama mbegu ya mchicha.
 
Mkuu, hakuna mbadala wake, ukifa unaweza ukasikia dini zinakuambia utaenda motoni mara ooo ooooh shetani yupo huko.

Mbinguni au peponi nako mara mabikira 72, si utachoka Kama Gari isiyokuwa na usukani!?

Twende sayari zingine, wazungu koko wameishaziwahi na kupeleka ving'amuzi huko.

Kwa kifupi, ishi tu kwa matumaini 🙂🙂🙂😀😀😀
Hahahaha sawa mkuu...
 
Back
Top Bottom