Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,569
- 8,327
Jamani! Si anasema anapigana na nchi 30 kwa pamoja!!Nato walisema russia ikiingia ukrein nao wanaingia mbona mpka leo kimya,
Jamani! Si anasema anapigana na nchi 30 kwa pamoja!!Nato walisema russia ikiingia ukrein nao wanaingia mbona mpka leo kimya,
Jamani! Si anasema anapigana na nchi 30 kwa pamoja!!
Mtu mzima kaiga wakubwa wa 1945 uko . kaishia kuhaibika.View attachment 2168899
Sent using Jamii Forums mobile app
Putin hapo anapigana na ukraine +Nato na marekani...............vita haina katib
Nato wamepeleka nondo chache sana, lakini inaoenekana zinasumbua vibaya sana, wiki moja tu putin kakubali 498 chini.Putin hapo anapigana na ukraine +Nato na marekani...............vita haina katiba
Kama ni kweli mbona Putin hatimizi ile ahadi yake ya kuishambulia nchi itayojiingiza kusaidia Ukraine?
Obama ameuwa watu milion 6 wapi uko?Adof inasemekana aliuwa wayaudi milion 2 na akaitwa dictator
Bushi aliuwa zaidi ya watu milion 4
Obama aliuwa watu zaidi ya milon 6
putin kauwa watu wasiopungua elfu 4
Tumia akili ndogo kabisa kufikili ni nani dictator [emoji848]
Obama ameuwa watu milion 6 wapi uko?
Nchi gani umeona imeingia zaidi ya maneno tu
Undercover ndio nini tena?nikweli ila wapo undercover
Mbona mnatuchanga Pro Russia mara mseme anapigana na nchi 30+ mara hakuna alieingia,mara undercover, sasa tushike lipi?Nchi gani umeona imeingia zaidi ya maneno tu
Naona comedian kawashika pabaya pro Russia mpaka mnasutana wenyewe kwa wenyewe.mbona nato nao hawatimizi ahadi yao ya kuivamia urusi kijeshi
Na bado Ukraine kasanda.Russia anapigana na Ukraine, hakuna hata nchi moja imeingiza askari pale, katika vita kusaidiwa au kuuziwa silaha ni jambo la kawaida.
Aisee!Wamekimbia Kiev hukooo
Watu wanaangalia cnn ila mkipata bahati yakuangalia tvs zisizokuwa na umagharibi mtajua Ukraine kinachompata kwa sasa, mrusi alianza kusafisha mghala yake na mavifaru,ma bm ya 90's na kafanikiwa kuharibu miundo mbinu ya Ukraine na kwa sasa kaanza kutumia zana mpya wanakoma wa Ukraine vitu wanavyopewa na magharibi vinatekwa kila uchao
Hilo sio lengo tuliotangaziwa na Rais wa Urusi.Lengo halikuwa kuharibu miundombinu, majengo au kuua raia. Putin alitaka kuondoa utawala wa Zelenskky na kusalimisha jeshi la Ukraine. Alitaka kuichukua nchi intact with minimal physical damage. Kashindwa.
Zelenskky hajakimbia na jeshi la Ukraine halijasurrender. Badala yake kabomoa miji kwa ndege na makombora ya mbali. Jeshi la aridhini limepigwa na kushindwa kukamata targets muhimu. Ndio kushindwa kwa mvamizi huko.
Basi usisahau pia kunawa mikono na maji safi yanayotiririka na Sabuni au vitakatishiYes…. Ni muhimu
Vipi unataka kuwa na private threads ndani ya jf?
It can be done, Lipia tu… it is possible
Na ili ndio lengo la mrusi kuigawa ukraine kutaondoa nguvu yake na kutaongeza umiliki wa taifa la russia kama ilivyokua cremia.
Hayo majimbo yakishajitenga yatapiga kura na kuingia urusi, yatapewa ulinzi naye russi atakua ametengeneza base zake huko.
Ila ukraine atafute suluhu iliyo njema nchi yake ndio inaharibiwa na uvamizi.
Ukraine na Russia pale hakuna VITA