Rais Putin kabadili gia angani

Rais Putin kabadili gia angani

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
732
Reaction score
1,746
Mkakati sio tena kuchukua Kiev kama wanavyoiita wananchi wa Russia. Askari na majeshi yana retreat kuelekea mashariki watengeneze East Ukraine kwa kujaribu uunganisha miji ya Crimea Khraviv na Donbass na Donesky na Luhasky.

Msafara wa magari ya kivita kuelekea Kyiv haujulikani umeishia wapi . Mkwala wa Putin kwamba nchi zitakazoingilia zitakiona Cha moto, tunaona Hadi neutral Sweden na Finland (sio washirika wa NATO) wameingilia kwakutoa misaada ya siraha na Hadi ya kiutu kwa Ukraine lakini Hajaonesha Cha moto chochote mpaka sasa.

Zaidi ya kulialia na kuomba msaada wa vifaa na watu kwa watu wa China(China kapewa onyo hasijaribu kutoa msaada wowote) na Syria.

Huku siraha za NATO zikiifanya vifaru vya Urussi T-72 na T-80 kama midoli tu mbele ya Javelin huku askari wa Putin wakikimbia kuvitelekeza kuokoa maisha yao.

Nadhani funzo ni kuwa shinda diplomasia kwa nguvu ya influence na sio ubabe sababu ukiamini katika ubabe ni sawa kuwaunganisha adui zako na wale sio adui zako waungane wakushughulikie barabara kama Leo tunavyoona Urusi anavyoshughulikiwa kijeshi na kiuchumi barabara.


Asanteni.
 
Tunaomba hio source ya putin kusema anaichukua ukraine..........toka mwanzo alisema ni operation ya kuipunguza nguvu kijeshi ukraine na kutokomeza vikundi vya wa nazi.

Huku akiyatambua majimbo huru ya luhansk na donbass na ndo ameenda kuyakomboa.......huko kwingine wametandikwa ili tu wasiwe threat kwa mrusi......ndo maana wao wameiita ni opereshen ya kijeshi na sio vita
 
Russia kupitia vita hii kavuliwa nguo, hana jipya tena
[emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]
FOj6Qf1VgAE1wB3.jpg
 
Na ili ndio lengo la mrusi kuigawa ukraine kutaondoa nguvu yake na kutaongeza umiliki wa taifa la russia kama ilivyokua cremia.

Hayo majimbo yakishajitenga yatapiga kura na kuingia urusi, yatapewa ulinzi naye russi atakua ametengeneza base zake huko.

Ila ukraine atafute suluhu iliyo njema nchi yake ndio inaharibiwa na uvamizi.

Ukraine na Russia pale hakuna VITA
 
Mkakati sio tena kuchukua Kiev kama wanavyoiita askari na majeshi yana retreat kuelekea mashariki watengeneze East Ukraine kwa kujaribu uunganisha miji ya Crimea Khraviv na Donbass na Donesk...

Mpaka sasa urusi amepigana na nchi 30 kwa wakati mmoja kitu ambacho hakijawai fanyika tangu kuanza kwa dunia[emoji16]
 
Back
Top Bottom