Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,368
Tutajie hizo nchi 30 sambamba na picha za Wanajeshi wao wakiwa Ukraine.Mpka sasa urusi amepigana na nchi 30 kwa wakati mmoja kitu ambacho hakijawai fanyika tangu kuanza kwa dunia[emoji16]
Tutajie hizo nchi 30 sambamba na picha za Wanajeshi wao wakiwa Ukraine.Mpka sasa urusi amepigana na nchi 30 kwa wakati mmoja kitu ambacho hakijawai fanyika tangu kuanza kwa dunia[emoji16]
Watanzania wengi tunashindwa kuelewa kuwa Raia wa Ukraine na Urusi ni ndugu wamoana, wamezaliana ni ngumu Leo hii wanajeshi wa Urusi wakapambane Ukraine ilihali wakijua kabisa wanawauwa ndugu zao, hata Putin analijua, hiyo vita inaenda kutengeneza Ukraine 2 Sasa tujiandae Kwa vita baridi party 2Mkakati sio tena kuchukua Kiev kama wanavyoiita askari na majeshi yana retreat kuelekea mashariki watengeneze East Ukraine kwa kujaribu uunganisha miji ya Crimea Khraviv na Donbass na Donesky
Msafara wa magari ya kivita kuelekea Kyiv haujulikani umeishia wapi . Mkwala wa Putin kwamba nchi zitakazoingilia zitakiona Cha moto tunaona Hadi neutral Sweden na Finland wanatoa misaada ya siraha na Hadi ya kiutu
Huku siraha za NATO zikiifanya vifaru vya Urussi T-72 na T-80 kama midoli tu mbele ya Javelin huku askari wa Putin wakikimbia kuvitelekeza
Nadhani funzo ni kuwa shinda diplomasia kwa nguvu ya influence na sio ubabe sababu ukiamini katika ubabe ni kuwaunganisha adui na sio adui wakushughulikie barabara kama Leo anavyoshughulikiwa kijeshi na kiuchumi
Asanteni.......
Lengo ili agongwe vikwazo vyakutoshaKwa hiyo Urusi kachapika?
Sasa mbona wanaolalamika ni Ukraine na vibaraka wenzie wa NATO?
Tutajie hizo nchi 30 sambamba na picha za Wanajeshi wao wakiwa Ukraine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanalalamika ni Ukraine na washirika wakeRussia kupitia vita hii kavuliwa nguo, hana jipya tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndiyo ushangae sasaKwa hiyo Urusi kachapika?
Sasa mbona wanaolalamika ni Ukraine na vibaraka wenzie wa NATO?
Kila mtu atakufaPutin atakufa
Putin si alisema yeyote atakaeisaidia Ukraine ikiwemo kupeleka silaha atakiona cha moto,mbona hatuoni hicho cha moto.Jumuiya ya magaidi wa nato wako 30 wanakesha usiku na mchana kuingiza silaha za mchongo ukrein na bado ngoma ngumu[emoji16][emoji16][emoji16]
Maorigach hawamezeki hawatemeki [emoji16][emoji16]
Kapigana nazo huku JF au wapi?Mpka sasa urusi amepigana na nchi 30 kwa wakati mmoja kitu ambacho hakijawai fanyika tangu kuanza kwa dunia[emoji16]
Kwa hiyo alijua ni ndugu baada ya safari ya kuingia Kyiv kuwa ngumu?Watanzania wengi tunashindwa kuelewa kuwa Raia wa Ukraine na Urusi ni ndugu wamoana, wamezaliana ni ngumu Leo hii wanajeshi wa Urusi wakapambane Ukraine ilihali wakijua kabisa wanawauwa ndugu zao, hata Putin analijua, hiyo vita inaenda kutengeneza Ukraine 2 Sasa tujiandae Kwa vita baridi party 2
Putin si alisema yeyote atakaeisaidia Ukraine ikiwemo kupeleka silaha atakiona cha moto,mbona hatuoni hicho cha moto.
Kama unavyosema ndivyo ilivyo Rais Zelensky asingelainika na kukubali kuwa neutral yaani hatakujakujiunga na NATO milele!! Propaganda za magharibi mkenge!Mkakati sio tena kuchukua Kiev kama wanavyoiita askari na majeshi yana retreat kuelekea mashariki watengeneze East Ukraine kwa kujaribu uunganisha miji ya Crimea Khraviv na Donbass na Donesky
Msafara wa magari ya kivita kuelekea Kyiv haujulikani umeishia wapi . Mkwala wa Putin kwamba nchi zitakazoingilia zitakiona Cha moto tunaona Hadi neutral Sweden na Finland wanatoa misaada ya siraha na Hadi ya kiutu
Huku siraha za NATO zikiifanya vifaru vya Urussi T-72 na T-80 kama midoli tu mbele ya Javelin huku askari wa Putin wakikimbia kuvitelekeza
Nadhani funzo ni kuwa shinda diplomasia kwa nguvu ya influence na sio ubabe sababu ukiamini katika ubabe ni kuwaunganisha adui na sio adui wakushughulikie barabara kama Leo anavyoshughulikiwa kijeshi na kiuchumi
Asanteni.......
Kapigana nazo huku JF au wapi?
Russia anapigana na Ukraine, hakuna hata nchi moja imeingiza askari pale, katika vita kusaidiwa au kuuziwa silaha ni jambo la kawaida.Mpka sasa urusi amepigana na nchi 30 kwa wakati mmoja kitu ambacho hakijawai fanyika tangu kuanza kwa dunia[emoji16]
Acha ujinga wewe, Canada alishapeleka Askari wengi tu kwa madai ni Wanajeshi wa kujitolea kuisaidia Ukraine vita dhidi ya Russia.Russia anapigana na Ukraine, hakuna hata nchi moja imeingiza askari pale, katika vita kusaidiwa au kuuziwa silaha ni jambo la kawaida.
Russia anapigana na Ukraine, hakuna hata nchi moja imeingiza askari pale, katika vita kusaidiwa au kuuziwa silaha ni jambo la kawaida.
Acha ujinga wewe, Canada alishapeleka Askari wengi tu kwa madai ni Wanajeshi wa kujitolea kuisaidia Ukraine vita dhidi ya Russia.
Hujui chochote tena humu kaa kimya kabisa.
Umekula lakini?Mkakati sio tena kuchukua Kiev kama wanavyoiita askari na majeshi yana retreat kuelekea mashariki watengeneze East Ukraine kwa kujaribu uunganisha miji ya Crimea Khraviv na Donbass na Donesky