Rais Putin kabadili gia angani

Rais Putin kabadili gia angani

Mkakati sio tena kuchukua Kiev kama wanavyoiita askari na majeshi yana retreat kuelekea mashariki watengeneze East Ukraine kwa kujaribu uunganisha miji ya Crimea Khraviv na Donbass na Donesky.

Msafara wa magari ya kivita kuelekea Kyiv haujulikani umeishia wapi . Mkwala wa Putin kwamba nchi zitakazoingilia zitakiona Cha moto tunaona Hadi neutral Sweden na Finland wanatoa misaada ya siraha na Hadi ya kiutu.

Huku siraha za NATO zikiifanya vifaru vya Urussi T-72 na T-80 kama midoli tu mbele ya Javelin huku askari wa Putin wakikimbia kuvitelekeza.

Nadhani funzo ni kuwa shinda diplomasia kwa nguvu ya influence na sio ubabe sababu ukiamini katika ubabe ni kuwaunganisha adui na sio adui wakushughulikie barabara kama Leo anavyoshughulikiwa kijeshi na kiuchumi

Asanteni.
Putin will die shamelessly..
 
Umekula lakini?

Una kipato cha uhakika na cha kudumu?

Uko happy na maisha yako?

Au ndio mbayuwayu kurukia kila headlines za duniani wakati bado hujayaweka maisha yako sawa?

Unahitaji msaada wowote wa kimaisha au kuwezeshwa? Mbona unadakia nyuzi za watu huku kama unaonekana umepigika una uchungu na dalili za depression
 
Unahitaji msaada wowote wa kimaisha au kuwezeshwa? Mbona unadakia nyuzi za watu huku kama unaonekana umepigika una uchungu na dalili za depression
Public forums hizi

Ati nyuzi za watu
 
Baada ya kupoteza magari ya vita....haya ndio magari anatumia Sasa kwenye vita ya UKRAINE huku akitishia kupiga Nukes
Screenshot_20220329-200540.jpg
 
Acha ujinga wewe, Canada alishapeleka Askari wengi tu kwa madai ni Wanajeshi wa kujitolea kuisaidia Ukraine vita dhidi ya Russia.

Hujui chochote tena humu kaa kimya kabisa.
Kama ni kweli mbona Putin hatimizi ile ahadi yake ya kuishambulia nchi itayojiingiza kusaidia Ukraine?
 
Tunaomba hio source ya putin kusema anaichukua ukraine..........toka mwanzo alisema ni operation ya kuipunguza nguvu kijeshi ukraine na kutokomeza vikundi vya wa nazi.

Huku akiyatambua majimbo huru ya luhansk na donbass na ndo ameenda kuyakomboa.......huko kwingine wametandikwa ili tu wasiwe threat kwa mrusi......ndo maana wao wameiita ni opereshen ya kijeshi na sio vita
Huko sasa ndiyo kubadiri giant angani!!Kipigo kwenye uwanja wa mapambano ameshia kutafuta maridhiano Fala sana huyo jamaa!!
 
Putin over ratted sana kaumbuka sana,anatafuta mlangp wa kutokea tu
Sababu vita ni hela ndefu hakupanga ichukue muda wote huo, mpaka Ukrain nao wanatoa masharti ya mazungumzo, kuna watu hawafuatilii hapa sio Ukrain tu wanataka majadiliano ya kumaliza vita hata mrussi nae kaomba yawepo mazungumzo.

Kudadeki ukrain
 
Watu wanaangalia cnn ila mkipata bahati yakuangalia tvs zisizokuwa na umagharibi mtajua Ukraine kinachompata kwa sasa, mrusi alianza kusafisha mghala yake na mavifaru,ma bm ya 90's na kafanikiwa kuharibu miundo mbinu ya Ukraine na kwa sasa kaanza kutumia zana mpya wanakoma wa Ukraine vitu wanavyopewa na magharibi vinatekwa kila uchao
 
Tunaomba hio source ya putin kusema anaichukua ukraine..........toka mwanzo alisema ni operation ya kuipunguza nguvu kijeshi ukraine na kutokomeza vikundi vya wa nazi.

Huku akiyatambua majimbo huru ya luhansk na donbass na ndo ameenda kuyakomboa.......huko kwingine wametandikwa ili tu wasiwe threat kwa mrusi......ndo maana wao wameiita ni opereshen ya kijeshi na sio vita
Sasa amepunguza hiyo nguvu?
 
Watu wanaangalia cnn ila mkipata bahati yakuangalia tvs zisizokuwa na umagharibi mtajua Ukraine kinachompata kwa sasa, mrusi alianza kusafisha mghala yake na mavifaru,ma bm ya 90's na kafanikiwa kuharibu miundo mbinu ya Ukraine na kwa sasa kaanza kutumia zana mpya wanakoma wa Ukraine vitu wanavyopewa na magharibi vinatekwa kila uchao
Wamekimbia Kiev hukooo
 
"Every war is based on deception" - Sun Tzu

Unaongopewa "tunakuja Kiev", kumbe watu shida yao ni Donbass. Na pengine hata hiyo nayo ikawa changa la macho tu.

Vita hazipiganwi kwa mchakato maalum kama wa katiba mpya. It's simply a good combination of lies, deception, propaganda and timing!
 
Kabisa mtu anafatilia vita kwenye taarifa ya habari......kamanda kabisa aseme leo tunavamia mji huu kwenye tv halafu maboya yanajua kweli
 
Du Mkuu Super power ni Russia, UKRAIN kuomba misaada ni sahihi kabisa, uwezo wake mdogo kila mtu anajua lakini cha ajabu super power mwezi na zaidi ni kubomoa majumba tu na maghala ambayo hayaishi halafu hata mwezi bado nae putin wa super power anaomba msaada Chechnya,Belarus,China na kwa marafiki.
Asingekua anaomba msaada

Putin hapo anapigana na ukraine +Nato na marekani...............vita haina katiba
 
Back
Top Bottom