profkobayashi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 224
- 71
hana ugonjwa wa kuanguka anguka ndo maana...angekuwa wetu huyu saa hizi angekuwa anapumulia mashine
atadondoka mzee wetu
Juzi rais wa Russia Putin aliamua kufanya press conference ya masaa 5 na kila mwandishi wa habari alipewa fursa kuuliza maswali yoyote yale.
Jamaaa kwa kweli namwaminia.
Kila swali lilijibiwa mpaka waandishi wakakosa cha kuumuliza
I hope premi na Salva wamejifunza kuhusu hili
Lakini alikuwa kakaaa
huyu jamaa kweli kiboko
Ni KGB na sisi next time tuchague rais ambaye ni TISS
lakini alikuwa kakaaa
huyu jamaa kweli kiboko
ni kgb na sisi next time tuchague rais ambaye ni tiss