Haya malipo yanayoitwa expatriate allowance kwa watumishi wa kigeni walioajiliwa na serikali kwa mkataba ni sehemu inayofuja pesa za umma.
Kwa mfano katika vyuo vikuu na vishiriki mbalimbali hawa wageni hulipwa mshahara kutokana na cheo chake, pia hulipwa expatriate allowance ambayo ni 50 % ya mshahara anaostahili. Cha kushangaza ukienda katika nchi nyingine unakuta malipo anayolipwa local staff ndiyo huo huo atakaolipwa foreigner iwapo wanafanana vyeo.
Hapa kwetu TZ kwa mfano: Lecturer ambaye ni foreigner anamzidi mshahara Lecturer mwenzake ambaye ni local staff pia anamzidi senior lecturer kwa kipato kwa mwezi kutokana na hii formula ya ajabu.
Huu ni mfano tu katika eneo moja, nina imani maeneo mengine nayo yatakuwa na ubaguzi wa namna hii. Ni vyema rais wetu au waziri anayeshughulikia utumishi akaliangalia suala hili. Modds samahani kama sijalileta sehemu muafaka uniwie radhi akini yote ni katika harakati za kuliuisha taifa letu. Mungu awabariki.