Hapana. Watanzania ni watu wa species nyingine kabisa. Wakenya huwezi kuwachezea namna hii.Acha kufananisha Waarabu na watu wa ajabu
Acha kufananisha Waarabu na watu wa ajabu
Acha kufananisha Waarabu na watu wa ajabu
Nakumbuka yule mmachinga wa Tunisia muuza matunda ambaye baada ya kujichoma moto, vurugu zilizofuata zilisambaa nchi zote za kiarabu! Syria mpaka leo mambo hayajapoa.Acha kufananisha Waarabu na watu wa ajabu
Moja ya move ya kuyapinga haya ni hili vuguvugu na KUANDIKWA KWA KATIBA MPYA YA WANANCHI...Watanzania ni watu wa ajabu sana sijui ni sababu ya upole na unyenyekevu au uoga! La sivyo wako katika lindi la ujinga!
Mwaka 2019 wananchi wa Sudan waliiondoa serikali ya Rais Omary al Bashir kwa kuongeza bei ya mkate kwa kufanya maandamano nchi nzima. Walifanikiwa na sasa Bashir anatumikia kifungo jela kwa ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
Watanzania tumeongezewa kodi lukuki zingine zikipewa majina ya ajabu kama kodi za mshikamano sijui kodi za uzalendo nk, tumebaki tunanung'unika kimoyo moyo! Kodi ya miamala imepanda, bei ya mbolea imepanda, nauli za usafiri na usafirishaji zimepanda, bei ya mafuta imepanda lakini tunashindwa kuihoji serikali yetu tumebaki tunapiga makelele kama wehu!
Wakati huo huo serikali inapanga kujenga sanamu ya mabilioni ya fedha, gharama za kuendesha serikali inazidi kupanda kutokana na ukubwa wa serikali, ufujaji wa fedha za umma na ufisadi. Aidha serikali inazidi kukopa fedha kwa matumizi yale yale ambayo serikali inakusudia kutumia fedha za kodi mpya!
Watanzania tumebaki kukodoa macho kama vile hatuoni kinachoendelea na hakituhusu! Nani huyu aliyeturonga na kuzaliwa na udumavu wa akili? Kuna matumizi mabaya sana ya madaraka viongozi wetu wanafanya lakini tunashindwa kuwawajibisha!
Watanzania tuamke vinginevyo twafwa!
Ni kweli kabisa kwani kutegemea hisani ya mtu ni utumwa ndani ya nchi yako mwenyewe!Moja ya move ya kuyapinga haya ni hili vuguvugu na KUANDIKWA KWA KATIBA MPYA YA WANANCHI...
Mambo yanakuwa hayawezekani kwa sababu sheria mama ya nchi [Katiba] inawapa mamlaka viongozi kujiamulia wamkamueje mwananchi na wewe mwananchi huwezi kuwa na "say" kwa sababu sheria haikuruhusu kunyanyua mdomo kupingana na viongozi kwa mambo yahusuyo fedha iwapo wameshayaamua wenyewe...
Kwa hiyo, mbinyo (pressure) wa katiba Mpya uendelee kwa kasi sana. Hili likifanikiwa kwa kila mmoja kushiriki kwenye vuguvugu hili, itakuwa ni hatua nzuri ya mwanzo kurudisha mamlaka ya nchi mikononi mwa wananchi wenyewe...
Kutokea hapo, huo utakuwa mwanzo wa viongozi kuanza kuenzi na kuwaheshimu wenye nchi ambao ni umma...
Watanzania sio binadamu wa kawaida. Wana ustahimilivu mkubwa wa matatizo
uleee moshi wa mwenge anza nao kwanza!! ukifanikiwa baasoWatanzania ni watu wa ajabu sana sijui ni sababu ya upole na unyenyekevu au uoga! La sivyo wako katika lindi la ujinga!
Mwaka 2019 wananchi wa Sudan waliiondoa serikali ya Rais Omary al Bashir kwa kuongeza bei ya mkate kwa kufanya maandamano nchi nzima. Walifanikiwa na sasa Bashir anatumikia kifungo jela kwa ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.
Watanzania tumeongezewa kodi lukuki zingine zikipewa majina ya ajabu kama kodi za mshikamano sijui kodi za uzalendo nk, tumebaki tunanung'unika kimoyo moyo! Kodi ya miamala imepanda, bei ya mbolea imepanda, nauli za usafiri na usafirishaji zimepanda, bei ya mafuta imepanda lakini tunashindwa kuihoji serikali yetu tumebaki tunapiga makelele kama wehu!
Wakati huo huo serikali inapanga kujenga sanamu ya mabilioni ya fedha, gharama za kuendesha serikali inazidi kupanda kutokana na ukubwa wa serikali, ufujaji wa fedha za umma na ufisadi. Aidha serikali inazidi kukopa fedha kwa matumizi yale yale ambayo serikali inakusudia kutumia fedha za kodi mpya!
Watanzania tumebaki kukodoa macho kama vile hatuoni kinachoendelea na hakituhusu! Nani huyu aliyeturonga na kuzaliwa na udumavu wa akili? Kuna matumizi mabaya sana ya madaraka viongozi wetu wanafanya lakini tunashindwa kuwawajibisha!
Watanzania tuamke vinginevyo twafwa!
we mpuuzi serikali yako ya kifisadi CCM ni wizi mtupu na kesi zao za kubumba ili kukusanya fedha za dhuluma. but time will tellAcha kuwashauri watu ujinga wa kuanzisha uasi dhidi ya serikali yao pendwa. Mbona sisi chadema kila mara huwa tunawachangia viongozi wetu hela za kuendesha chama, hela za uchaguzi, na za kuwatoa jela viongozi wote wanaokamatwa licha ya kuaminishwa kuwa mwenyekiti wetu ni tajiri wa kutupwa. lkn hatuandamani, wala kulalamika kuwa michango yetu inaliwa na wajanja wachache ndan ya chama.