Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 22
is this important for us?Rais Barack Obama amezomewa alipokuwa akitoa hotuba katika chuo Kikuu cha Notre Dame huko Marekani.
Rais Obama ambaye alitunukiwa Digrii ya heshima, alizomewa pale alipotoa mwito kwamba mjadala kuhusu utoaji mimba usisitishwe bali uendelezwe kwa nidhamu, huku watu wakiheshimiana.
Kimsingi, Rais Obama hapingi utoaji wa mimba kama ulivyo msimamo wa kanisa Katoliki.
US President Barack Obama waves as he arrives on the stage to attend the commencement ceremony in the Joyce Center of Notre Dame University in South Bend.
Nini mawazo yenu wana JF?
Well mimi nafikiri watu watoe mimba tu kama wanafikiri kufanya hivyo italeta ahueni katika maisha yao ya kila siku , mtu atumie mwili wake kwa uhuru wote anaoona yeye utamfaa
is this important for us?
Well mimi nafikiri watu watoe mimba tu kama wanafikiri kufanya hivyo italeta ahueni katika maisha yao ya kila siku , mtu atumie mwili wake kwa uhuru wote anaoona yeye utamfaa
sio wote wameingiza mimba kwa kujitakia wengine ni kubakwa wengine ni mapenzi ya kulazimishana katika ndoa au nje ya ndoa na mambo kama hayo kwahiyo mtu akiamua kutoa mimba tuheshimu uhuru na haki yake kama mwanadamu
Well mimi nafikiri watu watoe mimba tu kama wanafikiri kufanya hivyo italeta ahueni katika maisha yao ya kila siku , mtu atumie mwili wake kwa uhuru wote anaoona yeye utamfaa
Wewe mama yako angekutoa sijui leo ungekuwa wapi! jalalani au umeliwa na fisi? You liberals you are screwing this world, yes including Obama!
In general chama cha Democtrat ni chama cha kuruhusu kila aina ya maovu nchini Marekani. Hata makamu wa rais bwana Joe Biden ni mfuasi wa Mammoth (dini ya waabudu shetani) ingawa anajitambulisha kama mkatoliki. Hovyo kabisa.
Jamani inashangaza tunapokuwa na sheria zinazokinzana, utoaji mimba ni uuaji kwanini iruhusiwe mtu akiona mimba inamkera atoe basi turuhusu hata mauaji ya mengine mtu akikukera ua na usichukuliwe hatua. Uhai wa mtu huanza pale mimba inapotungwa. Wamefanya vyema kumzomea!!!
huyu SHY nae alikua kwenye post ya freemasons akifagilia fagilia kule.
Jamani inashangaza tunapokuwa na sheria zinazokinzana, utoaji mimba ni uuaji kwanini iruhusiwe mtu akiona mimba inamkera atoe basi turuhusu hata mauaji ya mengine mtu akikukera ua na usichukuliwe hatua. Uhai wa mtu huanza pale mimba inapotungwa. Wamefanya vyema kumzomea!!!
Mbonafingi,....,,,,,,,,,,,,, Medically acepted uhai unaanzia wiki ya 12 ya mimba ambapo ubongo huwa tayari umeshatengenezwa na hata kufa kwa mtu ni pale ubongo unapoacha kufanya kazi...........................
.
MBONAFINGI,
Nimeyapenda sana mawazo yako.
Yanafikirisha na kutia huruma ndani ya moyo wa mtu.
KWELI : Uhai huanza pale mimba inapotungwa.
Huo ni mwili au nafsi nyingine, kiumbe mwingine mwenye haki ya kuishi kama ilivyo kwa wanadamu wengine wote!....... mtu atumie mwili wake kwa uhuru wote anaoona yeye utamfaa