Rais ni lazima awe na umri wa miaka 45 na kuendelea, vipi kwa mrithi wake kama hatakuwa na umri huo?

Kwanini mpaka upindukie miaka 40 ndio uruhusike kugombea uraisi? mambo ya kishamba sana
Mbona Nyerere alikua raisi akiwa below 40?
Hapo walio wanahitaji Watu wakubwa wenye busara nazani maana kipindi cha nyuma mkubwa ndio alikuwa na busara zaidi ya Watu wa kipindi hiki licha ya wachache kipindi hicho hata vijana walikuwa na busara mfano Nyerere
 
Katiba mpya inahitajika na hizo Sheria zimepitwa na wakati, yule DJ wa Madagascar alikuwa Rais chini ya miaka 40, Joseph kabila Kawa Rais Chini ya 40, mifano ni mingi. Katiba inatakiwa itamke Umri kuanzia miaka 21 na Elimu kuanzia Degree 1, mtu Anaweza kuchaguliwa kuwa Rais, na vigezo Hadi awe na Mke viondolewe.. Hata msela Anaweza kuwa na Busara kushinda Hawa wazee wenye 50yrs.
 
Kweli hivyo tumuunge hata Chalamila kuwa katiba mpya ni muhimu sana.
 
Hapo walio wanahitaji Watu wakubwa wenye busara nazani maana kipindi cha nyuma mkubwa ndio alikuwa na busara zaidi ya Watu wa kipindi hiki licha ya wachache kipindi hicho hata vijana walikuwa na busara mfano Nyerere

Kwahivyo na Jiwe alikua na busara?
 
Back
Top Bottom