TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,436
- 3,558
Ndio.
Kuna speech moja amesikika akisema "Wewe kula chako kaa kimya",naam tena alikuwa akiongea Katika majukumu yake kama mkuu wa nchi aliyeapa kuilinda na kutetea katiba ambayo inapinga dhulma kama rushwa.
Kwa muktadha huu huwezi kunikatalia nikisema huyu ndie kiongozi wa genge la kutoa rushwa,anatoa rushwa hadharani kwa mwamvuli wa michango na zawadi kwa kwa kigezo cha yeye ni Rais.
Pesa zote za serikali zina utaratibu wa kuzutoa ila anazozitoa yeye hatujui zinatoka kwa utaratibu gani?.
TAKUKURU hawawezi kumgusa yeye na washirika wake sababu yeye ndio aliyewateua makamishina wakuu na wakurugenzi,watatoa wapi nguvu ya kuhoji na kuchukua hatua?.
TAKUKURU inafaida gani kama mkuu wa nchi anafikia hatua yakufanya mambo kinyume na taratibu,anategemea watakuwa vipi na nguvu yakutekwleza majukumu yake?.
Ndio maana walijitungia sheria kujipa kinga yakutoshitakiwa ili wafanye upuuzi kwa uhuru.