baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 11,479
- 12,092
Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Amirijeshi mkuu.
Naomba nikuombee kura hapa Jamii Forums hii ni platform kubwa huwezi kuimbeza.
Ila na mimi nina Maombi yangu kwako Mama kama manne hivi maana ninachokiomba kiko ndani ya Uwezo wako.
Mama kama unakumbuka kuna kipindi mitandao yote Tanzania ilikuwa inaimba sifa nzuri za kwamba unaupiga mwingi na ni kweli hapo nyuma uliupiga mwingi sana kila mtu alikuwa anakusifia ulitenda mambo mazuri sana.
Nakuja kwako mama na maombi yangu,
La kwanza naomba utoe tamko la kijana wetu Polepole apatikane, kama kuna makosa mama tafadhali naomba asamehewa huyu ni kijana mwana CCM mwenzetu kuelekea kwenye uchaguzi ili sio jambo jema ndani ya CCM kuna kura utazipoteza kisa huyu kijana.
Ombi langu la pili naomba umwachilie Tundu Antiphas Mughwai Lissu bila masharti yoyote kupitia DPP, niliowataja wote ni wapiga kelele tu na kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji.
Nimekuomba hayo kwasababu Wewe ni Amiri jeshi Mkuu na kesi za Chadema zote zifutwe mahakamani.
Kuelekea Oktoba 29 ukifanya haya mama utakuwa umeponya Taifa na hutakuwa na deni na mtu na Utakuwa na amani moyoni mwako na kura utavuna za kutosha Oktoba 29
Achana kusikiliza wanafiki na wapambe hao ni watu wabaya tufungulie mitandao ya kijamii yote ikiwepo na JF yetu maisha yaendelee.