Rais naomba hii nafasi ya kazi ukurugenzi wa jiji la Mwanza tafadhali madame.
Nina elimu ya shahada
Miaka kumi na moja tangu nimalizie elimu ya shahada.
Mkurugenzi wa kampuni binafsi Kwa miaka 7. Ila tunadili na serikali.
Miaka mitano ajira kwenye private sector
Nimesoma Aza boy(walikuja wazee niwe nao nikachomoa) advance hapo
Airwing(wakajua wazee nikachomoa).
Mbuyuni primary school,mke wa kikwete na mama Magufuli ni walimu wangu(walikuja vijana nikachomoa)
Mtiifu
Naomba kazi ya ukurugenzi wa jiji la Mwanza.
Nina sifa za kuwa mtu mwema,elimu ya kutosha na na
Asante sana.
Mh Rais siitaji kuliibia Taifa naomba kazi