Rais na Mwenyekiti Dr. John P. Magufuli, umeionaje hali ya ofisi ndogo ya CCM Lumumba?

Kuangalia kama viongozi wa serikali wanatekeleza ilani ya CCM chama tawala sawasawa na ilani upinzani ukienda kuzunguka Ni kuzurura hutatui kero ya wananchi Wala chochote Ni kubomoa ruzuku tu
Mkuu Umeshafika Baadhi ya Majimbo yaliyo Chini ya Upinzani? Mimi nimefika ambayo yako Chini ya CCM..Yana Hali mbaya Mno..MNA Serikali,Rasilimali na Ruzuku kubwa Kuliko wanayopata Vyama vyote vya Upinzani.
 
Mleta mada hangaika na chadema yako CCM tuachie wenyewe.Eti ziara za kichama Hakuna Pole pole huoni na timu wakizunguka nchi nzima?

Sasa ni kwa nini mme wazuia wengine kufanya Siasa wakati ninyi mna Zurura Nchi nzima ?
 
Katika ziara yako ya kikazi hapa Ofisi Ndogo Lumumba, kama Mwenyekiti wa CCM na Rais, umeionaje Ofisi yetu? Mazungumzo yako na viongozi waandamizi na makada wa CCM yamezaa matunda gani? Tuwe na matumaini au nasi tusubiri kama watumishi wa umma?

Posho zimeyeyuka; safari za kiziara zimekauka; mishahara ya watumishi wala kichama hapa Ofisini, pamoja na Uhuru Printers, imesimama kama mishale ya saa mbovu; 'uzalendo' katika kutetea chama mitandaoni umepungua; biashara ya t-shirts, suruali na kapelo za chama hapo nje hoi.

Rais na Mwenyekiti wangu, tunatokaje hapo kama chama?

Bunge ni la kuarifiwa au la kujadili na kupitisha bajeti!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mengine tukae kimya picha ziongee
IMG_20180510_142605_512.jpg
IMG_20180409_133818_450.jpg
 
Chuki haikusaidii - inakusababishia msongo wa mawazo, ugonjwa wa sukari na shinikizo la damu. Mbona pamoja na ruzuku mnazopata cdm lkn hata tawi moja nchini mmeshindwa kujenga???
 
Sasa ni kwa nini mme wazuia wengine kufanya Siasa wakati ninyi mna Zurura Nchi nzima ?
Ruksa kufanya majimboni mwao kusimamia maendeleo .CCM Ni chama tawala ruksa kuzunguka nchi nzima wewe zunguka jimboni kwako au eneo lako la udiwani ruksa hakuna wa kukuzuia
 
Katika ziara yako ya kikazi hapa Ofisi Ndogo Lumumba, kama Mwenyekiti wa CCM na Rais, umeionaje Ofisi yetu? Mazungumzo yako na viongozi waandamizi na makada wa CCM yamezaa matunda gani? Tuwe na matumaini au nasi tusubiri kama watumishi wa umma?

Posho zimeyeyuka; safari za kiziara zimekauka; mishahara ya watumishi wala kichama hapa Ofisini, pamoja na Uhuru Printers, imesimama kama mishale ya saa mbovu; 'uzalendo' katika kutetea chama mitandaoni umepungua; biashara ya t-shirts, suruali na kapelo za chama hapo nje hoi.

Rais na Mwenyekiti wangu, tunatokaje hapo kama chama?

Bunge ni la kuarifiwa au la kujadili na kupitisha bajeti!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mkuu VUTA NKUVUTE hivi Mzee Kinana mmemfanyaje ?
 
MWAFAAAAAAAAAAAAAAA
 
Hakuna cha chama wala jumuiya....Ni mwendo wa One Man Show,mamaeeee
Mamaaeeeee "" ule wimbo wakati wana utunga walidhani utakuwa na mipaka ya waimbaji"" waendelee kushiriki tu " katika uimbaji kiitikio ""
 
n
Mleta mada hangaika na chadema yako CCM tuachie wenyewe.Eti ziara za kichama Hakuna Pole pole huoni na timu wakizunguka nchi nzima?
ni aibu kwa mtu.mwrnye akili na utashi kaupigia mstari kaneno kamoja na kukafanya ndio ujumbe.
 
Ruksa kufanya majimboni mwao kusimamia maendeleo .CCM Ni chama tawala ruksa kuzunguka nchi nzima wewe zunguka jimboni kwako au eneo lako la udiwani ruksa hakuna wa kukuzuia

Mungu ana kuona Mkuu..
 
Wanakimbilia au polepole anawanunua.
mtaishia kusema.watu.wananunuliwa wewee huku wanazidi kupungua siku hata siku..mwishowe mtastukia wamekwisha sijui ndio mtaanza kupiga hesabu ya pesa za ku wanunua ilizotumika..hahahaha
 
Katika ziara yako ya kikazi hapa Ofisi Ndogo Lumumba, kama Mwenyekiti wa CCM na Rais, umeionaje Ofisi yetu? Mazungumzo yako na viongozi waandamizi na makada wa CCM yamezaa matunda gani? Tuwe na matumaini au nasi tusubiri kama watumishi wa umma?

Posho zimeyeyuka; safari za kiziara zimekauka; mishahara ya watumishi wala kichama hapa Ofisini, pamoja na Uhuru Printers, imesimama kama mishale ya saa mbovu; 'uzalendo' katika kutetea chama mitandaoni umepungua; biashara ya t-shirts, suruali na kapelo za chama hapo nje hoi.

Rais na Mwenyekiti wangu, tunatokaje hapo kama chama?

Bunge ni la kuarifiwa au la kujadili na kupitisha bajeti!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Nyie mlijua watakao umia ni cdm, nccr, act na cuf tuu, isomemi namba vizuri huko, tena nyie ndo mtaisoma vizuri coz ndo mlioiandika wenyewe
 
Hivi report ya uhakiki wa Mali za CCM tayari?

Nasubiri kuona jinsi watakavyohalalisha Viwanja vya michezo kuwa Mali yao halali na si ya dhuruma.

Maana msema ukweli ni mpenzi wa mungu kweli kweli!!
Hata wakiona aibu kusema si vyao basi kwa nia njema wajifanye wamevigawa/ wamevimilikisha kwa halmashauri na majiji ili viendelezwe n.k.
 
Back
Top Bottom