Rais na Mwenyekiti Dr. John P. Magufuli, umeionaje hali ya ofisi ndogo ya CCM Lumumba?

Kijana uwe na adabu na wakubwa zako! Unawezaje kumkejeli Mzee Tupatupa aliyeitoa mbali Tanu na ccm mpaka mkaikuta na kuanza kula buku 7?
Hapo anaongea kichama zaidi na mwenyekiti juu ya hali mbaya iliyoko hapo Lumumba ili itengemae. Tumechoka kuona ndoa za watumishi wa ccm zina tetereka maana wake zao huku mtaani wamekuwa "ugawaji" na hawa vijana was peoples wanawabomoa huko magengeni sio mchezo!
Umenikumbusha Kamanda Kilewo na mkewe Joyce ambaye kwa sasa anaishi kwa hisani ya Watu wa Ilala bomani!......CCM hoyeee!
 
Katika ziara yako ya kikazi hapa Ofisi Ndogo Lumumba, kama Mwenyekiti wa CCM na Rais, umeionaje Ofisi yetu? Mazungumzo yako na viongozi waandamizi na makada wa CCM yamezaa matunda gani? Tuwe na matumaini au nasi tusubiri kama watumishi wa umma?

Posho zimeyeyuka; safari za kiziara zimekauka; mishahara ya watumishi wala kichama hapa Ofisini, pamoja na Uhuru Printers, imesimama kama mishale ya saa mbovu; 'uzalendo' katika kutetea chama mitandaoni umepungua; biashara ya t-shirts, suruali na kapelo za chama hapo nje hoi.

Rais na Mwenyekiti wangu, tunatokaje hapo kama chama?

Bunge ni la kuarifiwa au la kujadili na kupitisha bajeti!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Ha ha haa,mlizoea kujimilikisha vitu vya CCM kuwa mali yenu binafsi,sasa jiwe limeamua kuwanyoosha hadi mnatia huruma
 
Katika ziara yako ya kikazi hapa Ofisi Ndogo Lumumba, kama Mwenyekiti wa CCM na Rais, umeionaje Ofisi yetu? Mazungumzo yako na viongozi waandamizi na makada wa CCM yamezaa matunda gani? Tuwe na matumaini au nasi tusubiri kama watumishi wa umma?

Posho zimeyeyuka; safari za kiziara zimekauka; mishahara ya watumishi wala kichama hapa Ofisini, pamoja na Uhuru Printers, imesimama kama mishale ya saa mbovu; 'uzalendo' katika kutetea chama mitandaoni umepungua; biashara ya t-shirts, suruali na kapelo za chama hapo nje hoi.

Rais na Mwenyekiti wangu, tunatokaje hapo kama chama?

Bunge ni la kuarifiwa au la kujadili na kupitisha bajeti!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
haha ahahhaa hhaa ameamua KURARA NA NYIE MBERE! msimpe frastiresheni bana wacha anyooshe mambo! tunajenga SGR
 
Duh sasa mmeanza kunyooka na bado mpaka 2025 ndiyo mnaweza kupata ahueni.
 
Siasa si Zimekatazwa Mpaka 2020!!
Au CCM mko juu ya Sheria?
Hata Wabunge Wanaruhusiwa Kwenye Majimbo yao tu..Polepole Kwanini anazunguka Nchi nzima?
Kuangalia kama viongozi wa serikali wanatekeleza ilani ya CCM chama tawala sawasawa na ilani upinzani ukienda kuzunguka Ni kuzurura hutatui kero ya wananchi Wala chochote Ni kubomoa ruzuku tu
 
Kijana uwe na adabu na wakubwa zako! Unawezaje kumkejeli Mzee Tupatupa aliyeitoa mbali Tanu na ccm mpaka mkaikuta na kuanza kula buku 7?
Hapo anaongea kichama zaidi na mwenyekiti juu ya hali mbaya iliyoko hapo Lumumba ili itengemae. Tumechoka kuona ndoa za watumishi wa ccm zina tetereka maana wake zao huku mtaani wamekuwa "ugawaji" na hawa vijana was peoples wanawabomoa huko magengeni sio mchezo!
Kingunge pia alikuwa Kama huyu.Huyu mleta mada naye Ni ziro . Kingunge na huyu Wana tofauti gani?
 
Kingunge alikuwa na kadi namba 6.

Soma kadi namba yako ndio utajuwa tofauti ya kichuguu na mlima na x na kuzidisha.
mbona alikimbia vita ya uchaguzi mkuu wa 2015 akatutelekezea CCM vijana wadogo wenye kadi za karibuni ndio tupigane Kuhakikisha CCM inabaki madarakani na mgombea uraisi wa CCM anakuwa raisi.To hell na kikadi chake Namba 6
 
Kodi za wananchi zipo zitaendesha chama, nakumbuka siku anakabidhiwa uenyekiti na JK alionywa na kuambiwa kila siku chama kitakufata na kuomba pesa na yeye atazitoa hazina.
Chama limechoka kifedha mpaka limevamia vjjni nakuanza kunyang'anya majengo ya Raia eti wamejenga kwenye maeneo ya TANU mda wote mlikua wapi mpaka watu wanajenga?
 
mbona alikimbia vita ya uchaguzi wa 2015 akatutelekezea CCM vijana wadogo wenye kadi za karibuni ndio tupigane Kuhakikisha CCM inabaki madarakani na mgombea uraisi wa CCM anakuwa raisi.To hell na kikadi chake Namba 6
Rubbish.
 
Back
Top Bottom