Rais Museveni vs Rais Magufuli

Akili za kipinzani mbaya sana! hapo kuna watu wanakebehi kauli ya raisi.. na wakati wanakebehi unaweza kuta wako katkati ya mtaa wa kongo wakipiga mishe..badala ya kukebehi huku wamejificha ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…