Rais Yoweri Kaguta Museveni akicheza mpira leo wakati wa ufunguzi na maandalizi ya timu ya taifa ya Uganda kabla ya mechi ya kwanza ya kuwania kucheza kombe la dunia kati ya Uganda Cranes na Congo Brazzaville hapo kesho Ni siku chache tu tangu Rais Museveni alipokuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akikokota baiskeli yenye maji kwenda kumwagilia mimea Yote yanajiri baada kuwa gumzo siku za nyuma baada kuamua kumsimamisha msafara ili aongee na simu Kulitokea na mambo ya Ndondi hapa akiwa na Moses Golola, bondia wa Uganda na mwenye taji la Afrika uzani wa Middle
Uyu chief namkubali sana kwa maigizo ila Miafrika ndio tunapenda kudanganywa namna hii na hata head boy wetu nae si haba kwa maigizo sema anakosea location naamini akipati tu location atakua muigizaji bora kuliko Museveni.