Kajamaa kana kiherehere sana haka, yaani baada ya baba yake kuwa raisi imekuwa nongwa alikuwa wapi siku zote?
Ange subiri basi baba yake aondoke madarakani bwana busara gani hii?? Then waandishi na wachambuzi wetu wamekaa kimyaaa utadhani hawalioni hili, naona wanasubiri JK astaafu kama Mkapa ndio waanze kusema?