Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amechaguliwa kuwa mwenyekiti mwenza wa Baraza la Kimataifa la Wakimbizi

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,999
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amechaguliwa kuwa mwenyekiti mwenza wa Baraza la Kimataifa la Wakimbizi.

Rais Kikwete amechaguliwa kushika wadhfa huo wakati akiwa bado ni Mwenyekiti wa jopo la ngazi ya juu kuhusu Mwitikio wa Kimataifa wa Majanga ya Afya (High-Level Panel on Global Responses to Health Crises).

Kikwete.png

Former President Jakaya Kikwete has been named in the executive body of the World Refugee Council (WRC), an independent group of global leaders and innovators aimed at advancing new solutions to the global refugee crisis.

A press statement named Mr Kikwete as co-chair of the executive body which will be chaired by former Canadian Minister of Foreign Affairs, Lloyd Axworthy.

Hina Jilani from Pakistan and Rita Süssmuth from Germany will serve alongside Mr Kikwete as co-chairs while Paul Heinbecker will move in as deputy and Fen Hampson will serve the body as director.

The press statement said among other things, the Council will offer advice on broad-reaching reform and innovation to reinvigorate the global refugee system.

“The Council will develop a transformative agenda to help ensure that international cooperation for refugees is predictable, equitable and just,” reads part of the statement.

The council will also be served by 17 councillors.

“With the crisis in Syria entering its sixth year, and new crises emerging in Africa and around the world, the current refugee protection system is struggling to meet the needs of states and refugees alike,” said Axworthy. “Now more than ever there is an urgent need for bold and innovative thinking on how we can improve international cooperation and ensure more predictable outcomes for refugees and states alike.”

Source: Kikwete to serve in high profile council on refugees
 
Anang'ara nini wakati ameitumbukiza nchi kwenye giza toto r lisilomithirka?

Mateso yote tunayoyapata ni matunda ya kazi yke. Ametengeneza mkondo wa Tanzania kuwa wazalishaji wakuu wa wakimbizi. Nani asiyejua? Ukweli ni uhuru.

Afya gani akimarisha jamani? Watu wanashonwa nyizi bla ganzi. Hsoptal hakuan dawa, uchafu kila sehemu za maiji, sijasikia hata mkakati mmoja wa kutokomeza magonjwa ya milipuko na malaria.

Mwitikio huo ni wa wito upi? Ulitolwea wapi na nani hao wameuelewa na kuuitkia?

Huo mwitikio umebadilisha nini?

Tuacha porojo. Maisha yetu na ya watoto wetu kwanza.
 
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amechaguliwa kuwa mwenyekiti mwenza wa Baraza la Kimataifa la Wakimbizi.
Rais Kikwete amechaguliwa kushika wadhfa huo wakati akiwa bado ni Mwenyekiti wa jopo la ngazi ya juu kuhusu Mwitikio wa Kimataifa wa Majanga ya Afya (High-Level Panel on Global Responses to Health Crises).
labda na anang'ara baada ya kuitumbukiza kwenye uongozi wa kifalme na kidikteta
 
Hongera sana Mzee JK kwa hilo shavu tena! Hope utaenda wakilisha nchi yetu vyema
 
Attachments

  • IMG-20170517-WA0007.jpg
    IMG-20170517-WA0007.jpg
    71.7 KB · Views: 68
Anang'ara nini wakati ameitumbukiza nchi kwenye giza toto r lisilomithirka?

Mateso yote tunayoyapata ni matunda ya kazi yke. Ametengeneza mkondo wa Tanzania kuwa wazalishaji wakuu wa wakimbizi. Nani asiyejua? Ukweli ni uhuru.

Afya gani akimarisha jamani? Watu wanashonwa nyizi bla ganzi. Hsoptal hakuan dawa, uchafu kila sehemu za maiji, sijasikia hata mkakati mmoja wa kutokomeza magonjwa ya milipuko na malaria.

Mwitikio huo ni wa wito upi? Ulitolwea wapi na nani hao wameuelewa na kuuitkia?

Huo mwitikio umebadilisha nini?

Tuacha porojo. Maisha yetu na ya watoto wetu kwanza.
Kazi yao nini haswa?
 
Sasa naanza kukutambua. Chuki yako dhidi ya Uslamu itakuua. Soma vizuri uislamu, ili uutambue na ukusaidie kukuondoa kwenye matongotongo.
Kero yako hapo sio kikwete, ili ni Uislamu wa Kikwete. Pole sana.
Ila ndo hivyo, wewe unaumia kuwa Muislamu anapeta. Yeye anapeta. Kazi Mnayo.
 
Aliyekuwa rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ameteuliwa kuhudumu katika baraza kuu la wakimbizi duniani WRC, ambalo ni kundi huru la viongozi na wavumbuzi wanaolenga kubuni mbinu mpya za kutatua mizozo ya wakimbizi.

Kulingana na gazeti la The Citizen nchini Tanzania, taarifa kwa vyombo vya habari ilimtaja Bwana Kikwete kuwa mwenyekiti mwenza wa baraza hilo lililopo chini ya uenyekiti wa waziri wa maswala ya kigeni nchini Canada Lloyd Axworthy.

Gazeti hilo limesema kuwa Hina Jinali kutoka Pakistan na Rita Sussmith kutoka Ujerumani watafanya kazi pamoja na bwana Kikwete kama wenyekiti wenza huku Paul Heinbecker akichaguliwa kama naibu huku naye Fen Hamson akihudumu kama mkurugenzi.

Taarifa hiyo imesema kuwa miongoni mwa mengine, baraza hilo litatoa ushauri wa marekebisho na uvumbuzi ili kuimarisha mfumo wote wa wakimbizi duniani.

Baraza hilo litaleta mabadiliko ili kusaidia kuhakikisha kuwa ushirikiano wa kimataifa kwa wakimbizi unaeleweka, unafanyika kwa njia ya usawa na haki, ilisema taarifa hiyo.

Baraza hilo pia litashirikisha madiwani 17 wa mabaraza.

Chanzo: BBC Swahili
 
Mtu anapewa kazi ngumu ya kutatua matatizo ya wakimbizi duniani, wabongo wengine tunachoona ni "kala shavu".

Attitude hii inaona uongozi ni sehemu ya ulaji.

Halafu viongozi wetu wakifanya uongozi sehemu ya ulaji tutalalamika?
usichanganye mambo mkuu....
mtoa mada naamini kamaanisha JK anatambulika kimataifa kama kiongozi bora na mtawala wa haki ndo maana kapewa wadhifa mkubwa kama co-chairman...

story ya ulaji umeleta wewe...
 
Back
Top Bottom