Rais mstaafu Jakaya Halfani Mrisho Kikwete amealikwa kuhudhuria mkutano Mkuu wa maskauti duniani

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
4,496
5,693
Rais mstaafu wa awamu ya 4 DR Jakaya Halfani Mrisho Kikwete amealikwa kuhudhuria mkutano Mkuu wa maskauti duniani utakaofanyika nchini AZARBAIJAN.

Mkutano huo unatarajiwa kuanza 14 had I 19 Agosti mwaka huu,hakika hii ni heshima kubwa kwa taifa LA Tanzania.

Binafsi namtakia kila LA kheri katika kutuwakilisha huko majuu.
Sijui Mama mwantumu mahiza bado kamishna wa skauti bongo au washateua MTU mwinginee.
Povu ruhsa kwa wakosoaji.

Have a good afternoon all of you.

======

MKUTANO MKUU WA BARAZA KUU TANZANIA
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE MGENI RASIMI

Wakati Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Chama cha Skauti Tanzania ukianza kwa semina elekezi kwa Viongozi wote wa Skauti Tanzania.

Viongozi wa Skauti kutoka pande zote za Mikoa ya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani waliwasili kuanzia tarehe 12-08-2015 tayari kwa Mkutano Mkuu wa Baraza kuu la Taifa ambapo utakaofanyika siku ya jumamosi, tarehe 15-08-2015 katika Ukumbi wa Karimjee Dar Es Salaam, ambapo Mlezi wa Chama cha Skauti Tanzania Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Professor Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa mgeni rasimi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia ni Mlezi wa Chama cha Skauti Tanzania Prof. Jakaya Kikwete

Pamoja na Rais Jakaya Kikwete kuwepo pia watakuwepo viongozi wa Chama cha Skauti Tanzania, rais wa Chama cha Skauti Tanzania Dkt. Shukuru Kawamba (waziri wa Elimu na Ufundi), Skauti Mkuu Mheshimiwa Mwantum Mahiza (Mkuu wa Mkoa wa Lindi), Kamishna Mkuu Mheshimiwa Abdulkarim Shah (Mbuge wa Mafia - anayemalizia muda wake), Naibu Kamishna Mkuu Ndugu Rashid Mchatta, Mwenyekiti wa Kamati Tendaji Balozi Nicholaus Kuhanga, pamoja na Ma-kamishna wote wa Mikoa na Wilaya wa Skauti Tanzania.

Katika mkutano huo ambapo Rais J. Kikwete atachukua nafasi ya kuwaaga Skauti Tanzania, wito umetolewa kwa wadau na marafiki wa Skauti kujumuika kwa pamoja katika tukio hilo linalotarajiwa kuanza saa 2 asubuhi ya tarehe 15-08-2015, Jumamosi katika Ukumbi wa Karimjee Dar Es Salaam.
 
Rais mstaafu wa awamu ya 4 DR Jakaya Halfani Mrisho Kikwete amealikwa kuhudhuria mkutano Mkuu wa maskauti duniani utakaofanyika nchini AZARBAIJAN.
Mkutano huo unatarajiwa kuanza 14 had I 19 Agosti mwaka huu,hakika hii ni heshima kubwa kwa taifa LA Tanzania.
Binafsi namtakia kila LA kheri katika kutuwakilisha huko majuu.
Sijui Mama mwantumu mahiza bado kamishna wa skauti bongo au washateua MTU mwinginee.
Povu ruhsa kwa wakosoaji.
Have a good afternoon all of you.
Wanawake wa UVCCM mna shida sana, mna ugonjwa wa kudorora akili, yani umeanza vizuri ukamalizia kama mwanamke wa tandale uwanja wa fisi au CHAKUBANGA.
kwani usingeweka neno povu hedhi yako isingekata?si ungeendelea na hedhi kama kawaida?

just imagine JIWE angepata mwaliko huu, sijui ingekuwaje.
 
wanawake wa UVCCM mna shida sana, mna ugonjwa wa kudorora akili, yani umeanza vizuri ukamalizia kama mwanamke wa tandale uwanja wa fisi au CHAKUBANGA.
kwani usingeweka neno povu hedhi yako isingekata?si ungeendelea na hedhi kama kawaida?

just imagine JIWE angepata mwaliko huu, sijui ingekuwaje.
Wazazi tuhimize Watoto kujiunga na skauti Kuna faida nyingi mno mbele ya safari ila siziweki hapa.
 
Wazazi tuhimize Watoto kujiunga na skauti Kuna faida nyingi mno mbele ya safari ila siziweki hapa.
dm please, nafahamu skauti na girls guide pale upanga, miaka ya 1980 kulikuwa na watoto pale na wengi wao saa hii naona ni mawaziri, nawajua na wengine mabalozi, okay nijuze inbox
 
Wanawake wa UVCCM mna shida sana, mna ugonjwa wa kudorora akili, yani umeanza vizuri ukamalizia kama mwanamke wa tandale uwanja wa fisi au CHAKUBANGA.
kwani usingeweka neno povu hedhi yako isingekata?si ungeendelea na hedhi kama kawaida?

just imagine JIWE angepata mwaliko huu, sijui ingekuwaje.
Acha kunivunja mbavu jamani. Nimecheka kama mpuuzi fulani.
 
Back
Top Bottom