Mshaona FURSA ya kupiga PESA kama alivyokuwa kaiona BAREGU kwenye Katiba MPYA ( Lissu alimtaka ajitoe Akagoma ) maana Lissu yeye ni PESA MbeleMkuu kwa heshima zote nakuomba raisi wangu..Tundu Lisu naomba aongezwe kwenye listi.nimeaona umuhimu wake katika hii timu ambayo imebeba matumaini ya watz.kuna manufaa kadhaa kwa huyu mtu kuwepo kwenye haya mazungumzo..
1.Tundu lissu alikuwa anasema kuna mapungufu mengi kwenye kufuatilia hii isue labda apewe nafasi ili aonyeshe njia sahihi..
2.Mjuzi wa sheria..nimeona watu ambao tunaenda kufanya nao mazungumzo wanaowakilisha Barick ni hatar sana.Tundu lissu anaijua sheria na anauzoefu wa kesi nyingi saana..anajua wapi tumekosea na njia ya kukwepa kosa hilo.
3.Umoja wa kitaifa pasi na ugonjwa wa uchama..Tatzo linaloitafuna tifa ni uchama na ushabiki..naomba raisi wangu onyesha utofauti.maslahi ya taifa kwanza uchama baadae
Najua kuna mengi sana wenye mawazo makubwa zaid kuhusu hili.karibu
Hakua na haki ya kutaka kujua details zikoje?Asingeandika kimeseji kwa mwanyika tungemfikiria kwa ss hana sifa
Yuko na management ya accacia kwa hiyo unataka aingie awe anawapa siri za tume accacia? Elimu Ya sheria anayo ila uzalendo ni ziro. Huwezi weka mtu asiye na uzalendo kwa nchi yake hata kama anajua Sheria zote za madini dunianiItakuwa njema sana kwa demokrasia ya nchi yetu.Tatizo Lissu yuko kinyume na wakuu sasa hapo meza itakuwa na pande mbili au tatu??
Unaoita wazalendo ndio waliosign mikataba ya kusafirisha mchanga, ndio walioshindwa kuhakiki kama kinachoondoka ndio sahihi, ndio walipitisha mikataba mibovu kwa hati ya dharura na kelele za ndio.au unazungumzia uzalendo upi mkuuYuko na management ya accacia kwa hiyo unataka aingie awe anawapa siri za tume accacia? Elimu Ya sheria anayo ila uzalendo ni ziro. Huwezi weka mtu asiye na uzalendo kwa nchi yake hata kama anajua Sheria zote za madini duniani
Huyo boya wenu si atanunuliwa tu alivyo cheap!