Rais mpe Tundu Lissu nafasi kwenye mazungumzo na Acacia

Tatizo la kwetu kila kitu siasa ndiyo maana wazungu wanatuibia lissu naye anaweza akataa alishatoa mawazo yake endapo raisi akitaka kumchagua nafsi yoyote atadai katiba mpyaa kwanza
Hata kama akichaguliawa tatizo lake yy anapenda sana serikali ishindwe, kwani kwake ndo ushindi.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Msh Lisu hata ukichaguliwa usikubali kwa kuwa hawakukuelewa tangu mwanzo wakikwama zigo lisikuangukie oh kapewa mlungula n.k wacha wafu wazike wafu wao.
 
Back
Top Bottom