cacacuona
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 655
- 775
Mkuu kwa heshima zote nakuomba raisi wangu..Tundu Lisu naomba aongezwe kwenye listi.nimeaona umuhimu wake katika hii timu ambayo imebeba matumaini ya watz.kuna manufaa kadhaa kwa huyu mtu kuwepo kwenye haya mazungumzo..
1. Tundu lissu alikuwa anasema kuna mapungufu mengi kwenye kufuatilia hii isue labda apewe nafasi ili aonyeshe njia sahihi..
2. Mjuzi wa sheria..nimeona watu ambao tunaenda kufanya nao mazungumzo wanaowakilisha Barick ni hatar sana.Tundu lissu anaijua sheria na anauzoefu wa kesi nyingi saana..anajua wapi tumekosea na njia ya kukwepa kosa hilo.
3. Umoja wa kitaifa pasi na ugonjwa wa uchama..Tatzo linaloitafuna tifa ni uchama na ushabiki..naomba raisi wangu onyesha utofauti.maslahi ya taifa kwanza uchama baadae
Najua kuna mengi sana wenye mawazo makubwa zaid kuhusu hili.karibu