Rais mpe Tundu Lissu nafasi kwenye mazungumzo na Acacia

Mkuu kwa heshima zote nakuomba raisi wangu..Tundu Lisu naomba aongezwe kwenye listi.nimeaona umuhimu wake katika hii timu ambayo imebeba matumaini ya watz.kuna manufaa kadhaa kwa huyu mtu kuwepo kwenye haya mazungumzo..

1. Tundu lissu alikuwa anasema kuna mapungufu mengi kwenye kufuatilia hii isue labda apewe nafasi ili aonyeshe njia sahihi..

2. Mjuzi wa sheria..nimeona watu ambao tunaenda kufanya nao mazungumzo wanaowakilisha Barick ni hatar sana.Tundu lissu anaijua sheria na anauzoefu wa kesi nyingi saana..anajua wapi tumekosea na njia ya kukwepa kosa hilo.

3. Umoja wa kitaifa pasi na ugonjwa wa uchama..Tatzo linaloitafuna tifa ni uchama na ushabiki..naomba raisi wangu onyesha utofauti.maslahi ya taifa kwanza uchama baadae

Najua kuna mengi sana wenye mawazo makubwa zaid kuhusu hili.karibu
Tundu Lissu amenyakwa akituma ujumbe hadi saa7 za usiku ACACIA ikitaka data ili aimalize serikali.
Mtu kibaraka kama Tundu Lissu hafai hata kusogelea wajumbe,kwanza ripoti ameiita "rubbish",hatuwezi kuweka wendawazimu kwenye masuala nyeti
 
Hahahaha why not, ila asije akaingizwa kule akageuka yuda iskariote! Ndio twamjuwa apendavyo mapene...!
 
Ninyi mnao mpinga Lissu kujumuishwa hamnazo na mnaendekeza chama kuliko taifa mpk hapa tulipofika je tumefikishwa na kununuliwa kwa Lissu au chama cha kijani?

Wakati mwengine tuongeeni reality!! Wapinzani marangapi walipaza sauti dhidi ya mikataba za madini ziwe wazi?? Mbona yamefanywa kificho mpk mengine yanasainiwa mahotelini!!

Lissu ni mpigania haki na mzalendo wa nchi hii hata kama ccm hammpendi lakini huo ndo ukweli!!
 
Yuko na management ya accacia kwa hiyo unataka aingie awe anawapa siri za tume accacia? Elimu Ya sheria anayo ila uzalendo ni ziro. Huwezi weka mtu asiye na uzalendo kwa nchi yake hata kama anajua Sheria zote za madini duniani

walio isaini hiyo mikataba, "bado wapo uraiani wanapeta" ambayo imetunyonya miaka yote, na aliekuwa anapiga makelel kuwa tunaibiwa TL, ni nani mzalendo?

mtoa mada nia yake ni kuwa mchawi mpe mwanao akuangalizie! yeye TL anapiga kelele tunakosea....sasa awekwe keny timu, kwani atakuwa peke yake....ili anyamaze na kushauri wapi tunapatia!

kwani hao management ya accacia nini waischokijua ambacho unaogopa wasikijue?
 
Chama cha wanasheria wamemchagua kuwa kiongozi wao.
Mh Rais licha ya sintofahamu za kiutekelezaji kati ya serikali na TL ni muda muafaka kuchangia mapungufu ya upande zote tusonge mbele.
Kama mlalamikiwa mkuu tuko naye kwenye WIN-WIN situation why Lissu.
 
Yuko na management ya accacia kwa hiyo unataka aingie awe anawapa siri za tume accacia? Elimu Ya sheria anayo ila uzalendo ni ziro. Huwezi weka mtu asiye na uzalendo kwa nchi yake hata kama anajua Sheria zote za madini duniani
Miaka yote anapiga kelele zakunusuru madini,na huyo mnayeona ana uzalendo alikua bungeni akimpinga Lissu,leo hii huyo JPM anakurupuka kuanza kunusuru maliasili bila kufuata utaratibu,unadhani nani ni mzalendo.. JPM ambaye anakurupuka kuzuia makontena ya mchanga nakuacha madini yakibebwa kama kawaida migodini,au Lissu ambaye anataka utaratibu ufuatwe ili kunusuru madhata ambayo yatapatikana kutokana na ukurupukaji wa JPM?
 
Mkuu kwa heshima zote nakuomba raisi wangu..Tundu Lisu naomba aongezwe kwenye listi.nimeaona umuhimu wake katika hii timu ambayo imebeba matumaini ya watz.kuna manufaa kadhaa kwa huyu mtu kuwepo kwenye haya mazungumzo..

1. Tundu lissu alikuwa anasema kuna mapungufu mengi kwenye kufuatilia hii isue labda apewe nafasi ili aonyeshe njia sahihi..

2. Mjuzi wa sheria..nimeona watu ambao tunaenda kufanya nao mazungumzo wanaowakilisha Barick ni hatar sana.Tundu lissu anaijua sheria na anauzoefu wa kesi nyingi saana..anajua wapi tumekosea na njia ya kukwepa kosa hilo.

3. Umoja wa kitaifa pasi na ugonjwa wa uchama..Tatzo linaloitafuna tifa ni uchama na ushabiki..naomba raisi wangu onyesha utofauti.maslahi ya taifa kwanza uchama baadae

Najua kuna mengi sana wenye mawazo makubwa zaid kuhusu hili.karibu
Tundu lissu hafai kabisa. Ni mnafiki, mwizi, fisadi, akili finyu, muongo, anahongeka kiurahisi.
 
Unaoita wazalendo ndio waliosign mikataba ya kusafirisha mchanga, ndio walioshindwa kuhakiki kama kinachoondoka ndio sahihi, ndio walipitisha mikataba mibovu kwa hati ya dharura na kelele za ndio.au unazungumzia uzalendo upi mkuu
Huyo hajui chochote na hamfahamu Lissu kiundani,yeye anadanganywadanganywa tu na ripoti zisizokua za kweli,halafu anaamini... ngoja ACCACIA washindwe kuridhiana na serikali kurupushi kuhusu madini,na iamuliwe kwenda mahakamani,hapo ndo akili itamjia.
 
Tundu Lissu amenyakwa akituma ujumbe hadi saa7 za usiku ACACIA ikitaka data ili aimalize serikali.
Mtu kibaraka kama Tundu Lissu hafai hata kusogelea wajumbe,kwanza ripoti ameiita "rubbish",hatuwezi kuweka wendawazimu kwenye masuala nyeti
Ripoti yakina Prof.Mruma na Osoro ni professorial rubbish kwasababu haijaakisi hata yaliyoandikwa kwenye ripoti ya tume yakina jaji Bomani,wameipika tu nakumdanganya huyo mkuu wa nchi.
 
Mkuu tafiti hupingwa kwa tafiti,wewe egemea kwenye ripoti ya bomani,sie tunasonga mbele na ripoti za akina Mruma
Mbona ilipotoka ripoti ya akina Bomani hatukusikia Mtendaji mkuu akipanda ndege kuja kukubali yaishe
 
DChUfOhWAAEtLv3.jpg:large
 
Mkuu kwa heshima zote nakuomba raisi wangu..Tundu Lisu naomba aongezwe kwenye listi.nimeaona umuhimu wake katika hii timu ambayo imebeba matumaini ya watz.kuna manufaa kadhaa kwa huyu mtu kuwepo kwenye haya mazungumzo..

1. Tundu lissu alikuwa anasema kuna mapungufu mengi kwenye kufuatilia hii isue labda apewe nafasi ili aonyeshe njia sahihi..

2. Mjuzi wa sheria..nimeona watu ambao tunaenda kufanya nao mazungumzo wanaowakilisha Barick ni hatar sana.Tundu lissu anaijua sheria na anauzoefu wa kesi nyingi saana..anajua wapi tumekosea na njia ya kukwepa kosa hilo.

3. Umoja wa kitaifa pasi na ugonjwa wa uchama..Tatzo linaloitafuna tifa ni uchama na ushabiki..naomba raisi wangu onyesha utofauti.maslahi ya taifa kwanza uchama baadae

Najua kuna mengi sana wenye mawazo makubwa zaid kuhusu hili.karibu
Pengine akamsaifie Mdee huku Kawe.
 
Mkuu kwa mtazamo wangu, TL akipewa hiyo nafasi atahakikisha anaimarisha maslahi ya chama chake... Maslahi ya upinzani wa tz ni kuhakikisha serikali ya CCM inashindwa!

Ungekua JPM ungemuamini vipi mtu wa aina hiyo?
 
Mkuu kwa heshima zote nakuomba raisi wangu..Tundu Lisu naomba aongezwe kwenye listi.nimeaona umuhimu wake katika hii timu ambayo imebeba matumaini ya watz.kuna manufaa kadhaa kwa huyu mtu kuwepo kwenye haya mazungumzo..

1. Tundu lissu alikuwa anasema kuna mapungufu mengi kwenye kufuatilia hii isue labda apewe nafasi ili aonyeshe njia sahihi..

2. Mjuzi wa sheria..nimeona watu ambao tunaenda kufanya nao mazungumzo wanaowakilisha Barick ni hatar sana.Tundu lissu anaijua sheria na anauzoefu wa kesi nyingi saana..anajua wapi tumekosea na njia ya kukwepa kosa hilo.

3. Umoja wa kitaifa pasi na ugonjwa wa uchama..Tatzo linaloitafuna tifa ni uchama na ushabiki..naomba raisi wangu onyesha utofauti.maslahi ya taifa kwanza uchama baadae

Najua kuna mengi sana wenye mawazo makubwa zaid kuhusu hili.karibu
Naunga mkono hoja ...
 
Maji yameshamwagilka Lissu afanye Nini tena??
Lema aliwahi kusema"Ikulu kuna vibaka tofauti vibaka wa Ikulu wanavaa suti"!
Naona giza nene linatanda kwenye anga ls Tanzania kama laana kwa TAIFA hili kwa sababu ya UNAFIKI,uzandiki,uongo na ROHO mbaya ya Viongozi Tuliowapa DHAMANA ya kuliongoza TAIFA.
Bila kuwagusa B.Mkapa na J.Kikwete na jamaa zao hakuna jipya.
Hawa wawili wanalipwa posho na marupurupu na JMTZ hizi Mali nyingine wanazomiliki zitaifishwe bila kushtakiwa!
Wala hakuna dhambi yoyote kufanya hivyo.
 
Mkuu tafiti hupingwa kwa tafiti,wewe egemea kwenye ripoti ya bomani,sie tunasonga mbele na ripoti za akina Mruma
Mbona ilipotoka ripoti ya akina Bomani hatukusikia Mtendaji mkuu akipanda ndege kuja kukubali yaishe
Nani aliyepanda ndege kuja kukubali yaishe,inshu bado mbichi unasema kaja kukubali yaishe,ndugu yangu kua na mind enlightenment, hiyo ripoti ya Bomani moja ya wajumbe ni pamoja na Mruma,leo hii data zilizomo kwenye ripoti yasasa ni tofautu kabisa na utajiri wa madini ulioainishwa kwenye ripoti ya Bomani.
 
Mkuu kwa heshima zote nakuomba raisi wangu..Tundu Lisu naomba aongezwe kwenye listi.nimeaona umuhimu wake katika hii timu ambayo imebeba matumaini ya watz.kuna manufaa kadhaa kwa huyu mtu kuwepo kwenye haya mazungumzo..

1. Tundu lissu alikuwa anasema kuna mapungufu mengi kwenye kufuatilia hii isue labda apewe nafasi ili aonyeshe njia sahihi..

2. Mjuzi wa sheria..nimeona watu ambao tunaenda kufanya nao mazungumzo wanaowakilisha Barick ni hatar sana.Tundu lissu anaijua sheria na anauzoefu wa kesi nyingi saana..anajua wapi tumekosea na njia ya kukwepa kosa hilo.

3. Umoja wa kitaifa pasi na ugonjwa wa uchama..Tatzo linaloitafuna tifa ni uchama na ushabiki..naomba raisi wangu onyesha utofauti.maslahi ya taifa kwanza uchama baadae

Najua kuna mengi sana wenye mawazo makubwa zaid kuhusu hili.karibu
Acheni kutoa ushauri wa kijinga wajameni. Mwacheni aende akawasaidie Accasia kupinga kulipa. Rais hamuhitaji huyo. Mwache aendelee kuwapigia simu na kutuma msg kutafuta material za kulipuka nazo
 
Mkuu kwa heshima zote nakuomba raisi wangu..Tundu Lisu naomba aongezwe kwenye listi.nimeaona umuhimu wake katika hii timu ambayo imebeba matumaini ya watz.kuna manufaa kadhaa kwa huyu mtu kuwepo kwenye haya mazungumzo..

1. Tundu lissu alikuwa anasema kuna mapungufu mengi kwenye kufuatilia hii isue labda apewe nafasi ili aonyeshe njia sahihi..

2. Mjuzi wa sheria..nimeona watu ambao tunaenda kufanya nao mazungumzo wanaowakilisha Barick ni hatar sana.Tundu lissu anaijua sheria na anauzoefu wa kesi nyingi saana..anajua wapi tumekosea na njia ya kukwepa kosa hilo.

3. Umoja wa kitaifa pasi na ugonjwa wa uchama..Tatzo linaloitafuna tifa ni uchama na ushabiki..naomba raisi wangu onyesha utofauti.maslahi ya taifa kwanza uchama baadae

Najua kuna mengi sana wenye mawazo makubwa zaid kuhusu hili.karibu
Hivi haujui bado kuwa Lisu yupo upande wa wawekezaji sasa hawezi kuwakirisha pande mbili
 
Back
Top Bottom