Rais, Mimi nalia sana. Kiukweli unatuliza. Nini kimekukuta?

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,193
11,225
Mh Rais kila ninapokumbuka furaha yangu niliposikia umechaguliwa Kuwa mgombea wa Urais na kupeperusha bendera ya CCM 2015. Ukaanza vizuri mpaka tukasali Kwa machozi kukutakia heri utukomboe sisi masikini Ila mara ghafla furaha yangu imekuwa masimango, huzuni, upweke na machozi. Kiasi wakati mwingine najiuliza nini kimekukuta? Mbona kama furaha yetu nikama inataka Kuwa huzuni?

Rais Baba yangu nini kimekukuta mbona siamini ninachokiona ? Taifa lipo kimya na wengi tumeshika roho zetu hofu imetushika furaha imetutoka. Ingia maofisini watu hawajuwi hatima yao ya kesho, makampuni yanapunguza watu kimya kimya huku hali yetu ni ngumu ya maisha na inaonyesha itakuwa ngumu zaidi.

Nenda kwenye bihashara pesa hakuna na hata kile kidogo wanakipata TRA wanakivuta Kwa makadirio makubwa ya Kodi watu wanafunga bihashara.

Nenda kwenye siasa Kuwa upinzani ni kuwa adui wa Taifa na wala sio kusikilizana na kujenga Taifa.

Njoo mtaani chuki inetanda umoja wakitaifa unataka kuyeyuka na watu hawapendani na kuchongeana TAKUKURU.

Rais Mimi nalia nalia kweli kuna Watu wanatutafuna kama Kuku katika banda kweli ya Libya ndio yapo hapa Tanzania?

Kweli for 5 years hakuna ajira kweli watu wanamikopo vijana hawana kazi hivi kweli na Watoto wenu hawana ajira kama Watoto wa walala hoi huku mtaani?

Mimi Nalia tena Nalia Kwa kujigarakaza kwamba tukiita audit firm zakimataifa wafanye consolidation ya miradi yote umeipanga Vs GDP growth ya Tanzania watashauri miradi mingi isiendelee maana kama Taifa na mikopo tukikopa hiyo miradi itakuwa na athari za kiuchumi za muda mrefu kwenye per capital income ya watanzania. Mimi Nalia tena Nalia Sana nakuwaza kama kweli wachumi wote wamefunga macho nakuacha haya yanatokea.

Mimi Nalia maana naamini kabisa ukiacha nguvu ya soko la Fx Yani demand and supply ikiachiwa kama Taifa hatuto weza nunua vitu nje maana USD haitokamatika na hata tukijikaza kisabuni bado uchungu utatupata siku za mbeleni kwasababu miradi yote mikubwa inatafuna hazina ya Fx na uwenda tusipo Kuwa smart tutaweza shidwa hata nunua mafuta Jambo la hatari Sana.

Mh Rais Nalia kwakuwa Una ndoto ambayo ni ndoto ya ajabu mzazi Kuwa nayo Yani unataka uhakikishe kila mradi unamaliza within 10 years na huwamini kwamba kuna MTU anaweza akamalizia na wala hakuna anaweza kufanya haya mm nalia maana hii Imani sio nzuri ktk kujenga Taifa lenye kukabizia vijiti nakuandaa watu kama ulivyo andaliwa.

Mimi nalia nalia Tanzania kama Mungu angemfufua Baba wa Taifanaimani pia angelia sana. Angelia kwakuwa angeona vile umewekeza Sana kwenye vitu kuliko watu. Tanzania ni nchi changa Sana unapowekeza kwenye miundombinu Sana secta nyingine zinadumaa na kufa kabisa.

Mimi nalia nalia na kutubu kama kweli sisi Raia wako tuliokupigia kura na tusiokupigia kura kweli unatufanya hivi, Je, twende wapi?

Mbona umetufumbua macho kiasi imani yetu juu ya Serikali inazidi kushuka.

Mungu hivi ni kweli umetusahau Watanzania ama tumekosea wapi tusamehe tusamehe Baba. Amen
 
Mh Rais kila ninapo kumbuka furaha yangu niliposikia umechaguliwa Kuwa mgombea wa Urais na kupeperusha bendera ya ccm 2015. Ukaanza vizuri mpaka tukasali machoz yakutakia heri utukomboe Sisi masikini Ila mara ghafla furaha yangu imekuwa masimango.

Mh Rais Baba yangu nini kimekukuta mbona siamini ninachokiona ? Taifa lipo kimya na wengi tumeshika roho zetu hofu imetushika furaha imetutoka.
Ingia maofisini watu hawajuwi hatima Yao ya Kesho hali ni ngumu ya maisha na inaonyesha itakuwa ngumu zaidi.
Nenda kwenye bihashara pesa hakuna nahata kile kidogo wanakipata TRA wanakivuta Kwa makadirio makubwa ya Kodi watu wanafunga bihashara.
Nenda kwenye siasa Kuwa upinzani ni Kuwa adui wa Taifa na wala sio kusikilizana na kujenga Taifa.
Njoo mtaani chuki inetanda umoja wakitaifa unataka kuyeyuka na watu hawapendani na kuchongeana takukuru.
Mh Rais Mimi Nalia Nalia kweli kuna watu wanatutafuna kama kuku ktk Banda Mh Kweli ya Libya ndio yapo hapa Tz?

Mh Kweli for 5 years hakuna ajira kweli watu wanamikopo vijana hawana KAZI ivi kweli na watoto wenu hawana ajira kama watoto wa walala Hoi huku mtaani? Mimi Nalia Nalia Tanzania kama Mungu angemfufua Baba wataifa Naimani pia Angelia Sana.

Mimi Nalia Nalia nakutubu kama kweli Sisi Raia wako tuliokupigia Kura na tusiokupigia Kura kweli unatufanya hivi je twende wapi? Mbona umetufumbua macho kiasi Imani yetu juu ya serikali inazidi kushuka.

Mungu hivi nikweli umetusahau watanzania ama tumekosea wapi tusamehe tusamehe Baba. Amen
Umesahau ulivyokuwa unamnanga wakati wa uchaguzi?
 
TumainEl hii ni mara ya pili nakuuliza "Ni wewe kweli?"
 
Na bado hiyo ni trailer tu ngoja hao waliotuzidi akili huko duniani wabinye vizuri mtapoteana humu siyo ccm siyo upinzani.

Nachojifariji mimi nilishajiandaa psychology kwa lolote kutokana na sina mkono kwenye kuingia hawa wezi madarakani kimbembe kipo kwenu mliokuwa na mategemeo makubwa kutoka kwa utawala huu zandiki.
 
Mh Rais kila ninapokumbuka furaha yangu niliposikia umechaguliwa Kuwa mgombea wa Urais na kupeperusha bendera ya ccm 2015. Ukaanza vizuri mpaka tukasali machoz yakutakia heri utukomboe Sisi masikini Ila mara ghafla furaha yangu imekuwa masimango.

Mh Rais Baba yangu nini kimekukuta mbona siamini ninachokiona ? Taifa lipo kimya na wengi tumeshika roho zetu hofu imetushika furaha imetutoka.
Ingia maofisini watu hawajuwi hatima Yao ya Kesho hali ni ngumu ya maisha na inaonyesha itakuwa ngumu zaidi.

Nenda kwenye bihashara pesa hakuna nahata kile kidogo wanakipata TRA wanakivuta Kwa makadirio makubwa ya Kodi watu wanafunga bihashara.

Nenda kwenye siasa Kuwa upinzani ni Kuwa adui wa Taifa na wala sio kusikilizana na kujenga Taifa.

Njoo mtaani chuki inetanda umoja wakitaifa unataka kuyeyuka na watu hawapendani na kuchongeana Takukuru.

Mh Rais Mimi Nalia Nalia kweli kuna watu wanatutafuna kama kuku ktk Banda Mh Kweli ya Libya ndio yapo hapa Tz?

Mh Kweli for 5 years hakuna ajira kweli watu wanamikopo vijana hawana kazi hivi kweli na watoto wenu hawana ajira kama watoto wa walala Hoi huku mtaani?

Mimi Nalia Nalia Tanzania kama Mungu angemfufua Baba wataifa Naimani pia Angelia Sana.

Mimi Nalia Nalia nakutubu kama kweli Sisi Raia wako tuliokupigia Kura na tusiokupigia Kura kweli unatufanya hivi je twende wapi?

Mbona umetufumbua macho kiasi Imani yetu juu ya serikali inazidi kushuka.

Mungu hivi ni kweli umetusahau watanzania ama tumekosea wapi tusamehe tusamehe Baba. Amen
Mkuu pole, kupitia roho mtakatifu, naona umeandika mada hii kwa uchungu mkubwa na kwa kumanisha
USHAURI
Lilia nafsi yako na taifa basi, achana kumlilia binadam mwenye nyama Kama wewe, MAANA safari yetu ni moja, ila kwa mda tofauti, but taifa litaendelea kuwepo ,pole Sana mkuu mungu akutie nguvu
 
Naona Kama unatuchora hivi .

Nikikumbuka biti ulilompiga Ben saanane na akapotea Wala sikuamini

Kama unalia endela tu kulia,sisi tushalia kitambo Hadi machozi yamekauka .

Endelea kulia labda utarudishwa kazini kwako ukaendeleae na mafekeche yenu
 
Mh Rais kila ninapokumbuka furaha yangu niliposikia umechaguliwa Kuwa mgombea wa Urais na kupeperusha bendera ya ccm 2015. Ukaanza vizuri mpaka tukasali machoz yakutakia heri utukomboe Sisi masikini Ila mara ghafla furaha yangu imekuwa masimango.

Mh Rais Baba yangu nini kimekukuta mbona siamini ninachokiona ? Taifa lipo kimya na wengi tumeshika roho zetu hofu imetushika furaha imetutoka.
Ingia maofisini watu hawajuwi hatima Yao ya Kesho hali ni ngumu ya maisha na inaonyesha itakuwa ngumu zaidi.

Nenda kwenye bihashara pesa hakuna nahata kile kidogo wanakipata TRA wanakivuta Kwa makadirio makubwa ya Kodi watu wanafunga bihashara.

Nenda kwenye siasa Kuwa upinzani ni Kuwa adui wa Taifa na wala sio kusikilizana na kujenga Taifa.

Njoo mtaani chuki inetanda umoja wakitaifa unataka kuyeyuka na watu hawapendani na kuchongeana Takukuru.

Mh Rais Mimi Nalia Nalia kweli kuna watu wanatutafuna kama kuku ktk Banda Mh Kweli ya Libya ndio yapo hapa Tz?

Mh Kweli for 5 years hakuna ajira kweli watu wanamikopo vijana hawana kazi hivi kweli na watoto wenu hawana ajira kama watoto wa walala Hoi huku mtaani?

Mimi Nalia Nalia Tanzania kama Mungu angemfufua Baba wataifa Naimani pia Angelia Sana.

Mimi Nalia Nalia nakutubu kama kweli Sisi Raia wako tuliokupigia Kura na tusiokupigia Kura kweli unatufanya hivi je twende wapi?

Mbona umetufumbua macho kiasi Imani yetu juu ya serikali inazidi kushuka.

Mungu hivi ni kweli umetusahau watanzania ama tumekosea wapi tusamehe tusamehe Baba. Amen
Wewe si mmojawapo wanaopigia chapuo nchi kuwekewa vikwazo au umesahau?

Milango itaanza kufunguka mwezi Januari 2021 na kuendelea kwa sasa fanya kazi halali yenye kukuwezesha kujipatia kipato.

Kama unataka mikopo jiunge na wenzio msajiliwe kisha nendeni halmashauri mkaombe huo mkopo ambao usifikiri ni enzi hizo kwamba unaweza ukatafuna bila marejesho na usikutokee puani.

Hakuna nchi yoyote duani iliyofaulu kuwapatia vijana wote wote ajira, srikali imekusomesha ili uweze kupambana na changamoto za mazingira yanayokuzunguka.

Hata hivyo wewe una ndimi mbili, mwanzo wa awamu ya kwanza ya awamu hii ya tano ulikuwa mshirika mzuri wa serikali lakini kilichotokea hapo katikati unakijua mwenyewe si kwa kumnanga mkuu wa nchi kwa mtindo wa kutweza jinsi hiyo.

Wewe ni raia kama wengine, unavumiliwa sana kutokana na maudhi yako inawezekana ulitumbuliwa mahali fulani ndiyo maana una nongwa na kijiba cha roho hadi sasa.
 
Back
Top Bottom