wakuu hii habri nimeisikia bbc swahili asubuhi ya leo ila nikawa bize na kazi hadi saa hii na hiyo news sijaiona hiyo habari...
kwamba yule rais mstaafu na masikini zaidi anayetembelea bito amepewa zawadi na mwarabu dola million moja ..
kama ipo link mtu atuwekee maana natumia mchina
kweli binadamu hatuna dogo....ndugu umeomba link kwa wadau...wamekuwekea afu unalalamika ati ni ya lugha yao...ulitegemea upate link ya lugha ya kiswahili?asante kwa link japo ina lugha za nchi za nje nitakomaa hivyo hivyo
kweli binadamu hatuna dogo....ndugu umeomba link kwa wadau...wamekuwekea afu unalalamika ati ni ya lugha yao...ulitegemea upate link ya lugha ya kiswahili?
View attachment 200106View attachment 200107Rais wa Uruguay Jose Mujika anasema kuwa amepewa dola millioni 1 ili kuuza gari lake aina ya Volkswagen.
Bwana Mujica ,aliyejulikana kama rais masikini duniani kutokana na maisha yake ,alisema kuwa ombi hilo lilitoka kwa kiongozi mmoja wa dini ya kiislamu katika eneo la uarabuni.
Aliliambia gazeti la kila wiki la Busqueda kwamba iwapo atalikubali ombi hilo basi fedha hizo zitatumiwa kuwasaidia masikini.
Rais Mujika ambaye anajulikana kama Pepe anaishi katika shamba lake na hutoa pato lake kwa watu masikini.
Mnamo mwaka 2010 Mali yake ilikuwa inagharimu dola 1,800 ambayo ni bei ya gari lake la Volkswagen
Busqueda liliripoti kwamba ombi la gari hilo lilifanywa katika mkutano wa kimataifa mapema mwaka huu
Kuna tetesi kuwa kenyata wa kenya anajaribu kudurufu kawaida za rais huyu majuzi tu kaamua kupanda daladala
Kenyata anaulazima wa kupanda matatu cos hajui shida ktk maisha yake alizaliwa ikulu na mpaka leo yupo ikuluDaa uhuru kapanda matatu ni sheegggddddaaaaa!