Rais ,Mama Samia weka wanajeshi katika bandari zote,mtumie Mabeyo kuwapata

Hapo bandarini kuna watu toka kada zote unazozifahamu wewe , kinachohitajika ni mifumo imara tu ya kiutendaji, that's all.
 
Nyie watu hivi mnafikiri swala la uwajibikaji na uzalendo ni swala la kuwa mwanajeshi au mchungaji? Hata kama watawekwa wanajeshi/wachungaji bandarini ,benki Kuu na hazina ikiwa hawana ari ya uwajibikaji na uzalendo ndani yao ni kazi bure

Tatizo sio aina ta watu Bali ni mifumo mibovu iliyoko ndani ya nchi yetu,ukiritimba na urasimu vimetamalaki,mifumo ikiwekwa sana hatutaona haja ya kuwaweka wanajeshi au wachungaji kwenye sekta zetu.
 
Rais Mama Samia,nakuomba ujaribu kutumia wanajeshi kwenye utumishi wa umma,utafanikiwa sana,hasa kwenye roho ya uchumi wa nchi bandari zote.

Wanajeshi wameonyesha ufanisi sana,mfano ni taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru).
Umechelewa wazo lako
 
Wanafiki na wazandiki katika ubora wenu. Mbona huu ushauri haukumpa mwendazake?
 
Ohhh sorry, sikujua kama naongea na leader of the gay community.
Siku zote mtu jambo afanyalo huamini kua na wengine hufanya kama yeye afanyavyo,naona umeamua kujiweka wazi kua wewe ni gay,

Wazazi wako wana hasara kubwa sana.
 
Back
Top Bottom