thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
Unazijua kazi za mwanajeshi?Rais Mama Samia,nakuomba ujaribu kutumia wanajeshi kwenye utumishi wa umma,utafanikiwa sana,hasa kwenye roho ya uchumi wa nchi bandari zote.
Wanajeshi wameonyesha ufanisi sana,mfano ni taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru).
Siyo kazi ya mwanajeshiNaunga mkono hoja jeshi ni watiifu Sana
Unafikiri hawakuwepo .!!.. Nna braza angu ni meja anashinda hapo bandari kila siku kama mfanyakazi wa bandari ..wapo siku nyingi tu .... Na ni wengi tu almost poets zote kubwa na za mipakani wapo ... Alikuwa kigoma akaletwa dar sasa yupo kagera kote anafanya bandariniRais Mama Samia,nakuomba ujaribu kutumia wanajeshi kwenye utumishi wa umma,utafanikiwa sana,hasa kwenye roho ya uchumi wa nchi bandari zote.
Wanajeshi wameonyesha ufanisi sana,mfano ni taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru).
Hii TAKUKURU inayokamata viroba vya mkaa ndo imeboreka? Hawa wanaokamata watu waliokopeshana kwenye Vikoba?Rais Mama Samia,nakuomba ujaribu kutumia wanajeshi kwenye utumishi wa umma,utafanikiwa sana,hasa kwenye roho ya uchumi wa nchi bandari zote.
Wanajeshi wameonyesha ufanisi sana,mfano ni taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru).
sawa nini sasa?Sawa.
Wanafanya sana kazi za kiraia ndugu...Hawa watu wanatakiwa wake Makambini wakiingizwa kwenye hizi purukushani za upigaji wanaweza kunogewa na kuiweka Ikulu matatani
Mungu apishie mbali Serikali ya Kijeshi angalia Myanmar
Wafanye za ujenzi zaidi na KilimoWanafanya sana kazi za kiraia ndugu...
Sawa nimekubaliana na wazo la mtoa mada,sawa nini sasa?