Rais ,Mama Samia weka wanajeshi katika bandari zote,mtumie Mabeyo kuwapata

thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
8,233
9,059
Rais Mama Samia,nakuomba ujaribu kutumia wanajeshi kwenye utumishi wa umma,utafanikiwa sana,hasa kwenye roho ya uchumi wa nchi bandari zote.

Wanajeshi wameonyesha ufanisi sana,mfano ni taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru).
 
Watanzania tunajuana dawa ni maisha bora kadiri ya keki ya taifa.
Ukute mjeda anazidiwa kipato na mkewe keshia halmashauri unatarajia nini?
 
Rais Mama Samia,nakuomba ujaribu kutumia wanajeshi kwenye utumishi wa umma,utafanikiwa sana,hasa kwenye roho ya uchumi wa nchi bandari zote.

Wanajeshi wameonyesha ufanisi sana,mfano ni taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru).
Unafikiri hawakuwepo .!!.. Nna braza angu ni meja anashinda hapo bandari kila siku kama mfanyakazi wa bandari ..wapo siku nyingi tu .... Na ni wengi tu almost poets zote kubwa na za mipakani wapo ... Alikuwa kigoma akaletwa dar sasa yupo kagera kote anafanya bandarini
 
Rais Mama Samia,nakuomba ujaribu kutumia wanajeshi kwenye utumishi wa umma,utafanikiwa sana,hasa kwenye roho ya uchumi wa nchi bandari zote.

Wanajeshi wameonyesha ufanisi sana,mfano ni taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru).
Hii TAKUKURU inayokamata viroba vya mkaa ndo imeboreka? Hawa wanaokamata watu waliokopeshana kwenye Vikoba?
 
Hawa watu wanatakiwa wake Makambini wakiingizwa kwenye hizi purukushani za upigaji wanaweza kunogewa na kuiweka Ikulu matatani

Mungu apishie mbali Serikali ya Kijeshi angalia Myanmar
Wanafanya sana kazi za kiraia ndugu...
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom