eeh!Mbunge machachari wa jimbo ya Same Mashariki, Anne Kilango Malecela amekuwa kiongozi ambaye haoni haya kukosoa serikali ya chama chake inapokosea .... Ni kiongozi imara, shupavu, na atakuwa mwanamke wa kwanza Rais Tanzania ...
yetu macho tu...Mbunge machachari wa jimbo ya Same Mashariki, Anne Kilango Malecela amekuwa kiongozi ambaye haoni haya kukosoa serikali ya chama chake inapokosea .... Ni kiongozi imara, shupavu, na atakuwa mwanamke wa kwanza Rais Tanzania ...
Anaweza kuwa rais kwani kuna tatizo gani au mnataka mzee Cigweimisi awe anawachongea barabara alafu asiruhusiwe kupita.Tinga tinga is better than huyo muungwa anayecheka na mafisadi.
Mbunge machachari wa jimbo ya Same Mashariki, Anne Kilango Malecela amekuwa kiongozi ambaye haoni haya kukosoa serikali ya chama chake inapokosea .... Ni kiongozi imara, shupavu, na atakuwa mwanamke wa kwanza Rais Tanzania ...

Kweli Urais umekuwa laisi siku hizi
Anna Malechela anafaa sana kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania 2010. She is the best female leader anayejali nchi yake si kama sophia, asha rose migiro na wengineo ambao sioni faida yao kwa nchi yao