Rais Malecela - 2010?

Sungi

Senior Member
Apr 29, 2009
149
47
Mbunge machachari wa jimbo ya Same Mashariki, Anne Kilango Malecela amekuwa kiongozi ambaye haoni haya kukosoa serikali ya chama chake inapokosea .... Ni kiongozi imara, shupavu, na atakuwa mwanamke wa kwanza Rais Tanzania ...
 
eeh!
haya bwana
 
yetu macho tu...
 
Anaweza kuwa rais kwani kuna tatizo gani au mnataka mzee Cigweimisi awe anawachongea barabara alafu asiruhusiwe kupita.Tinga tinga is better than huyo muungwa anayecheka na mafisadi.
 
mUUNGWANA AMEFANYA MAAMUZI MAGUMU NA MAZITO KULIKO MARAIS WOTE WALIOMTANGULIA
 
Uongozi wa awamu ya nne umeweza kwa asilimia kubwa kuonyesha viongozi walio na uchungu na wananchi wa Tanzania pamoja na nchi yao kwa ujumla. Pia imeonyesha wale ambao ni walaji tu wasio na mwelekeo wowote katika jamii. Bi Anna Kilango kwa kweli amekuwa shujaa katika vita dhidi ya utendaji na matumizi ya serikali hususani pale ambapo MKWANJA unahusika kwa silimia zote.
 
Jamani pmoja na kumheshimu Anna Kilango lakini naona mleta hoja amemkweza sana huyu mama. Kuwa Kiongozi wa nchi ni zaidi ya kuongea na kukosoa serikali bungeni.
 
Naona mnashusha hadhi ya jukwaa hili.
Anna Kilango hajafikia hadhi ya kufikiriwa kuwa rais wa nchi hii,tuwe wakweli.
Kuongoza nchi si lelemama na kigezo kimoja tu cha kuwachachafya mafisadi si passport ya kuingilia Ikulu.
Huyu amekosoa mno lakini mwisho wa yote anaunga mkono kwa aslimia mia.
Pia tusiyapuuze ya Sofia Simba ambaye ana uwezo wa kupitia mafaili ambayo kwa kawaida hayawezi hata kuitwa mahakamani.
 
Mbunge machachari wa jimbo ya Same Mashariki, Anne Kilango Malecela amekuwa kiongozi ambaye haoni haya kukosoa serikali ya chama chake inapokosea .... Ni kiongozi imara, shupavu, na atakuwa mwanamke wa kwanza Rais Tanzania ...

Hii ungewapelekea FUTUHI wangekushukuru sana
 
Kama hao watu walioiba mabilioni yetu anashindwa kuwaita wezi badala yake anawapamba na jina zuri fisadi (anawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa) ndio atakuwa na ujasiri wa kuongoza nchi?
 
Anna Malechela anafaa sana kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania 2010. She is the best female leader anayejali nchi yake si kama sophia, asha rose migiro na wengineo ambao sioni faida yao kwa nchi yao
 
Code:
Mbunge machachari wa jimbo ya Same Mashariki, Anne Kilango Malecela amekuwa kiongozi ambaye haoni haya kukosoa serikali ya chama chake inapokosea .... Ni kiongozi imara, shupavu, na atakuwa mwanamke wa kwanza Rais Tanzania ...
Code:

he!!! Ngoja nikalime kijishamba changu mie.......
 
Kweli Urais umekuwa laisi siku hizi

Baada ya JK kutuonyesha mfano wa rais anayefaa kutuongoza unafikiri kuna mtu anaiogopa hiyo nafasi tena. Kwa TZ Urais ni lahisi. Subiri 2015 uone watu wangapi watachukuwa form CCM peke yake kama siyo 100+.....
 
Anna Malechela anafaa sana kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania 2010. She is the best female leader anayejali nchi yake si kama sophia, asha rose migiro na wengineo ambao sioni faida yao kwa nchi yao

Huko mnakoelekea mtasema hata Makamba anafaa kuwa Makamu wa Rais!
 
Yaani mtu akipiga kelele sana Bungeni, anafaa kuwa Rais? Hapa ninamkumbuka Amina Chifupa kwa jinsi alivyokuwa anayoyoma bungeni, basi, naye tungesema sasa awe Rais?

Anne ni mzuri; lakini kwa U- President bado ndugu.
 
Mbunge machachari wa jimbo ya Same Mashariki, Anne Kilango Malecela amekuwa kiongozi ambaye haoni haya kukosoa serikali ya chama chake inapokosea .... Ni kiongozi imara, shupavu, na atakuwa mwanamke wa kwanza Rais Tanzania ...

Urais ni zaidi ya mdomo... ni institution na ina route yake kuanzia chini hadi kufikia juu!!!

Nitashangaa sana iwapo huyu mama atakuwa rais kwani sijui system itakuwa imemuweka vipi, si rahisi kuwa rais ukiwa outsider kwenye system unless nchi yenyewe iwe yenye siasa za ukweli au watu wasiopenda upuzi kwenye maendeleo, na sidhani kama watanzania tumeshafikia kwenye hali hiyo
 
Back
Top Bottom