Rais Magufuli yuko sahihi kuhusu COVID-19

Usokwe

JF-Expert Member
Mar 4, 2019
533
623
Namshukuru Mungu kwa nafasi hii.

Napenda kushare kile nachojua kuhusu Corona na ushauri wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Magufuli.

Nathani, Rais ameongea lugha ngumu kwa maneno rahisi. Raisi, alipaswa kutulia na kuongea na taifa kwa upole katika yale atakayofanya au anayofanya katika wakati mgumu sana katika taifa. Haya ni machache kwa haraka ambayo naomba kutoa ushauri.

Kuhusu Covid 19.

1.Tunajua kuwa its lab created virus.
2. It's contagious and deadly.
3. Inaua.


Nini tufanye.....

Swala la Rais kutoa watu kule kwenye lab ni sawa kabisa. Naamini hilo suala ni suala la national security na ndio maana raisi hapa nampa heko katika kufuatilia kile kinachoendelea huko. Alichopata wote tunajua. Baadhi ya wapumbavu wamebeza lakini Rais ametumia akili ya ziada sana.

Hawa watu lazima wachunguzwe nje ndani. Hawa ndio wanaweza kuwa maagent wa wakoloni na wale wasiotaka kheri katika dunia na africa kwa ujumla.

Pia nashauri kwa raisi, jeshi letu lazima liwe tayari kwaajili ya bio attacks. Hii ni vita sio bahati mbaya.

Nashauri uunde bodi au committee ya ushauri na maendeleo ya huuu ugonjwa. Lazima tu-control data zozote zinazotoka nje kwenye media. Vituo vya habari viache kutangaza covid na wagonjwa wake kila mara. Bali vizidi kutoa habari na kufundisha kuhsuu usafi wa mikono na kuvaa barokoa.

Nashauri, tupunguze msongamano popote hata kwenye miji. Shughuli ziendele.

Nashauri tusiagize kifaa hata kimoja kutoka china au marekani wala popote. Na raia wao wapimwe na wakae quarantines hata baada ya hichi kizaa kuisha.

Tusikubali chanjo ya aina yoyote ile. Bali tuzingatie usafi na social distancing kwa wakti huu.

Kila mkoa iwe kwenye total lockdown na kupima kila mmoja kwa ngazi ya nyumba kumi kumo mpaka kijij hadi tarafa. Upate uhalisi wa tatizo na nini kifanyike.

Data sio lazima ziwe published kwa wazungu wala who.

Nashauri jeshi lisimamie kazi hii pamoja na vikosi vya usalama.

Lazima waafrica tujiamini na kujisimamia wenyewe. Ni wakati na muda umefika wa kukataa wazungu na wachina. Sisi tunaweza wenyewe.



 
Kwa hyo hicho kirusi kililenga Africa hasa Tanzania pekee? Inamaana hao wenyewe unaowasema mbona wanakufa kwa maelfu na nchi zote za ulaya? Acheni kufanya kila kitu wazungu wanawaonea au wanataka kitu kutoks huku. Ni chanjo ngapi zimeletwa huku na zinasaidia mpka leo??

Hivi unajua kwa nini watoto hawaathiriki sana ni kwa sbb wanapata chanjo mfano za Nimonia n.k ingekua wanataka kuua si wangeua kizazi chote?? Acheni maneno maneno tutakuja kutengwa tuwe kama zimbabwe. Hata kama kilitengenezwa hakikutengemezwa kwa ajili ya Tanzania pekee,dunia yote inapambana kutafuta tiba na tunaomba Mungu ipatikane tupone.
 
Kwa hyo hicho kirusi kililenga Africa hasa Tanzania pekee? Inamaana hao wenyewe unaowasema mbona wanakufa kwa maelfu na nchi zote za ulaya? Acheni kufanya kila kitu wazungu wanawaonea au wanataka kitu kutoks huku. Ni chanjo ngapi zimeletwa huku na zinasaidia mpka leo?? Hivi unajua kwa nini watoto hawaathiriki sana ni kwa sbb wanapata chanjo mfano za Nimonia n.k ingekua wanataka kuua si wangeua kizazi chote?? Acheni maneno maneno tutakuja kutengwa tuwe kama zimbabwe. Hata kama kilitengenezwa hakikutengemezwa kwa ajili ya Tanzania pekee,dunia yote inapambana kutafuta tiba na tunaomba Mungu ipatikane tupone.
Unateta wazungu, unawalamba viatu hivi wew hujitambui, huwezi kujitatulia matatizo hadi hao WHO waje,

Kwamba wao wanauchungu na wew sana, wamekuzaa mpaka wakusaidie?

Acha upumbavu, think twice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeangalia hii Video. Kagundua ubaguzi upo sana. Yani kuna watu wapo na wana wachukia weusi kwasababu zao wenyewe. Pia kuna watu wapo tu kwajili ya kujinufaisha matumbo yao.

Jamaa alipopewa 3.7M usd. Akaweka Lab China leo kila mtu ana mlaumu mchina wakati muhusika yupo USA.

Halafu Bill Gate anataka kutuchanja machanjo yake ili tuendelee kufa. Duu Dunia hii kweli Mungu yupo maana bila yeye haya tusingeyajua haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaiona sehemu aliyowatetea wazungu na kuwalamba viatuvila amejibu hoja nawe ulipaswa umjibu Kwa hoja ..
ILA kupitia comments yako hii nimejifunza kitu kwamba watz wengi wa Aina yako wamebeba vichwa kama kama mapambo..akili za ujuha na ushabaki ndicho unachokidhihirisha hapa..hongera Sana Kwa kuwa juha mkuu.
Unateta wazungu, unawalamba viatu hivi wew hujitambui, huwezi kujitatulia matatizo hadi hao WHO waje,

Kwamba wao wanauchungu na wew sana, wamekuzaa mpaka wakusaidie?

Acha upumbavu, think twice

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongelea waafrika kujiamini na kujisimamia leo? hili bara limekuweko kwa miaka mingapi hadi leo hii ndo lichukue initiative za kujiamini na kujisimamia.......kama kila kitu na akili tunawategemea hao hao wachina na wazungu hili la kujiamini na kujisimamia linatekelezwa vipi?

....maana hata hizo kits za kupima magonjwa achilia mbali chanjo tunategemea hao watu wafanye utafiti, watengeneze na kutuletea........kwa akili ya mtu mweusi ya ubinafi, uchawi, fitina, majungu, ushirikina na kuwa na vipaumbele vya hovyo hovyo kama kuweka pesa nyingi kugharamia siasa za maji taka za kununuana hakuna jambo la maana utatarajia....
 
Unateta wazungu, unawalamba viatu hivi wew hujitambui, huwezi kujitatulia matatizo hadi hao WHO waje,

Kwamba wao wanauchungu na wew sana, wamekuzaa mpaka wakusaidie?

Acha upumbavu, think twice

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwatetei ila sio kila kitu tunawalaumu kumbuka kila kitu tunatumia kinatoka kwao so kama ni kutuua wasingeshindwa long tym. Hyo simu inayokupa kiburi umeitengeneza wewe?? Kabla ya kuja na kujifanya wababe tujikite katika kuimarisha mifumo yetu kwanza hasa ya afya na elimu ndo tujimwambafy.
 
Sijaiona sehemu aliyowatetea wazungu na kuwalamba viatuvila amejibu hoja nawe ulipaswa umjibu Kwa hoja ..
ILA kupitia comments yako hii nimejifunza kitu kwamba watz wengi wa Aina yako wamebeba vichwa kama kama mapambo..akili za ujuha na ushabaki ndicho unachokidhihirisha hapa..hongera Sana Kwa kuwa juha mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sanaaa. Humu JF kumejaa wakurupukaji wengi hata kufikiria hawafikirii kwanza. Yani hata nguo alizovaa ni mtumba kutoka kwa hao wazungu viwanda vya hapa vimeshindwa kwa nini?
 
Back
Top Bottom