Rais Magufuli yashamshinda?

Mkuu sasa hivi wananchi hatujui kesho ataropoka nini, sasa nimeelewa ni kwa nini mzee kitwanga na mama Kilango malecela wapo kimya
Weka akiba ya maneno unathubutu kudai kua Mkuu wa Nchi "anaropoka"? Shauri yako!
 
Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Hapana,si kwa huyu mtukufu sana!Alisema atagawa sukari atakayokamata bure,alipokamata TRA wakamwambia hawezi kugawa bure mali ya mtu ambayo imeingia nchini kihalali na imelipiwa kodi zote!Mpaka leo kimya,au kuna mtaa walipata mgao?
 
Point yako ni nini sasa....?!
Kwa kuwa hakuna dawa hospitalini rushwa na ufisadi vielndelee?!
 
Wewe ndiye unayehitaji zaidi ya miaka mia kubadilika. Hayo yote uliyoyaongelea yanahitaji uzi mwingine ambao ni tofauti na huu tunaouchangia. Fungua uzi mkuu, ili watu wachangie maoni yako, Tumheshimu mkuu aliyeamua kufungua uzi huu.
 
Taarifa zote angekuwa nazo basi kusingekuwepo na kuteua watu leo halafu kesho uteuzi unatenguliwa.
Hicho ndio kigezo kikubwa unachotumia? wewe binafsi hujawahi kufanya maamuzi fulani the ukayatengua? It is the Almighty God who is perfect. Mkosoeni JPM lakini msijenge taswira ya kumfikiria yeye kama ni mkamilifu kwa kila jambo.
 
Reactions: MTK
Siyo kweli, Ccm hawapo tayari kuachia madaraka hata Wapinzani wakishinda, hilo lipo wazi, wakiachia watakula wapi ilhali madaraka ndiyo shamba lao miaka yote.
 
Huo ndiyo ukweli mkuu, hata upinzani ukiimarika vp, kama uchaguzi wa huru na haki haupo, sioni kama kuna haja ya Uchaguzi, itabaki Uchaguzi jina.
 
Hicho ndio kigezo kikubwa unachotumia? wewe binafsi hujawahi kufanya maamuzi fulani the ukayatengua? It is the Almighty God who is perfect. Mkosoeni JPM lakini msijenge taswira ya kumfikiria yeye kama ni mkamilifu kwa kila jambo.

Well spoken man! Kama sio mkamilifu basi ajue kwamba hana hatimiliki ya nchi hii la hasha! Peke yake hawezi kujenga tanganyika mpya endelevu; "Stronger together", kwa hiyo aongoze nchi kwa kulitambua hilo, not otherwise!
 
Na kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term

Of course sio lazima akae madarakani miaka 5.
you repeatedly utter this statement where is your hypothesis which we can test to confirm this?
 
Imeandikwa usimjaribu bwana mungu wako.. naona mnapingana na maandiko! mi simo
 
Hapana ni kusema kweli na kwa dhati ya moyo wako! Na pia niombeeni. Haya tuambie wewe kabla sijakutimbua.
Hivi unaujua ukweli wewe ? mlivokaa mkamsema Lowasa ni Fisadi ule ulikuwa ukweli ama uwongo?
 
Natabiri chadema itapotea soon na lowasa atakua na chama kipya ...ila usijibu kwa hasira nikakufananisha na nonihii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…