Rais Magufuli, wewe ni mwanaume

So 20% kwako unaiona ndogo? Hivi unajua asilimia 20 ya wagonjwa wetu 509 mpaka sasa ni watu 101, so kwako wewe ni sawa watu 101 kufa?

na je unajua watu wangap kila mwaka hufa kwa magonjwa kama, HIV/AIDS, malaria and stroke?
 

Acha porojo, weka ushahidi wa nchi zilizofunga mipaka na immeadiately zikafanya lockdown na bado zina maabukizi ya corona.

na je unajua watu wangap kila mwaka hufa kwa magonjwa kama, HIV/AIDS, malaria and stroke?

Hayo magonjwa uliyotaja kuna hata moja ambalo umeambiwa uvae barakoa, uoshe mikono na sanitizer, uepuke msongamano ili kujikinga usiupate?
Okay hata kama na yenyewe yanaua, kwahiyo ilikuwa ni sahihi kuacha corona iingie nchini kwakuwa tu hawa raia wasipokufa na corona tayari wana ukimwi kwahiyo watakufa tu?
 
Huyo mungu wako anaekufanya utofautiane na wenzako katika mapambano, uwe na kiburi, udharau wataalam aka Wanasayansi na ujione wewe ndie unaempendeza zaidi ni mungu yupi? Na je wewe ndiye unaempikia chai sio?
 

ni kwamba unajifanya chizi ama? nnmekuuliza swali je nchi ambazo corona imeingia kwamba serikali haipendi wananchi wake ama? na sjasema kwamba tuache na corona kwa sababu kuna magonjwa mengine my point is that corona haikupaswa kupewa attention kubwa kama ivi, imagine corona yenyewe sisi tunajua kwamba imetoka wuhan lakini cha ajab china wanaishtaki marekani ndo wameitengeneza na marekani wanalalamika kwamba china wametengeneza, so kwa haraka haraka apa there was no need kuipa attention kiaasi iki, let me tell you one thing

Everything that happens on this world ni mafumbo, there is alot to the unknown in almost everything this world than you think thats its just a disease! be smart
 
Hili la kujilinganisha na nchi nyingine ambazo nazo zina corona na kuhoji kama kwani wao wanapenda wananchi wake ama laa ni kama utani uliochakaa, umesharudiwa sana na hauchekeshi tena japo mwanzo uliposemwa kwa mara ya kwanza tulicheka sana mpaka mbavu zikatuuma. Na ndio maana sijakujibu. Kimsingi tulipaswa kujiangalia sisi, sio wao na wale, hapana, siiiisi.

Na kisha hatua za kuuzuia zilipaswa ndio zipewe kipaumbele cha haraka sana, kwakuwa tunajua kupambana nao hatuwezi, hata bi dada wa kitanga alishatuambia, hatuwezi, huku akicheka.

Kuhusu kuupa ugonjwa attention, yaani unaona wafu wa corona wanazikwa kwa mafungu tena na greda huko brazil uache kutetemeka kwa kuhofia corona itakuwa superstar, acha iwe, kwa mwoga kwaenda kicheko, sie waswahili tunaamini hivyo, bongo bila kutishana raia wanakuwa wapuuzaji sana. Na matokeo yake kasi ya maambukizi itaongezeka.

Kuhusu mkanganyiko wa ni wapi kirusi kimeanzia, wuhan au texaz, it doesnt matter just know that this shit kills and kills faster.
 
Mwanaume ni baba yako, mbona unanipa mashaka, hata baba yako amezidiwa uanaume na huyo unayemsifia
 
wapi katika historia ya makabila yote 120+ ya Tanzania umewahi kusikia Mwanaume aliepita jando Anajivundika?.. Huyu mwali wa kizaramo sio Mwanaume bro!
 
Ukitakasa mikono huna haja ya miwani
wanasayansi wamefanya utafiti tena juzi kati tu hapa, na wamesema malango mzuri wa hivi virusi kuingia ndani ya mwili ni kwenye macho, so usitakase mikono pekee, unatakiwa angalau kuvaa miwani😥
 
Nini ushauri wako?

CCM OYEE!MISIMAMO DAIMA
 
Mbona umepaniki?

Hatunywi sumu,hatujinyongi..CCM MBELE KWA MBELE

CCM OYEE!MISIMAMO DAIMA
 
Magufuli tunakuamini wala usivunjike moyo kwa kelele zinazopigwa. Weka pamba masikioni songa mbele uuone utukufu a Mungu. Huyo anayekufa sasa anakufa kwa wakati wake na mwisho wa siku maisha yanaendelea.
Tunaongozwa na rais aliyeweka pamba maskioni ndio maana leo tunakimbiwa na majirani zetu. Ndio maana Raila wa Kenya akasema magu hashauriwi vizuri...na watanzania kama wewe mmedhihirisha hilo, eti weka pamba maskioni!
 
Angekuwa mwanaume angeacha vyama vyote vifanye siasa kisha waonane octoba,angekaa ikulu apambane na corona,angeshndana kwa hoja ili aman itawale,angeongeza mishahara ya watumish,angeajiri wanafunz wanaomaliza vyuo,angeacha vyombo vya habar viwe huru,
 
Mkorogo fulani wa “ religious fanaticsm” na “ hero worship”.

Kama hatua za kujikinga na ugonjwa ni katika ngazi ya mtu mmoja mmoja tena kwa utashi wake mwenyewe, hizo sifa za nini?

Na hiyo “anayeleta mzaha kwenye hii vita msaidie kunyamaza” inatoka wapi?

Yaani kuna gonjwa “linalonyamazisha” watu lakini bado tunataka “kunyamazishana” wenyewe na hapohapo tunamwingiza Mungu!
 
Mbona umepaniki?

Hatunywi sumu,hatujinyongi..CCM MBELE KWA MBELE

CCM OYEE!MISIMAMO DAIMA
Ndio vijana wa 'Popole'nyinyi? Mnahangaika sana!
Badala ya kuendeshwa tu kama mashine, jaribuni kutumia akili zenu mlizopewa na Mwenyezi Mungu kusimamia mnayoona yanafaa na kupinga yasiyofaa. Msiendeshwe tu kama matrekta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…