CCM huwa hatupangiwi nini cha kufanya au nani tumchague,
CCM sio CDM ambayo Mzee Mtei anafanya maamuzi kutoka Tengeru kwenda Dar.
TUKO IMARA ZAIDI.
Mandla.
Ujinga ni kumshangilia Magufuli wakati nyumba yako/yenu ipo ndani ya hifadhi ya barabara.
😂😂😂😂😂
Mwakyembe huyu huyu aliyepiga kura ya 'ndiyoooooo' kwa katiba ya Joka makengeza/Six pamoja na sheria mpya ya gesi!? Acha utani bwana.
R.I.P Mwalimu ...viva UKAWA
Ujingliest!Ujinga ni kumshangilia Magufuli wakati nyumba yako/yenu ipo ndani ya hifadhi ya barabara.
😂😂😂😂😂
Tupo pamoja mkuu!CCM huwa hatupangiwi nini cha kufanya au nani tumchague,
CCM sio CDM ambayo Mzee Mtei anafanya maamuzi kutoka Tengeru kwenda Dar.
TUKO IMARA ZAIDI.
Mandla.
Mbaya zaidi ni Mzee Kingunge, ashauriwe anywe sumu!Ikumbukwe huyo mwingine alisha onja kifo hivyo haogopi lolote na mtu yoyote!
Hapa Lowasa, Bashe (Msomalia/ muethopia,) wajiandae kisaikolojia
Mkuu Mandla ID Yako nahisi anaweza kuwa Waziri Mkuu...Yaani Kinana.CCM huwa hatupangiwi nini cha kufanya au nani tumchague,
CCM sio CDM ambayo Mzee Mtei anafanya maamuzi kutoka Tengeru kwenda Dar.
TUKO IMARA ZAIDI.
Mandla.