Rais Magufuli, Waziri Mkuu Mwakyembe

Rais Magufuli, Waziri Mkuu Mwakyembe

Ujinga ni kumshangilia Magufuli wakati nyumba yako/yenu ipo ndani ya hifadhi ya barabara.
😂😂😂😂😂

Ni sawa kama itashushwa kwa maslai mapana ya taifa...
Btw...nakukumbusha 👇
 

Attachments

  • 1436699450024.jpg
    1436699450024.jpg
    95.1 KB · Views: 207
Hawa ndo watanzania wanaotakiwA kutuongoza sasa. Dr Magufuli rais Dr Mwakyembe waziri mkuu. Safi sana. Hamtosikia tena uzembe zembe na mambo yale ya sijui ngada
 
Afu hilo joka nimeliona pale ukumbini likiserebuka ngoma! Daah!!
Wote na yule Mwizi mwenzie: Milioni 10 hela ya mboga!
Ndio maana nasema Watanzania wanatakiwa kuwa makini, hii system ya haya magamba mtu aliyefaidia nayo tayari hawezi kuwagusa waliomweka hapo. Ndio maana walimuofia mtu kama Jaji Agustino maana huyo asingetabirika.
R.I.P Mwalimu ...viva UKAWA
 
Ujinga ni kumshangilia Magufuli wakati nyumba yako/yenu ipo ndani ya hifadhi ya barabara.
😂😂😂😂😂

Hii hatari ,asante mkuu kwa kunichekesha.!
 
CCM huwa hatupangiwi nini cha kufanya au nani tumchague,
CCM sio CDM ambayo Mzee Mtei anafanya maamuzi kutoka Tengeru kwenda Dar.

TUKO IMARA ZAIDI.

Mandla.

CDM na Mtei wanaingiaje hapa? Wakati mwingine mtulize akili
 
Huy Samia atakuwa anakaimu sana cheo cha urais.Si mnajua matatizo yamgombea mteule anapokuwa over excited? Nashukuru leo hajaanguka kabisa
 
Back
Top Bottom