Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,703
- 6,658
Museveni ni smart guy! View attachment 1395779
Museveni ni smart guy! View attachment 1395779
Kaka soma hapa tovuti ya serikali ya Singapore inayoweka taharifa za COVID-19.Naunga mkono hoja na hapa ndipo ninapompendea rais Magufuli, kwenye ukweli, hakopeshi.
Sio tuu hakuna aliyekufa kwa Corona bali hakuna Mtanzania aliyeambukizwa Corona akiwa nchini, hivyo Corona Bongo haiambukiziki, huku nikisisitiza Corona ni ugonjwa wa ulaya na nchi za baridi, sio tropical disease
P
Maneno yake tumeyasikia. Muda utakapofika tutarejea maneno yake.
Chaja ya kobeNaunga mkono hoja na hapa ndipo ninapompendea rais Magufuli, kwenye ukweli, hakopeshi.
Sio tuu hakuna aliyekufa kwa Corona bali hakuna Mtanzania aliyeambukizwa Corona akiwa nchini, hivyo Corona Bongo haiambukiziki, huku nikisisitiza Corona ni ugonjwa wa ulaya na nchi za baridi, sio tropical disease
P
Chaja ya kobe
'Hakuna mtanzania aliyeambukizwa Corona akiwa nchini'
Kaka huwa naheshimu sana mawazo yako na hoja zako ila hapa unanena uongo. Kuna mengine huwenda hujajua au unajua ila unaamua kwenda kushoto badala ya kulia.
Jamaa anadai hakuna mgonjwa aliyeambukizwa Corona akiwa hapa nchini. Nimempuuza sana.Anaebaki kuheshimu mawazo ya huyo pimbi alienunhliwa na vipande thelathini yafedha ndio namshangaa.Toka magufuli amwambie mayala ki kwetu ni njaa,alaf akaitwa kuonywa Bungeni akapewa na vipande thelathini za fedha kawa mjinga kuzidi spidi ya korona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja na hapa ndipo ninapompendea rais Magufuli, kwenye ukweli, hakopeshi.
Sio tuu hakuna aliyekufa kwa Corona bali hakuna Mtanzania aliyeambukizwa Corona akiwa nchini, hivyo Corona Bongo haiambukiziki, huku nikisisitiza Corona ni ugonjwa wa ulaya na nchi za baridi, sio tropical disease
P
Wapinzani wote!Nafikiri tunapaswa kuendelea kuchukua hatua ili vifo vistokee. Yeye angependa wafe wangapi? Akina nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wengi tu ila serikali yetu haitatangaza, sisi kwetu afya za watu watu tunazifanyia masiharaJamaa anadai hakuna mgonjwa aliyeambukizwa Corona akiwa hapa nchini. Nimempuuza sana.
Asubuhi ya leo napigiwa simu na rafiki yangu akiwa Dar hospitali na yeye mwenyewe anashuhudia kwa kinywa chake amekutwa na Corona halafu huyu Mayala anadai hakuna mtu aliyeambukizwa.
Kweli mjingawewe kama yeye.Watanzania hii corona msiikuze sanaaa..
Na tuache kupeana hofu.
Ni kweli inaua ila kwa hapa Tanzania na Africa kwa ujumla sio tishio sanaa.
kwa kuwa tuendelee kuwa na amani.
Tusijipe presha ambayo haipo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Paschal,fanya tafiti kabla hujaandika.Naunga mkono hoja na hapa ndipo ninapompendea rais Magufuli, kwenye ukweli, hakopeshi.
Sio tuu hakuna aliyekufa kwa Corona bali so far, bado hakuna Mtanzania aliyeambukizwa Corona akiwa nchini, hivyo Corona Bongo haiambukiziki, huku nikisisitiza Corona ni ugonjwa wa ulaya na nchi za baridi, sio tropical disease
P
Mbona juzi WHO imerudia kutoa onyo kali kwa nchi za Africa kuchukuwa taadhari kubwa sana,hasa kutokana na kutokuwa na uwezo wa kupambana na mdudu huyo?Watanzania hii corona msiikuze sanaaa..
Na tuache kupeana hofu.
Ni kweli inaua ila kwa hapa Tanzania na Africa kwa ujumla sio tishio sanaa.
kwa kuwa tuendelee kuwa na amani.
Tusijipe presha ambayo haipo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa 12 wote walitoja nje?Naunga mkono hoja na hapa ndipo ninapompendea rais Magufuli, kwenye ukweli, hakopeshi.
Sio tuu hakuna aliyekufa kwa Corona bali so far, bado hakuna Mtanzania aliyeambukizwa Corona akiwa nchini, hivyo Corona Bongo haiambukiziki, huku nikisisitiza Corona ni ugonjwa wa ulaya na nchi za baridi, sio tropical disease
P
Kaka umemsikia Mkuu wa nchi alivyo elezea mchanganuo wa wagonjwa wale 12 wa COVID-19?Naunga mkono hoja na hapa ndipo ninapompendea rais Magufuli, kwenye ukweli, hakopeshi.
Sio tuu hakuna aliyekufa kwa Corona bali so far, bado hakuna Mtanzania aliyeambukizwa Corona akiwa nchini, hivyo Corona Bongo haiambukiziki, huku nikisisitiza Corona ni ugonjwa wa ulaya na nchi za baridi, sio tropical disease
P
Kweli mjingawewe kama yeye.
Mbona juzi WHO imerudia kutoa onyo kali kwa nchi za Africa kuchukuwa taadhari kubwa sana,hasa kutokana na kutokuwa na uwezo wa kupambana na mdudu huyo?
Na imetenga 1 billion usd kwa nchi maskini kupambana na Covid-19.
Je WHO ni mwongo?
Hata Italy walichukulia poa mkuu...!!Corona ina siku ngapi hapa Tanzania?
kuna wagonjwa wangapi hapa Tanzania?.
Unajua Italian wanakufa watu wangapi kwa siku sababu ya CORONA?
Kwa wiki hii moja kama ingekuwa na athari kubwa.
Basi ujue tungekuwa na wagonjwa zaidi ya 50.
alafu mzungu SIO MUNGU..SIO KILA ANALOSEMA TUMKUBALIE.
Sent using Jamii Forums mobile app
WHO sio mzungu ni World Health Organization, taasisi ya Ummoja wa mataifa UNCorona ina siku ngapi hapa Tanzania?