Rais Magufuli ushahidi mwingine ACACIA/ Barrick wanavyotupiga mgodi wa NICKEL Kabanga mkoa Kagera

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
8,365
2,000
Watanzania tumejawa na roho ya umaskini. Maskini wakati wote hufikiria kuwa amekuwa maskini kwa sababu tajiri amekuwa tajiri. Sasa huko Kabanga tumepigwa nini wakati hakuna hata mgodi?

Kabanga nickel project ipo kwenye care and maintenance. Project tunayo tangu ukoloni mpaka leo lakini haijapatikana kampuni ya kufanya development mpaka leo. Kwa yale yanayoendelea sasa nadhani project hiyo kuwa developed labda miaka 50 ijayo, nchi itakapokuwa na business minds. Au tuwape wababaishaji wa kichina. Nchi ambayo haina teknolojia ya uchimbaji madini.
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,258

Kama wewe hauoni hivyo ulivyoandika kwamba Masikini ni masikini kwa sababu mwingine ni tajiri, basi kuna mawili kwa upande wako aidha wewe ni tajiri au ni mgonjwa wa akili!
 
R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,302

kwenye map ya Barrick inafanya nini? kwenye mahesabu ya Barrick inahusikaje??
 
LENDEYSON

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
2,976
2,000
Mkuu R.B, kwanza nikupongeze kwa huu uzi! Nimekuwa nikitamani Sana Kuandika kuhusu hilo ila nikimkumbuka Ben Rabiu Saanane kuwa haonekani, nimekaa Kimya! Nilienda hadi Ngara, interest kubwa ilikuwa kufanya utafiti mdogo kwenye Mgodi wa Nikel huko Kabanga, ni katika kitu kinachoitwa Human Rights and Business! Sikufanikiwa kutokana na Mambo ambayo siwezi kuyataja humu! Ila Kabanga Nickel ni Jipu kubwa sana, tumepigwa Sana, na Sasa chini kwa chini wapo kwa Nkurunzinza!
Ukifuatilia taarifa za Mgodi huo utakuta bado upo kwenye Exploration, nadhani kwa Miaka mingi Sasa!
MH. Magufuli, Mimi binafsi nakusubiri kwa Kabanga Nickel!
 
LENDEYSON

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
2,976
2,000
Watanzania tumejawa na roho ya umaskini. Maskini wakati wote hufikiria kuwa amekuwa maskini kwa sababu tajiri amekuwa tajiri. Sasa huko Kabanga tumepigwa nini wakati hakuna hata mgodi?

Kabanga nickel project ipo kwenye care and maintenance. Project tunayo tangu ukoloni mpaka leo lakini haijapatikana kampuni ya kufanya development mpaka leo. Kwa yale yanayoendelea sasa nadhani project hiyo kuwa developed labda miaka 50 ijayo, nchi itakapokuwa na business minds. Au tuwape wababaishaji wa kichina. Nchi ambayo haina teknolojia ya uchimbaji madini.
Hiyo Miaka 50 ijayo labda Kabanga itakuwa imezaa Nickel mpya tofauti na hii, maana hii ya Sasa haipo, imeshachimbwa hadi Burundi, na jifanye kiherehere tu uone, Kuna kapori kabla ya kufika mgodini, watakuhifadhi humo!
 
comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
2,579
2,000
hayo tu h
Siyo huko tu, tunapigwa kila secta mkuu.. utalii, uvuvi, misitu, ardhi yaani hii inchi ccm wameshaiuza
ivi hii internet ni yenu, imetengenezwa kibiti; je elimu yenu; nyinyi bure kabisa, TUMEPIGWA KILA SEHEMU
 
UKWELI NI HUU

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
262
500
kwenye map ya Barrick inafanya nini? kwenye mahesabu ya Barrick inahusikaje??
shida ya Lack of business understanding kwa wengi wenu...especially mining business.

Kabanga nickel ni mgodi unaomilikiwa na Barrick kwa asilimia 50% na Glencore 50% na uzalishaji ulitakiwa kuanza miaka kadhaa iliyopita lakini bei ya Nickel katika soko la dunia imeshuka sana katika kipindi cha miaka mitano iliyopita kiasi cha kutoonyesha faida ya kutosha ukiingiza gharama za uanzishaji mgodi (Mine development).

Ndani ya miaka mitano bei ya Nickel imeshuka kutoka dola 20,000 kwa tani mwaka 2012 hadi dola 9,000 kwa tani mwaka huu.Katika mining industry hiyo ni hali ya kawaida sana, bei ya madini ni factor muhimu katika kufikia maamuzi ya kufungua mgodi au la. Kuna migodi mingi ya Nickel ambayo imekufa au kusimamisha uzalishaji duniani sababu ya bei kuporomoka.

Halafu unatakiwa uelewe mradi wa Kabanga nickel sio sehemu ya Acacia, uko chini ya Barrick gold corporation. Acacia ni sehemu ya Barrick ila Barrick sio sehemu ya Acacia.....
 
Wong Fei

JF-Expert Member
Apr 13, 2016
3,931
2,000
Mambo ya JPM ni mjinga na mpuuzi ndiyo anaweza kuamini.
Tuliambiwa Acacia ni wezi na hawana leseni lkn mpaka sasa wanachimba dhahabu na wanasafirisha. Nilitegemea hii ripoti baada ya kutoka, hakuna tena uchimbaji. Na sasa kesi ingekuwa mahakamani.
Mwizi anakaribishwa ikulu kwa mazungumzo? Teh teh teh
Na watanzaania walivyowajinga wanampongeza kwa kuandamana.
Teh teh
...Kuna kiongozi anaitwa dikiteta uchwara?.........
 
areafiftyone

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
7,404
2,000
Watanzania tumejawa na roho ya umaskini. Maskini wakati wote hufikiria kuwa amekuwa maskini kwa sababu tajiri amekuwa tajiri. Sasa huko Kabanga tumepigwa nini wakati hakuna hata mgodi?

Kabanga nickel project ipo kwenye care and maintenance. Project tunayo tangu ukoloni mpaka leo lakini haijapatikana kampuni ya kufanya development mpaka leo. Kwa yale yanayoendelea sasa nadhani project hiyo kuwa developed labda miaka 50 ijayo, nchi itakapokuwa na business minds. Au tuwape wababaishaji wa kichina. Nchi ambayo haina teknolojia ya uchimbaji madini.
Aisee,Watanzania ni viumbe wa ajabu sana.Kwa hiyo mlitaka tuwaruhusu waendelee kutuibia ili watusifu kwamba tuna business minds.Hivi hamjui kwamba they see us as being very stupid.What on hell is this nonsense.Come back to your senses kijana.Yaani ninyi ndio mnadai muachiwe nchi.No way.
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
7,520
2,000
Kama wewe hauoni hivyo ulivyoandika kwamba Masikini ni masikini kwa sababu mwingine ni tajiri, basi kuna mawili kwa upande wako aidha wewe ni tajiri au ni mgonjwa wa akili!
ACACIA ni wezi bwana, hata leseni hawana, stop makinikia - MIGODI YAO MITATU MPAKA LEO HII INAENDELEA NA UZALISHAJI WANAENDELEA KUTULIPA 4% mrahaba.. "akili ni nywele, kila mtu anazake"
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
7,520
2,000
Aisee,Watanzania ni viumbe wa ajabu sana.Kwa hiyo mlitaka tuwaruhusu waendelee kutuibia ili watusifu kwamba tuna business minds.Hivi hamjui kwamba they see us as being very stupid.What on hell is this nonsense.Come back to your senses kijana.Yaani ninyi ndio mnadai muachiwe nchi.No way.[/QU

Nafikiri umemuelewa vibaya huyo jamaa, business mind anayoiongelea ni tofauti naulivyoitafsiri. Hakuna mtanzania anayependa Taifa liibiwe na ndio maana wakati mikataba ya hovyo inasigniwa watu wengi walipiga kelele except CCM..

Business mind tusiokuwanayo ni ile ya kusign mrahaba wa 4% halafu tunapiga kelele tunaibiwa kwenye makinikia..
Hatuwezi kuwa na business mind kama kila muwekezaji anayekuja tunasema anatuibia wakati tulipata muda wa kukaa naye mezani na kusign naye mikataba..

Wawekezaji hawa wanapokuja Serikali ndio huwaonyesha maeneo na mwisho kusign mikataba.. ukisikiliza demand zetu kwenye hii migodi na kama kweli unaijua mining business lazima uamini hatuna business mind na at the end tunaishia kwenye 4% na kuzua migogoro isiyoeleweka..
 
kicha

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
590
1,000
Hivi kweli anayoyafanya huyu baba yule wa monduli angeweza au bac tu tuangalie anatoka chama gani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom