Watanzania tumejawa na roho ya umaskini. Maskini wakati wote hufikiria kuwa amekuwa maskini kwa sababu tajiri amekuwa tajiri. Sasa huko Kabanga tumepigwa nini wakati hakuna hata mgodi?
Kabanga nickel project ipo kwenye care and maintenance. Project tunayo tangu ukoloni mpaka leo lakini haijapatikana kampuni ya kufanya development mpaka leo. Kwa yale yanayoendelea sasa nadhani project hiyo kuwa developed labda miaka 50 ijayo, nchi itakapokuwa na business minds. Au tuwape wababaishaji wa kichina. Nchi ambayo haina teknolojia ya uchimbaji madini.
kwenye map ya Barrick inafanya nini? kwenye mahesabu ya Barrick inahusikaje??Watanzania tumejawa na roho ya umaskini. Maskini wakati wote hufikiria kuwa amekuwa maskini kwa sababu tajiri amekuwa tajiri. Sasa huko Kabanga tumepigwa nini wakati hakuna hata mgodi?
Kabanga nickel project ipo kwenye care and maintenance. Project tunayo tangu ukoloni mpaka leo lakini haijapatikana kampuni ya kufanya development mpaka leo. Kwa yale yanayoendelea sasa nadhani project hiyo kuwa developed labda miaka 50 ijayo, nchi itakapokuwa na business minds. Au tuwape wababaishaji wa kichina. Nchi ambayo haina teknolojia ya uchimbaji madini.
Mkuu R.B, kwanza nikupongeze kwa huu uzi! Nimekuwa nikitamani Sana Kuandika kuhusu hilo ila nikimkumbuka Ben Rabiu Saanane kuwa haonekani, nimekaa Kimya! Nilienda hadi Ngara, interest kubwa ilikuwa kufanya utafiti mdogo kwenye Mgodi wa Nikel huko Kabanga, ni katika kitu kinachoitwa Human Rights and Business! Sikufanikiwa kutokana na Mambo ambayo siwezi kuyataja humu! Ila Kabanga Nickel ni Jipu kubwa sana, tumepigwa Sana, na Sasa chini kwa chini wapo kwa Nkurunzinza!
Hiyo Miaka 50 ijayo labda Kabanga itakuwa imezaa Nickel mpya tofauti na hii, maana hii ya Sasa haipo, imeshachimbwa hadi Burundi, na jifanye kiherehere tu uone, Kuna kapori kabla ya kufika mgodini, watakuhifadhi humo!Watanzania tumejawa na roho ya umaskini. Maskini wakati wote hufikiria kuwa amekuwa maskini kwa sababu tajiri amekuwa tajiri. Sasa huko Kabanga tumepigwa nini wakati hakuna hata mgodi?
Kabanga nickel project ipo kwenye care and maintenance. Project tunayo tangu ukoloni mpaka leo lakini haijapatikana kampuni ya kufanya development mpaka leo. Kwa yale yanayoendelea sasa nadhani project hiyo kuwa developed labda miaka 50 ijayo, nchi itakapokuwa na business minds. Au tuwape wababaishaji wa kichina. Nchi ambayo haina teknolojia ya uchimbaji madini.
ivi hii internet ni yenu, imetengenezwa kibiti; je elimu yenu; nyinyi bure kabisa, TUMEPIGWA KILA SEHEMUSiyo huko tu, tunapigwa kila secta mkuu.. utalii, uvuvi, misitu, ardhi yaani hii inchi ccm wameshaiuza
kwenye map ya Barrick inafanya nini? kwenye mahesabu ya Barrick inahusikaje??
Aisee,Watanzania ni viumbe wa ajabu sana.Kwa hiyo mlitaka tuwaruhusu waendelee kutuibia ili watusifu kwamba tuna business minds.Hivi hamjui kwamba they see us as being very stupid.What on hell is this nonsense.Come back to your senses kijana.Yaani ninyi ndio mnadai muachiwe nchi.No way.Watanzania tumejawa na roho ya umaskini. Maskini wakati wote hufikiria kuwa amekuwa maskini kwa sababu tajiri amekuwa tajiri. Sasa huko Kabanga tumepigwa nini wakati hakuna hata mgodi?
Kabanga nickel project ipo kwenye care and maintenance. Project tunayo tangu ukoloni mpaka leo lakini haijapatikana kampuni ya kufanya development mpaka leo. Kwa yale yanayoendelea sasa nadhani project hiyo kuwa developed labda miaka 50 ijayo, nchi itakapokuwa na business minds. Au tuwape wababaishaji wa kichina. Nchi ambayo haina teknolojia ya uchimbaji madini.
Kama wewe hauoni hivyo ulivyoandika kwamba Masikini ni masikini kwa sababu mwingine ni tajiri, basi kuna mawili kwa upande wako aidha wewe ni tajiri au ni mgonjwa wa akili!
kuna msemo unasema kikulacho kinguoni mwakooHata huyu jamaa ni mnafiki Sana anatuhadaa watanzania
Aisee,Watanzania ni viumbe wa ajabu sana.Kwa hiyo mlitaka tuwaruhusu waendelee kutuibia ili watusifu kwamba tuna business minds.Hivi hamjui kwamba they see us as being very stupid.What on hell is this nonsense.Come back to your senses kijana.Yaani ninyi ndio mnadai muachiwe nchi.No way.[/QU
Nafikiri umemuelewa vibaya huyo jamaa, business mind anayoiongelea ni tofauti naulivyoitafsiri. Hakuna mtanzania anayependa Taifa liibiwe na ndio maana wakati mikataba ya hovyo inasigniwa watu wengi walipiga kelele except CCM..
Business mind tusiokuwanayo ni ile ya kusign mrahaba wa 4% halafu tunapiga kelele tunaibiwa kwenye makinikia..
Hatuwezi kuwa na business mind kama kila muwekezaji anayekuja tunasema anatuibia wakati tulipata muda wa kukaa naye mezani na kusign naye mikataba..
Wawekezaji hawa wanapokuja Serikali ndio huwaonyesha maeneo na mwisho kusign mikataba.. ukisikiliza demand zetu kwenye hii migodi na kama kweli unaijua mining business lazima uamini hatuna business mind na at the end tunaishia kwenye 4% na kuzua migogoro isiyoeleweka..