Rais Magufuli, unaogopa nini kwa Membe?

Rais Magufuli, unaogopa nini kwa Membe?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,432
Ameandika swahiba #Dk_Levy

Kama anafanya kazi vizuri. Kama anajenga miundo mbinu, kaleta nidhamu ya kazi serikalini. Kama amedhibiti mafisadi na kubana matumizi ya hovyo. Kama anakusanya mapato vizuri na kugawa keki ya taifa kwa usawa. Kama ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato na mbuga ya Burigi, ni jambo la faida kwa taifa. Kama kweli anatoa elimu bure na huduma za afya hivi sasa ziko sawa. Hofu kwa wapinzani inatoka wapi?

Kama kweli CCM ya sasa ni mpya. Kama kweli kadhibiti mapato na mali za chama. Na kama kweli CCM wote wanamuunga mkono.

Huyo Membe akitaka kuomba ridhaa ya kugombea 2020 kupitia CCM. Nani atampa kura kama CCM ya sasa yote ni mpya?

Hofu ya Membe inatokea wapi?

#UtawalaWaMazingaombwe
 
Wewe unaogopa nini kuja na jina lako halisi halafu ndio umnyooshee kidole mtu mwingine una fikiri anaogopa?
 
Ameandika swahiba #Dk_Levy

Kama anafanya kazi vizuri. Kama anajenga miundo mbinu, kaleta nidhamu ya kazi serikalini. Kama amedhibiti mafisadi na kubana matumizi ya hovyo. Kama anakusanya mapato vizuri na kugawa keki ya taifa kwa usawa. Kama ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato na mbuga ya Burigi, ni jambo la faida kwa taifa. Kama kweli anatoa elimu bure na huduma za afya hivi sasa ziko sawa. Hofu kwa wapinzani inatoka wapi?

Kama kweli CCM ya sasa ni mpya. Kama kweli kadhibiti mapato na mali za chama. Na kama kweli CCM wote wanamuunga mkono.

Huyo Membe akitaka kuomba ridhaa ya kugombea 2020 kupitia CCM. Nani atampa kura kama CCM ya sasa yote ni mpya?

Hofu ya Membe inatokea wapi?

#UtawalaWaMazingaombwe
Unamuuliza Rais anaogopa nini. Msingi wa swali lako ni kwamba unaamini anaogopa kitu. Wewe ndiye unayesema anaogopa, kitu ambacho kinaweza kuwa kweli au la, na hapo hapo unamtaka yeye akuambie anachoogopa wakati inawezekana wala haogopi kitu. Umetaja vitu ambavyo vinamwongezea imani juu ya utendaji wake; na bado unamtaka akuambie anachokiogopa.
 
Ameandika swahiba #Dk_Levy

Kama anafanya kazi vizuri. Kama anajenga miundo mbinu, kaleta nidhamu ya kazi serikalini. Kama amedhibiti mafisadi na kubana matumizi ya hovyo. Kama anakusanya mapato vizuri na kugawa keki ya taifa kwa usawa. Kama ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato na mbuga ya Burigi, ni jambo la faida kwa taifa. Kama kweli anatoa elimu bure na huduma za afya hivi sasa ziko sawa. Hofu kwa wapinzani inatoka wapi?

Kama kweli CCM ya sasa ni mpya. Kama kweli kadhibiti mapato na mali za chama. Na kama kweli CCM wote wanamuunga mkono.

Huyo Membe akitaka kuomba ridhaa ya kugombea 2020 kupitia CCM. Nani atampa kura kama CCM ya sasa yote ni mpya?

Hofu ya Membe inatokea wapi?

#UtawalaWaMazingaombwe
Mtu incompetent anaanzaje kujiamini kwa mfano
 
Uoga ni kutojiamini...... Huenda haamini anachowafanyia watz that's why hofu hofu hofu..... na matumiz ya askari kulinda hofu zake
Tatizo aliwekeza zaidi kwenye kuwalisha watu matango pori kuliko uhalisia,sasa kadri muda unavyoenda anaona wadanganyika wameshitukia Matango pori yake,na shamba la matango pori ndo linaishia,sasa bila kutumia nguvu 2020 akipata mshindani iwe ndani au nje atawalisha wadanganyika nini?Ataenda kuwaambia nimejenga hospital wakati hazionekani?
 
Ameandika swahiba #Dk_Levy

Kama anafanya kazi vizuri. Kama anajenga miundo mbinu, kaleta nidhamu ya kazi serikalini. Kama amedhibiti mafisadi na kubana matumizi ya hovyo. Kama anakusanya mapato vizuri na kugawa keki ya taifa kwa usawa. Kama ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato na mbuga ya Burigi, ni jambo la faida kwa taifa. Kama kweli anatoa elimu bure na huduma za afya hivi sasa ziko sawa. Hofu kwa wapinzani inatoka wapi?

Kama kweli CCM ya sasa ni mpya. Kama kweli kadhibiti mapato na mali za chama. Na kama kweli CCM wote wanamuunga mkono.

Huyo Membe akitaka kuomba ridhaa ya kugombea 2020 kupitia CCM. Nani atampa kura kama CCM ya sasa yote ni mpya?

Hofu ya Membe inatokea wapi?

#UtawalaWaMazingaombwe
Hata wao wanashangaa
IMG-20190806-WA0157.jpeg
 
Inawezekana asilimia tisini ya wapiga kura ndani na nje ya Chama husika ni mafisadi, walarushwa na wahujumu uchumi "anaopambana" nao

Hofu ya kupambanishwa nao ndio msingi wa minyukano na sarakasi na vioja vya kudukuana

Kama takwimu kuhusu tabia za hao wapiga kura hazipo kama nilivyoeleza hapo juu basi tatizo laweza kua kwa mpigiwa kura mwenyewe
 
Ameandika swahiba #Dk_Levy

Kama anafanya kazi vizuri. Kama anajenga miundo mbinu, kaleta nidhamu ya kazi serikalini. Kama amedhibiti mafisadi na kubana matumizi ya hovyo. Kama anakusanya mapato vizuri na kugawa keki ya taifa kwa usawa. Kama ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato na mbuga ya Burigi, ni jambo la faida kwa taifa. Kama kweli anatoa elimu bure na huduma za afya hivi sasa ziko sawa. Hofu kwa wapinzani inatoka wapi?

Kama kweli CCM ya sasa ni mpya. Kama kweli kadhibiti mapato na mali za chama. Na kama kweli CCM wote wanamuunga mkono.

Huyo Membe akitaka kuomba ridhaa ya kugombea 2020 kupitia CCM. Nani atampa kura kama CCM ya sasa yote ni mpya?

Hofu ya Membe inatokea wapi?

#UtawalaWaMazingaombwe
Wakuu hivi kwani kuna siku Membe ametangaza atagimbea urais alafu Magufuli akapinga? Hilo jambo lilifanyika lini mbona wengine hatujaona?

Mm naona wapinzani wa Magufuli mnapuyanga sana, yaani hata wale kutoka vyama pinzani nao sasa wanamshabikia Membe!

Membe ni ccm na Magufuli ni ccm, kwahiyo yeyote atakaye teuliwa upinzani hakutakuwa na faida nae.
Msiwe vipofu
 
hakosi hata sifa moja tena hapo zimepungua

Sawa, ni jinsi uonavyo wewe, kuna watu pia wanamuona Babako ni evil human lkn labda wewe haumuoni hivyo, kila kitu ni relative hapa Duniani.
 
Back
Top Bottom