Positive thinkingWatu wangapi miaka yote hiyo wamepata elimu duni toka kwa mtu ambae hana sifa? Sio ajabu kuna watu wamefeli mtihani na wanateseka kwa ajili ya udanganyifu wa huyu mama na nduguze wana ukoo.
Huyu naye ni hewa? Au hujui maana ya watumishi hewa?Hamna namna yeye angestaafu kwa hiari pale aliposikia Rais anataka kushughulikia tatizo la watumishi hewa. Sasa ni too late lazima atastaafishwa kwa kosa la fojari au kutumia cheti siyo chake. Nampongeza sana RAIS kwa zoezi hili Pendwa na kupunguza hewa kila sehemu. Ushauri wangu kwa Admin JF waangalie namna ya kupambana na WANAJUKWAA au WANAJAMVI HEWA .
Kwanini hufikirii na wale waliofaulu kwa udanganyifu wa huyu mama?Watu wangapi miaka yote hiyo wamepata elimu duni toka kwa mtu ambae hana sifa? Sio ajabu kuna watu wamefeli mtihani na wanateseka kwa ajili ya udanganyifu wa huyu mama na nduguze wana ukoo.
Hayajawahi kukuta utanywea na hautathubutu siku nyingine kukejeli wahanga. Ushabiki mpaka kwenye maisha ya watu.
Mtu amefanya kazi karibu miaka 30 unamuitaje mfanyakazi hewa ?! Kweli awamu hii WaTz wamepatikana! !
Unaona? Mleta mada ameturahisishia kazi tunaingia mtaani muda si mrefu kumsaka huyo mama ashtakiwe.Positive thinking
Chuki na ushabiki unafunga FIKRA za wengi
Mbona watu hawataki kufikiria madhara ya kuwa na mtumishi wa aina hiyo?
Kama ameweza kudanganya kwenye cheti na jina basi ni rahisi kudanganya kwenye ufaulu na kupata AJIRA
Ukiwa na Mwalimu kihiyo unajua madhara yake? Wangapi wameathirika?
Leo najiuliza kule kwetu kijijini shule ya msingi ilikaa zaidi ya miaka 20 kabla haijafaulisha mwanafunzi wa kwanza....!!!!
Sasa naanza kuamini pale shule kulikuwepo mama zetu watoto wasiopungua watatu hivi
USHUHUDA:
Nilihama shule hiyo nilipofika darasa la 3. kwa Terminals 5 pale sebuleni nilikuwa nashika namba 2, nikitanguliwa na MWAMBA mmoja
Nilkohamia nilishika namba 1 tu mpaka nikaenda special School. Ajabu yule mwamba wa kule kijijini KWETU aliangukia pua naamini ulikuwa mkono wa mama yetu mdogo ndio maana ndoto zake yule MWAMBA wangu zimekufa na Leo hii ni mkulima asiye na tija akiishi maisha ya dhalili.
Itakata huko huko kwenye mafao yake yaliyoandaliwaNamhurumia huyo mamako mdogo, sasa hivi kapata BP bado kisukari kiko njiani atakapotumiwa barua ya kurudisha pesa yote ya miaka 25 aliyopokea akiwa mtumishi hewa, sheria haiangalii umri.
NdagukundaKwa kuwa alipitia chuo na vyeti vya chuo ni vyake huyu mama angesamehewa tu.
Sikubaliani na wewe,Positive thinking