Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

Comment kama hzi ndo zinahitajika kwa serikali ya sasa.

Mkuu omba yasikukute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na hatua zingine.... zipitiwe camera na kujionea uzembe unaofanyika hapo. Naona watu wanachezea kazi wakati mitaani kuna vijana wengi wanakesha na kuomba wapate ajira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi cku hzi pf3 haimfuati mtu hospitali?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
shida ni kujaza WANAJESHI MADAKTARI hapo ndio sababu ya yote haya! JPM hajui kuwa hao ni wavivu wa kazi magwanda tu yanawasitiri! afanye utafit atajua
Ukiwa mjeshi tu,wewe ni zaidi ya raia,una vitu vya hali ya juu,ndiyomaana JPM anawafanyia chochote aonacho kitawafurahisha.
 
Kazi ya daktari sio kuzuia kifo. Kazi yake ni kutibu, whether mgonjwa atapona au laa ilo analijua Mungu aliyetupa uhai.

Suala la vifo 11 Mloganzila kwa usiku mmoja sio ajabu sana. Naamini hata ukienda MNH ukachukua records za siku nzima ya jana kwa idara zote utakuta vifo zaidi ya kumi na moja.

Suala la mgonjwa wako kufa, pole kwanza kwa kufiwa. Lakini ungeuliza zaidi kuhusu sababu ya kifo. Si kweli kwamba ajali ya mguu haiwezi kumuua mtu. Unajua average blood loss of a femur? Inaeza muua mtu hasa kama alichelewa kupata blood replacement.
 
Sasa Mnyika unataka afanye nini mbona unajitoa ufahamu sana wewe?
.
Hiyo hospital ni ya mafunzo huyo kaka yako ni apparatus ya madaktari wanaojifunza kama hujui ndio ushajua sasa na ukome kupeleka mgonjwa pale tena!
Alafu wewe hujatembea hospital za mikoani uone watu waliopo wodi za kawaida wanavyoukata wewe
.
11 tu unakaza shingo hujaona bado nenda hospital ya igunga
 
Ukiwa mjeshi tu,wewe ni zaidi ya raia,una vitu vya hali ya juu,ndiyomaana JPM anawafanyia chochote aonacho kitawafurahisha.
shida ni kwamba hawako serious na wagonjwa wetu pale mloganzila! pamekuwa machinjioni
 
Mnyika alipo kwenda Mlongazila na kusikiliza kero za Wananchi kuhusu huduma mbovu katika Hospital hiyo mlimkejeli sana. Afadhali yamekukuta mwana CCM labda utasikilizwa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Form four alipata division 5 au 4 ?
 
Form four alipata division 5 au 4 ?

..inawezekana alifaulu vizuri form 4 ndiyo maana akafika Ihungo high school.

..nimeshuhudia mtu amepata 1 form 4. Then O form 6. Akaenda kusomea medical assistant, sasa hivi ana PhD ya medicine.

..kufeli form 4 au 6 haimaanishi kwamba mhusika atashindwa maisha.
 
Bora wajenge muhitatu au muhinne maana muhimbili imebakia mbili hawana jipya kiwekuwa kisiwa cha kuchukua uhai wa watu huko kibamba mloganzila, ni wakati Serikali ya wapenda Ndege ijenge Hospt kubwa sana Dodoma yenye hadhi ya kimataifa ili wagonjwa toka nchi jirani waje pia kutibiwa.
 
Gharama za kununua Ndege moja zonatosha kujenga Hospt kadhaa za rufaa Moro, pwani, Tanga Iringa Lindi mtwara na kupunguza msongamano wa wagonjwa toka mikoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…