Kahumbi Lumola
JF-Expert Member
- Mar 3, 2012
- 359
- 2,569
RAIS JPM TUNGA SHERIA MPYA PIA FANYA MAREKEBISHO YA SHERIA MBOVU ZILIZOPO. NCHI HII HAIKUWA NA MWENYEWE VINGINEVYO TUTAZIDI KULIWA MZEE.
Na Lumola Steven Kahumbi.
Takribani sasa siku 3 zimepita tangu tuliposikia juu ya TCRA kutoza faini kwa baadhi ya Makampuni ya simu.
Sitayataja yote ila nitazungumzia Vodacom Tanzania as a reference pia kama Kampuni kubwa zaidi nchini. TCRA waliwatoza Vodacom Tshs. 27milioni.
Pikipiki yenye thamani ya Tshs. Milioni2 inalipia faini ya Shilingi 30,000/= kwa kosa moja. Hiyo ni sawa na asilimia 1.5 ya thamani ya pikipiki. Chukua 0.015 x 2,000,000= 30,000.
Gazeti la THE CITIZEN liliwahi kuripoti habari inayosema kwamba "Rostam offloads Vodacom equity for a cool Sh387 billion" kwa undani zaidi ilikuwa kwamba Kampuni ya Cavalry Holdings iliyokuwa inamiliki asilimia 35 ya hisa za Vodacom Tanzania kupitia Mirambo Limited inayomilikiwa na MfanyaBiashara Mtanzania Rostam Aziz iliuza asilimia 17.2 ya hisa zake kwa $242 million sawa na shilingi bilioni 387 na kubakiwa na asilimia 17.8 za hisa zake.
Sasa kwa kuwa President wangu ni mkali wa namba. Naomba tukokotoe sasa.
Consider the following rough idea;
17.2% equals to 0.172 and 100% equals to 1 respectively. Ikiwa thamani ya 17.2% ni Tshs. 387 bilioni. Maana yake ili kupata 100% ni sawa na Tshs. ngapi tutachukua
0.172 = 387bilioni
1= x
x ni thamani ya kitu kizima. Tutapata x=2.25Trilioni yaani 2,250,000,000,000/= hizi ndizo jumla ya hisa za Voda in terms of Tshs.
Sasa turudi hapo juu kwenye pikipiki. Asilimia 1.5 ya mtaji wa Voda ni 33,750,000,000/= bilioni 33 na ushee. Hiyo ndio ilipaswa kuwa faini kwa kosa moja kwa kampuni kubwa kama ya Vodacom walichokifanya TCRA ni kwamba hiyo 27milioni ni sawa kutoza 0.000012 sawa tu na 0.0012% nearest approximation ni 0.00001ni sawa na 0 tu.
[HASHTAG]#President[/HASHTAG] JPM.
Kwanza, waChallenge TCRA wakwambie kwa kila faini waliyotoza kwa kila Kampuni wamezingatia sheria ipi? Wataje kampuni, kiasi walichotoza, idadi ya makosa na kigezo walichotumia kiSheria.
Pili, Ni wakati sasa wa kutunga sheria na naomba kutoa mapendekezo kama ifuatavyo;
" Faini kwa kosa moja itakuwa ni 1.5% ya jumla ya thamani/Mtaji wa kampuni/bidhaa/mali ya mtenda kosa/mmiliki/wamiliki"
na kwa madhumuni ya kulinda kifungu hicho kiwepo kifungu kidogo chini ya hicho kiseme
"Kila kampuni lililosajiliwa na litakalosajiliwa na Jamhuri ya Muungano yatawajibika kutaja Mtaji wake kwa TRA.
Go Ngosha UNAWEZA. Nchi hii ilikuwa haina mwenyewe Mzee.
LUMOLA STEVEN KAHUMBI.
Mwanafunzi DIT.