Rais Magufuli, tunaomba Umteue Saada Mkuya Salum kwa Manufaa Makubwa ya Taifa

Ndio huyu,baada ya mgimwa kukataa kisha akapigwa kipapai, Dada wa watu akaja kusaini kilaini.
Kipindi chake pesa zilipigwa balaa

- Hela za bule za bunge la katiba, na katiba yenyewe ilipatika ya hovyo pamoja na wajumbe kuhongwa mihela kibao 'thourgh posho'

- Hela za uchaguzi

- na nk.
 
Naomba nianze kwa kusema kwamba Nchi ya Tanzania haina Udini.View attachment 1630231

Salaam wakuu,

Rais Magufuli, katika teuzi zako usimsahau jicho la Vijana Saada Mkuya Salum Mwasisi wa Uchumi wa kati

Saada Mkuya Salum aliwahi kuwa Waziri wa fedha. Kuna kipindi alikuwa anahutubia Bunge akasema atahakikisha kufikia 2020 Tanzania inafika Uchumi wa kati. Ndo maana aliposikia Tanzania imetajwa kwenye orodha ya Nchi ya Uchumi wa kati, machozi ya furaha yalimtoka sababu malengo yake yametimia.

Ukiacha Mambo ya Siasa, Saada ni Hazina ya Taifa. Hawa wakina Mpango wanaenda kusitaafu na akili imeshaanza kuzeheka. Hivyo Vijana wangetamani kuona Saada anakuzwa kwa vizazi vijavyo akasaidie taifa.

Ni mfano kwa Wakina Mama. Wanawake waanze kusoma Masomo ya Sayansi na Hesabu wawe kama Saada. Hao Wazee Wizara ya fedha wamwchoka, wapo analogy. Tuleteeni huyu binti Shupavu.

Ni mnyenyekevu, hana doa japo aliongoza Idara nyeti ya fedha. Hajadokoa hata tone.

Tunaamini Rais Magufuli upo kwaajili ya watanzania wote na una hofu ya Mungu. Tunaomba itusaidie kutuletea Saada Mukuya ili Watanzania tufaidi matunda ya Kizazi chetu. Wapo wengi ila Saada ana Uzoefu na Mambo ya fedha.

Huyu Mama ndo aliweka Mkakati wa Wakala ya Serikali Mtandao. Zamani fedha zilikuwa zinakaa na Wahasibu, sasa hivi unalipa online au banki kitu ambacho kiliondoa Ufisadi.

Ni kufuatia mapengo kadhaa katika CV yake Iliyopo kwenye tovuti ya Bunge la Tanzania.

Waziri Mkuya kuna kipindi aliongea na Mwandishi wa Mtanzania na kudema elimu yake wala haina mashaka, kwani alisoma kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Lumumba mjini Zanzibar.

Baada ya hapo, alijiunga na masomo ya diploma ya Biashara katika Chuo cha Stamford cha Malaysia, ambapo pia alichukua diploma nyingine ya biashara nchini Uingereza.

Alisema mbali na masomo hayo, pia amesoma shahada ya pili ya biashara katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na kuhitimu mwaka 2009.

“Nimehitimu Shahada ya Uzamili ya Utawala na Biashara (MBA) ya Chuo Kikuu cha WATT kilichopo Edinburgh, Scotland.

“Kwa sasa nachukua Shahada ya Uzamivu (PhD) ya Utawala wa Biashara Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, tawi la Dar es Salaam,” alisema Mkuya mwaka 2014.

Alipokuwa Waziri wa Fedha alifanya mambo Makubwa. Huyu si mtu wa kubezwa au kumuacha achukuliwe na Wakenya kwa Mambo ya Ushauri wa Kifedha. Hata sisi anatufaa.

04 May 2012 Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwa kuona Umuhimu wake katika kuinua uchumi, alimteua Saada Mkuya Salum kuwa mbunge na baadaye akampa Uwaziri.

Huyu Mtoto bado anahitajika.

Tujikumbushe

View attachment 1630232

Nikiskia jina hilo, nakumbuka picha hii na katuni yake akisema "tunakopesheka"

1605838664361.png
 
Huyu Mtoto bado anahitajika. Kumbuka ndiye alifanya mpango wa kuhakikisha fedha zinapatikana za kumuingiza Pombe Magufuli Ikulu. Bila kujali nchi ilikuwa kwenye Ukata.

Tujikumbushe

View attachment 1630232

Umetumwa si bure
 
Wamumjui Magu, alisema haambiwi, na “Hakuna cha fidia “
 
hivi kuna watu wamezaliwa kwaajili ya wao tu kuwa mawaziri?!?!?! kwani wewe ulietoa uzi huu huna sifa za kuwa waziri?!?
wasomi wa kitanzania wapo wengi sana tusikariri watu!!!
cheo ni dhamana sio sadaka, na pia awamu hii ya 5 sio ya kugawana vyeo kama zawadi!!! hizi ni awamu tofauti sana, awamu ya 8 znz na awamu ya 5 Tz hazijawekwa madarakani kwa ajili ya kulipa fadhila
 
Naomba nianze kwa kusema kwamba Nchi ya Tanzania haina Udini.View attachment 1630231

Salaam wakuu,

Rais Magufuli, katika teuzi zako usimsahau jicho la Vijana Saada Mkuya Salum Mwasisi wa Uchumi wa kati

Saada Mkuya Salum aliwahi kuwa Waziri wa fedha. Kuna kipindi alikuwa anahutubia Bunge akasema atahakikisha kufikia 2020 Tanzania inafika Uchumi wa kati. Ndo maana aliposikia Tanzania imetajwa kwenye orodha ya Nchi ya Uchumi wa kati, machozi ya furaha yalimtoka sababu malengo yake yametimia.

Ukiacha Mambo ya Siasa, Saada ni Hazina ya Taifa. Hawa wakina Mpango wanaenda kusitaafu na akili imeshaanza kuzeheka. Hivyo Vijana wangetamani kuona Saada anakuzwa kwa vizazi vijavyo akasaidie taifa.

Ni mfano kwa Wakina Mama. Wanawake waanze kusoma Masomo ya Sayansi na Hesabu wawe kama Saada. Hao Wazee Wizara ya fedha wamwchoka, wapo analogy. Tuleteeni huyu binti Shupavu.

Ni mnyenyekevu, hana doa japo aliongoza Idara nyeti ya fedha. Hajadokoa hata tone.

Tunaamini Rais Magufuli upo kwaajili ya watanzania wote na una hofu ya Mungu. Tunaomba itusaidie kutuletea Saada Mukuya ili Watanzania tufaidi matunda ya Kizazi chetu. Wapo wengi ila Saada ana Uzoefu na Mambo ya fedha.

Huyu Mama ndo aliweka Mkakati wa Wakala ya Serikali Mtandao. Zamani fedha zilikuwa zinakaa na Wahasibu, sasa hivi unalipa online au banki kitu ambacho kiliondoa Ufisadi.

Ni kufuatia mapengo kadhaa katika CV yake Iliyopo kwenye tovuti ya Bunge la Tanzania.

Waziri Mkuya kuna kipindi aliongea na Mwandishi wa Mtanzania na kudema elimu yake wala haina mashaka, kwani alisoma kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Lumumba mjini Zanzibar.

Baada ya hapo, alijiunga na masomo ya diploma ya Biashara katika Chuo cha Stamford cha Malaysia, ambapo pia alichukua diploma nyingine ya biashara nchini Uingereza.

Alisema mbali na masomo hayo, pia amesoma shahada ya pili ya biashara katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na kuhitimu mwaka 2009.

“Nimehitimu Shahada ya Uzamili ya Utawala na Biashara (MBA) ya Chuo Kikuu cha WATT kilichopo Edinburgh, Scotland.

“Kwa sasa nachukua Shahada ya Uzamivu (PhD) ya Utawala wa Biashara Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, tawi la Dar es Salaam,” alisema Mkuya mwaka 2014.

Alipokuwa Waziri wa Fedha alifanya mambo Makubwa. Huyu si mtu wa kubezwa au kumuacha achukuliwe na Wakenya kwa Mambo ya Ushauri wa Kifedha. Hata sisi anatufaa.

04 May 2012 Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwa kuona Umuhimu wake katika kuinua uchumi, alimteua Saada Mkuya Salum kuwa mbunge na baadaye akampa Uwaziri.

Huyu Mtoto bado anahitajika. Kumbuka ndiye alifanya mpango wa kuhakikisha fedha zinapatikana za kumuingiza Pombe Magufuli Ikulu. Bila kujali nchi ilikuwa kwenye Ukata.

Tujikumbushe

View attachment 1630232
sawa chawa wa sada mkuya, jpm amekusikia.

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Umeharibu mzee hapangiwi
 
"MIMI UKINISHAURI NDIO UMEHARIBU KABISA MAANA SITOFANYA UNACHO NISHAURI"

POMBE MAGUFULI.
 
Back
Top Bottom