Rais Magufuli: Tunalipa deni la taifa bilioni 950

Rais Magufuli: Tunalipa deni la taifa bilioni 950

Tatizo la watu Wengi Hupenda Kusikia Kile wanachotaka Kusikia.

Itikadi za Kichochezi na Ubinafsi zimetujaa Watanzania Wengi sana.
[HASHTAG]#Tutafika[/HASHTAG] Weka nia Mapambano ni mbele kwa mbele.
Awamu ya tano imekwama kwenye tope zito
 
Mikopo mingi alichukua mzee wa msoga...

Mtu ambaye mpaka leo wananchi wenye nusu ubongo ambao haujai hata kwenye kikopo cha blue band wanamkumbuka...
 
Nimemsikia JPM akisema kwamba malipo ya deni la taifa ni Tsh bilioni 950

MAONI

Tunajua kwamba makusanyo kwa sasa ni trilioni 1.2,

Kinachobaki ni bilioni 250 au 300

Mishahara ni bilioni 500,

Inabaki bilioni negative(pungufu) bilioni 200

Je tutafika?
No sweat no sweat
 
Hiyo Tril haifiki...hizo ni fix tu...reje mikopo ya kukurupuka yenye riba ya aibu....!!! Hakuna hayo mapato....ngoma imeshuka wamaishia 750b kwa mwezi!!! Hakuna kitu! Meli unazoziona ni mzigo wa transit local imports zimesimama....haku kituu!! Porojo! BoT wanaficha data siku hizi.....mazao ya export kuleta dolla hakuna ime drop 45% na zitazidi kudondoka!!!
Kwahiyo unashaurije!
 
Back
Top Bottom