Rais Magufuli: Tunalipa deni la taifa bilioni 950

Rais wetu anaongea sana. Anatoa maelezo mengi hata yasiyopaswa kutolewa. Ni muhimu akatambua kwa nafasi yake anapata fursa ya kuzijua siri za nchi ambazo raia hawapaswi kuzijua, hivyo achunge sana maneno yake kwenye hotuba zake za 'freestyle' kama akapera.

Mfano wa leo ni kauli kwamba hawezi kuongeza mishahara. Je rais ana maanisha hatatoa nyongeza ya kila mwaka ambayo ipo kisheria au lile ongezeko ambalo ni hisani kwa mwajiri kutoa? Kama anazungumzia statutory annual increment ambayo ipo kisheria anakosea sana. Maisha kitaani ni magumu sana, maisha yanakuwa magumu zaidi pale rais ambaye ndiye mwajiri mkuu anapobana haki za wafanyakazi wake halafu anajigamba jukwaani.

Rais angetumia busara ya kukaa kimya tu, yaani mshahara haongezi na hasemi kitu. Kuliko sasa ambapo ameamsha mjadala watu wanaanza kuhoji kama ni kweli wanastahili nyongeza au la. Unamtambiaje kuwa huongezi mshahara mfanyakazi ambaye umemuongezea makato ya HESLB hadi kufikia 15% ya mshahara wake, tofauti na mkataba aliojaza?
 
Uyu mtu sio wakumsikiliza kabisa.
4083c969e13ab3d1177fb586e9b2ff92.jpg
 
Hiyo Tril haifiki...hizo ni fix tu...reje mikopo ya kukurupuka yenye riba ya aibu....!!! Hakuna hayo mapato....ngoma imeshuka wamaishia 750b kwa mwezi!!! Hakuna kitu! Meli unazoziona ni mzigo wa transit local imports zimesimama....haku kituu!! Porojo! BoT wanaficha data siku hizi.....mazao ya export kuleta dolla hakuna ime drop 45% na zitazidi kudondoka!!!
Duuuuuuuuuuuuuhhh! Tumefikia hapo kweli? Ni hatari!
 
madeni gani anayolipa maana lile la bombadia kashindwa lipa nalo ni 80 bil tu
 
Rais wetu anaongea sana. Anatoa maelezo mengi hata yasiyopaswa kutolewa. Ni muhimu akatambua kwa nafasi yake anapata fursa ya kuzijua siri za nchi ambazo raia hawapaswi kuzijua, hivyo achunge sana maneno yake kwenye hotuba zake za 'freestyle' kama akapera.

Mfano wa leo ni kauli kwamba hawezi kuongeza mishahara. Je rais ana maanisha hatatoa nyongeza ya kila mwaka ambayo ipo kisheria au lile ongezeko ambalo ni hisani kwa mwajiri kutoa? Kama anazungumzia statutory annual increment ambayo ipo kisheria anakosea sana. Maisha kitaani ni magumu sana, maisha yanakuwa magumu zaidi pale rais ambaye ndiye mwajiri mkuu anapobana haki za wafanyakazi wake halafu anajigamba jukwaani.

Rais angetumia busara ya kukaa kimya tu, yaani mshahara haongezi na hasemi kitu. Kuliko sasa ambapo ameamsha mjadala watu wanaanza kuhoji kama ni kweli wanastahili nyongeza au la. Unamtambiaje kuwa huongezi mshahara mfanyakazi ambaye umemuongezea makato ya HESLB hadi kufikia 15% ya mshahara wake, tofauti na mkataba aliojaza?
Mtu anatukana anasema "mawaziri wengine wapumbavu......." Hawa ni viongozi wenzake na angeweza kutafuta faragha ya kuwakanya

Au mbele ya mkutano wa hadhara anasema,"wako wapi watu wako.......wapumbavu sana"
 
Si juzi moshi alisema atawaongezea?? Au nilikuwa usingzini
 
Hiyo Tril haifiki...hizo ni fix tu...reje mikopo ya kukurupuka yenye riba ya aibu....!!! Hakuna hayo mapato....ngoma imeshuka wamaishia 750b kwa mwezi!!! Hakuna kitu! Meli unazoziona ni mzigo wa transit local imports zimesimama....haku kituu!! Porojo! BoT wanaficha data siku hizi.....mazao ya export kuleta dolla hakuna ime drop 45% na zitazidi kudondoka!!!
Huelewi lolote ktk industry hiyo-usipotoshe!
 
Uyu mtu sio wakumsikiliza kabisa.
4083c969e13ab3d1177fb586e9b2ff92.jpg
Sidhani kama anafaya makusudi, labda mambo sio mazuri sana kwa hiyo kinachopatikana kinaenda kweye vipaumbele vyake vya maendeleo. Kuna mambo serikali haiwezi kukiri hadharani, tuelewe kiutu uzima na kufunga mikanda huku tukiomba na kutaraji mambo yatakuwa mazuri.
 
Tatizo la watu Wengi Hupenda Kusikia Kile wanachotaka Kusikia.

Itikadi za Kichochezi na Ubinafsi zimetujaa Watanzania Wengi sana.
[HASHTAG]#Tutafika[/HASHTAG] Weka nia Mapambano ni mbele kwa mbele.
 
Sidhani kama anafaya makusudi, labda mambo sio mazuri sana kwa hiyo kinachopatikana kinaenda kweye vipaumbele vyake vya maendeleo. Kuna mambo serikali haiwezi kukiri hadharani, tuelewe kiutu uzima na kufunga mikanda huku tukiomba na kutaraji mambo yatakuwa mazuri.
Kauli za Kizalendo.
 
Hamna cha trilioni wala bililioni kwa mwezi Serikali ya pombe ni choka mbaya sema huyu dingi anapenda asifiwe na kujisifia
 
Ukiwa na elimu hutaweza babaishwa na siasa za uongo utafanya mambo yako kwa ajili ya familia yako wapate ugali mezani that is all.
 
Back
Top Bottom